David Mfugwa @DavidMfugwa2
Mwalimu(Bachelor of Arts with Education), katibu wa chadema Jimbo la Kilolo mkoa wa Iringa, diwani niliyemaliza muda wangu 2015 - 2020. Joined June 2020-
Tweets390K
-
Followers21K
-
Following1K
-
Likes13K
Sengerema Mwanza✌️✌️
#Breaking: Yes @tanpol walibana, wameachia. Nguvu ya umma imeshinda. @ExMayorUbungo na @MalisaGJ_ wapo HURU kwa dhamana. Aksante sana nyote & aluta continue... ✊
Kuna watu walikuwa wanajidanganya eti @ChademaTz imepoteza mvuto kwa wananchi, wananchi gani sasa maana wananchi wenyewe ndo hawa wameitwa wakaitika.
Chapa #Repost hii iwafikie East Africa Redio, walisema maandamano yetu na mikutano kwa sasa Haina mvuto, au walikua wanamaanisha mvuto wa mapenzi?
Hii ndo Musoma mjini ambayo tunaifahamu na Mbunge wake ni @MwitaJulius2000 ✊
Mhe. @freemanmbowetz akiongoza Maandamano ya Amani Geita #VuguvuguLaKudaiHaki
Mhe. @freemanmbowetz akizungumza na Wananchi wa jimbo la Bariadi kwenye Mkutano wa hadhara.
Kesi za Wananchi kufia mikononi mwa Polisi zinazidi kuwa nyingi lakin Serikali ya Rais Samia inaona sawa tu hii ni kwasababu siku zote maccm uhai wa watu kwao sio kipaumbele.
Huu ni ubaguzi mbona huku Tanganyika kuna Wazanzibar wengi tu wameajriwa na sie hatuoni kama ni shida?
Tunapigania katiba ili wananchi wapate nguvu na mamlaka ya kujitawala na wapate uhuru wa kweli. — @HecheJohn #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : youtube.com/live/25LRhVkpa…
Serikali ambayo inadharau wananchi kwa kuwa ipo madarakani bila kuchaguliwa na wananchi lazima itese wananchi. Usalama wtu wananchi ni katiba boa ambayo itaweka utaratibu mzuri wa kupata viongozi wetu. — @Mjahidi #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : youtube.com/live/25LRhVkpa…
Nchi hii hakitawezekana chochote chema kama hatutabadili katiba na kupata #KatibaMpya. Katiba hii imesababisha kila sekta ya nchi hii kuwa mbovu. — @Mjahidi #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : youtube.com/live/25LRhVkpa…
Maendeleo hayapimwi kwa kiongozi anayejua kuongea sana, bali ni unafuu wa maisha unaoletwa kwa wananchi katika uongozi husika. Tanzania kila sekta inahitaji marakebisho. — @NakapapeF64823 #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : youtube.com/live/25LRhVkpa…
Elimu sasa inaendeshwa kisiasa inatekeleza mahitaji ya wanasiasa kuliko ya wananchi, tunahitaji kupata sera bora za elimu kwa kupata #KatibaMpya bora. — @qamara_tz #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : youtube.com/live/25LRhVkpa…
Serikali inafuta ada mashuleni, lakini inaruhusu uongozi wa shule kuchangisha michango inayozidi ada, huku ni kukosa fikra za kuongoza na uwajibikaji na wananchi kukosa unafuu wa maisha. — @qamara_tz #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : youtube.com/live/25LRhVkpa…
Vyombo vya ulinzi na usalama vimefanywa kuwa vya utawala na kuona kama chama kingine cha siasa kikiingia madarakani haifai. Vyombo vya usalama vinatakiwa kuzingatia utendaji wa haki. — @Kadulyu #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : youtube.com/live/25LRhVkpa…
Kama tumekubaliana kukomboa nchi kwa #KatibaMpya ni lazima kila mmoja wetu awe na mchango katika hili. Ni lazima tusambaze elimu hii kwa wananchi waone umuhimu wa #KatibaMpya. — @Kadulyu #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : youtube.com/live/25LRhVkpa…
Jeshi la usalama mojawapo ya kazi zake ni kulinda katiba ya nchi. Lakini kwa sasa wananlinda wanaovunja katiba. Tunahitaji katiba itayopunguza madaraka ya Rais ili kuwe na uwajibikaji wa taasisi zingine. — @Kadulyu #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : youtube.com/live/25LRhVkpa…
Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherBoniface Jacob @ExMayorUbungo
451K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberMaria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Twaha Mwaipaya @Twaha_Mwaipaya
286K Followers 4K Following Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) Prison graduate 133 days in jail.John Heche @HecheJohn
734K Followers 1K Following Member of chadema central committee. Former Member of Parliament ,Tarime rural constituency 2015- 2020.Hilda Newton @HildaNewton21
849K Followers 1K Following ●MWANDISHI WA HABARI, ●MWENYE KITI BAVICHA (M) TEMEKE, ●RAIS WA TANZANIA 2045.John Pambalu @John_Pambalu
282K Followers 1K Following BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.Mdude Chadema @mdudechadematz
123K Followers 389 Following I'm back from prison. MDUDE PEOPLE'S VOICE (MPV). An Activist For Democracy and Good Governance. Tanzanian🇹🇿.Patrick John Assenga @PatrickJAssenga
67K Followers 2K Following Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Segerea | Mgombea Ubunge Rombo 2020 | Diwani Tabata 2015-2020 |Freeman Mbowe @freemanmbowetz
630K Followers 498 Following Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA & Chairman for DUAThink Different @lifeofmshaba
420K Followers 3K Following #ChangeTanzania |#KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi | for activism contact via WhatssApp and Telegram +1 (862) 438-3337 |Personal Views| like Not upholding |Tito Magoti, PG @TitoMagoti
244K Followers 10K Following Bingwa. Attorney | Human rights | #NguvuMoja🦁Tundu Antiphas Lissu @TunduALissu
742K Followers 307 Following Tanzania 🇹🇿 Presidential Candidate 2020 for @chadematz | Former President of the Tanganyika Law Society | Parliamentarian | Political Leader | SurvivorCPA Catherine Ruge (M.. @CatherineRuge
155K Followers 2K Following UN -empower women champion for change. Secretary General for CHADEMA Women Wing . Former Member of Parliament of UR of Tanzania 2017-2020NTOBI @Ntobi_
66K Followers 3K Following Concerned Citizen || Ngokolo Ward Councilor 2015-2020 || Banker || Activist || UDSM Alumni || Chairman of CHADEMA Shinyanga Region || WhatsApp +255 715 956595Kumbusho Dawson Kagin.. @KumbushoDawson
190K Followers 1K Following Democracy must be built through open societies which shares information. When there is information there is enlightenment.Jon Mrema @JonMrema
205K Followers 1K Following Chadema Director for Communications and Foreign Affairs .Thabit Jacob, PhD @ThabitSenior
104K Followers 4K Following Scholar, feather ruffler & lots of other hats. Political economy of devt, all things Energy, Extractives & more. ⚽️ junkie 🦁💙. Not necessarily in that orderMchokozi !! @OleMtetezi
353K Followers 686 Following Mwenyekiti Wa Umoja Wa Kizazi Cha Kuhoji Twita//Trust Me Iam Everything Ur Notkilonga Jr @KilongaEmmanuel
360 Followers 2K Following Teacher |Literature in English |Roman Catholic|Young African SC diehard fan |Arsenal fanMtumishi Wa Haki 🇮.. @HermesPaulsen
1K Followers 6K Following Udsm Alumnus|A Pro-Human Rights|Patriot|Charismatic Leadership&Change🇹🇿Fan|Former Udsm Chadema Secretary Of Publicity|A Conservative Democrat|Son|Dad|Reborn.Ezekiel Kimario @Mshua50000
10 Followers 214 FollowingQs Amos Kinyaba @AKinyaba47724
8 Followers 223 Following Quantity surveyor (Qs) , design , speaker. I believe in God🙏Mathias Kigosi @MathiasKigosi
1 Followers 89 Followingmukhuwiyidin mageda @Mukhuwiyid43556
38 Followers 455 FollowingHassan @BAbashur
325 Followers 2K Following Peace be with You// @Arsenal //@YoungAfricanSc// Motor Grader Operator.Afia @Afia37502
20 Followers 233 FollowingSijo damson @sijo_damson
45 Followers 573 FollowingMutwa Mwinyigumba @SAgropro
6 Followers 128 FollowingMr kavindi @Kasavaga50
430 Followers 2K Following Son of peasants//Udsm Alumni//Economics Teacher//@Yanga 1935supporter//Iringa//ukabila na udini huua utaifa mpaka uchumi wa taifa.Deogratius John Chuwa @john_chuwa55707
16 Followers 141 FollowingMWANALUNYASI 🇿🇦.. @FrankDeogr91225
295 Followers 1K FollowingPhilemon Kiemi @PhilemonKiemi
80 Followers 269 Following Api-culturist, Family Economist & Consumer Specialist. Founder of Kijiji & Jiji la Nyuki in Tanzania. Leader of innovations in forest and beekeeping business.Emmanuel Mbuligwe @EmmanuelMb9441
65 Followers 516 Following𝒔𝒉𝒆𝒎𝒛�.. @shemzigwa94
1K Followers 2K Following Once Mwananchi,Always Mwananchi @yangasc1935 #DaimambelenyumamwikoTITILABI💯 @titilabi
19 Followers 527 Following Adventurous🚪 spirit with a love for joking and having fan😂.Embracing each moment with positivity 🔥🥰and a dash of humor. 🌟 🙏🙏🙏Alfred @Alfred28284776
36 Followers 249 FollowingOmary Iddy Mpazzi @OMpazzi
2 Followers 163 FollowingLiving Mpinga @living_mpi94652
6 Followers 222 FollowingAmy @Amykil90210
22 Followers 74 FollowingMarlanaBela @BelaMarlan37239
3 Followers 674 FollowingERICK MKAMBA @ErickMkamb14843
70 Followers 621 FollowingAugustine Tizolekeza @ATizolekeza
61 Followers 337 FollowingRevolution @mpoko9matthew
36 Followers 905 FollowingJimson Thomas @JimsonThom65341
27 Followers 147 FollowingTanganyika boy @Tanganyika92260
5 Followers 152 FollowingPetro Maro @petromaro13
6 Followers 114 Followingmaulino Mgaya @MaulinoMga9308
4 Followers 2K FollowingAloyce Shio @aloyce_shio
22 Followers 187 FollowingDany Ulomy @DanyUlomy24001
2 Followers 97 FollowingRodern Kikoti @k_kikoti
129 Followers 626 FollowingFish @Fish1167998
56 Followers 679 Followingnick_25 @nicknic7726240
85 Followers 551 FollowingElisha Mange @MangeElish93342
43 Followers 789 Followingdeofrancis kimwaga @Degrova
0 Followers 36 FollowingFranco Mosha @mosha_fran36635
21 Followers 414 FollowingSambeke muyan @MuyanSambe56632
11 Followers 131 FollowingIbrahim Mrisho @IbrahimMri84366
4 Followers 386 FollowingAmos Masalu @AmosMasalu14600
3 Followers 231 FollowingBaba Nirvana 🌍🌎.. @EmmanuelMlule
2K Followers 6K Following Environmentalist, Community Development, Activist and Monitoring & Evaluation practitioner.Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherBoniface Jacob @ExMayorUbungo
451K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberMaria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Martin Maranja Masese @IAMartin_
502K Followers 2K Following MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |Twaha Mwaipaya @Twaha_Mwaipaya
286K Followers 4K Following Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) Prison graduate 133 days in jail.John Heche @HecheJohn
734K Followers 1K Following Member of chadema central committee. Former Member of Parliament ,Tarime rural constituency 2015- 2020.Mfanyakazi Online Med.. @MfanyakaziNews
420K Followers 0 Following UKWELI NA UWAZI : : [email protected]Hilda Newton @HildaNewton21
849K Followers 1K Following ●MWANDISHI WA HABARI, ●MWENYE KITI BAVICHA (M) TEMEKE, ●RAIS WA TANZANIA 2045.John Pambalu @John_Pambalu
282K Followers 1K Following BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.Mdude Chadema @mdudechadematz
123K Followers 389 Following I'm back from prison. MDUDE PEOPLE'S VOICE (MPV). An Activist For Democracy and Good Governance. Tanzanian🇹🇿.fatma karume aka Shan.. @fatma_karume
1.1M Followers 601 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fightAyubu Madenge @ayubu_madenge
306K Followers 2K Following Dad|Friend|Citizen|Humble servant of the peoplePatrick John Assenga @PatrickJAssenga
67K Followers 2K Following Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Segerea | Mgombea Ubunge Rombo 2020 | Diwani Tabata 2015-2020 |Freeman Mbowe @freemanmbowetz
630K Followers 498 Following Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA & Chairman for DUAThink Different @lifeofmshaba
420K Followers 3K Following #ChangeTanzania |#KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi | for activism contact via WhatssApp and Telegram +1 (862) 438-3337 |Personal Views| like Not upholding |Joseph Mbilinyi @TheRealJongwe
401K Followers 154 Following Businessman/Former Member of Parliament for Mbeya Urban Constituency/Central Committee Member - CHADEMA/Legendary African Hiphop ArtistCHADEMA Tanzania @ChademaTz
758K Followers 11 Following The Main Opposition Political Party in Tanzania ✌🏼Tito Magoti, PG @TitoMagoti
244K Followers 10K Following Bingwa. Attorney | Human rights | #NguvuMoja🦁Masoud Kipanya @masoudkipanya
2.0M Followers 74K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - CEO/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - IndustrialistEng. Pamela Maassay @Ladymaassay
3K Followers 1K Following A member of Parliament East African Community %Qualified Food Safety /Quality ^%Management Systems Auditor/Public Health Specialist. Engineer in Food and BiochAlloyce Nyanda @AlloyceNyanda
14K Followers 76 Following MTOZI. Radio/Television Host (Journalist), Author. #TheBIGAjenda #TuongeeAsubuhi @startvhabari1Khadija Mwago @Khadija_Mwago
9K Followers 168 Following Mjumbe wa Baraza Kuu(CHADEMA)Mgombea Ubunge jimbo la Mbagala 2020Diana @DianaJohn2224
131 Followers 61 Following Open minded ✌️ Human Right activist/ Politician in CHADEMA. I believe in right and legalMalewo Maximillian @MalewoMaximill1
1 Followers 84 FollowingRevlin Mbugi @Revline_2109
153 Followers 138 Following Mratibu wa uhamasishaji CHASO UDSM,Mwenyekiti BAVICHA Jimbo la Kilolo.Sadio Mane #SM10 @SadioMane10FP
282K Followers 46 Following NOA | Sadio Mane #17 : @FSFOfficielle 🇸🇳 | @AlNassrFc Player. (Fr-En) #SM17 PAGE FAN BASE.MwanzoTV @MwanzoTv
49K Followers 274 Following @MwanzoTv, The Official Twitter Feed of Premier News Source with Top Stories and Special Features about East African Region. Uncensored & Undaunted.joseph maswale @JMaswale
123 Followers 421 Following STURDED AT - Kilimanjaro Christian Medical University Collage (KCMUCo).| WORK - Ministry of Health (MoH).| RELIGION - Seventh day Adventist church (SDA)Edwin Odemba @chiefodemba
20K Followers 229 Following MTANGAZAJI WA TAIFA. Host MEDANI ZA SIASA, Udsm Alumnus, LUO ICON, CEO. CHIEF ODEMBA ENTERPRISES LTD.David Djumbe @daviddjumbe
4K Followers 670 Following An Engineer / Activist / PA to Hon Tundu Lissu/ Former Chairman & Founder of TAHLISO / The Green life Network / ES AMKA Singida / ConsultantFRV. Gaspar E. Temba @ItsTemba
10K Followers 2K Following Full Registered Valuer || Hustler || Mkulima || LLM LAM Candidate || Mseminari || Mwana-Reha || Ardhi University President (ARUSO-2017)|| Arsenal&Simba FanTanzania Abroad TV @AbroadTanzania
63K Followers 117 Following Online TV based Abroad , we retrieve different quotes of different leaders no matter when stated ..email us on [email protected]Shikilie Shikilie @SShikilie77551
150 Followers 335 FollowingDr.Mangu @ChademaDamu
627 Followers 945 Following Active member of Chadema & activist +Freedom fighterJuma Konga @JumaKonga269212
28 Followers 213 FollowingClay Mwitula @ClayMwitul55088
109 Followers 720 Followingfreeminded @ghoghomrinyi
4K Followers 5K Following Lakini licha ya mazingira hayo magumu, na mbele ya changamoto kubwa na nyingi zitakazotukabili, ninaamini kama ilivyoandikwa katika Kitabu cha YeremiaLadi mchina @mchina_ladi
111 Followers 695 FollowingPeter Msigwa @MsigwaPeter
2K Followers 262 Following Pastor | Former Member of parliament-iringa constituency 2010 -2020 | Former Shadow Minster for Natural Resource and Tourism 🇹🇿Dreamer... @the_dreamer308
764 Followers 791 FollowingNicholous Mvanda @NichoEuzebio
14 Followers 129 FollowingRAPHAEL PHAUSTINE @RAPHAELPHAUSTI8
1K Followers 5K FollowingMASHINE TATU📱🏃 @Dr_eddooh
487 Followers 568 Following I'm DOCTOR more of HUSTLER NAUZA SIMU MPYA, USED BONGO NA USED DUBAI 📍IRINGA mashinetatu 📲0624741802Wilson E.Tarimo @WilsonMawala
2K Followers 5K Following EN Nurse| Former PM at KHTI COLLEGE| Activism| candidate of Ward Councillor CHIGONGWE Dodoma City | Human right defender|(Arsenal £|Simba Tz; fan)Achibod Mmbando @AchibodM
2K Followers 1K Following God first/ Economist by profession Mwenyekiti Chaso Dodoma 2020/2021suleiman salehe @suleimansalehe2
260 Followers 2K FollowingCHASO DIT @ChasoDit
101 Followers 15 Following @ChademaTz Students Organization at the Dar es Salaam Institute of Technologymakuka ndumbo @m_ndumbo
71 Followers 296 FollowingEric @Eric29809380
64 Followers 277 FollowingChristian Lema @ChristianL71419
97 Followers 438 FollowingRauce Kisonga @KisongaRauce
544 Followers 248 Following Human Rights Defender, Active Citizen and God FearingKing badman mrume @Kingmrume
194 Followers 507 Following *simple mind real life* (Technician🛠)&Fans MAN UNITED//SIMBA SPORTS TANZANIA.jiekaiang @jiekaiang
176 Followers 1K FollowingDeonis Komba @DeonisKomba11
264 Followers 2K FollowingCHADEMA Jimbo la Hai @ChademaHai
10K Followers 25 Following Official Account For Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Hai Constituency. #HaiKwenyeRamani #SeraZaChademaaloyce mujaya @aloycemujaya24
4K Followers 2K FollowingDaniel Loyani @LoyaniDaniel
145 Followers 315 Followingnsajigwa @nsajigw53057867
35 Followers 253 FollowingJoseph Shirima @Shirimajoseph3
4K Followers 656 Following [email protected] student in business administraton , Chelsea fan member of CHADEMA ROMBO.Amani ni tunda la haki#Breaking: Yes @tanpol walibana, wameachia. Nguvu ya umma imeshinda. @ExMayorUbungo na @MalisaGJ_ wapo HURU kwa dhamana. Aksante sana nyote & aluta continue... ✊
Chapa #Repost hii iwafikie East Africa Redio, walisema maandamano yetu na mikutano kwa sasa Haina mvuto, au walikua wanamaanisha mvuto wa mapenzi?
Hii ndo Musoma mjini ambayo tunaifahamu na Mbunge wake ni @MwitaJulius2000 ✊
Mhe. @freemanmbowetz akiongoza Maandamano ya Amani Geita #VuguvuguLaKudaiHaki
Mhe. @freemanmbowetz akizungumza na Wananchi wa jimbo la Bariadi kwenye Mkutano wa hadhara.
Asanteni sana Bariadi 🤝
Kesi za Wananchi kufia mikononi mwa Polisi zinazidi kuwa nyingi lakin Serikali ya Rais Samia inaona sawa tu hii ni kwasababu siku zote maccm uhai wa watu kwao sio kipaumbele.
Huu ni ubaguzi mbona huku Tanganyika kuna Wazanzibar wengi tu wameajriwa na sie hatuoni kama ni shida?
Nili-post clip hii miaka miwili iliyopita. Peter Mtinangi sasa ni marehemu; amefariki jana tarehe 21 Aprili. Waliompiga na kumsababishia kifo wako huru hadi sasa. Hakuna uchunguzi; hakuna kukamatwa, na hakuna hata kuhojiwa. Tukisema Jeshi la Polisi linalinda wauaji mtasemaje?
IGP Sirro, mwanachama wetu Peter Mtinangi anasimuliwa alivyo pigwa na Mbunge wa CCM, Elibariki Kingu. Hadi leo hakuna uchunguzi, hakuna aliyekamatwa, hakuna kesi na wala Mbunge Kingu hajahojiwa. Baada ya kupigwa aliwekwa ndani na kuachiwa kwa masharti ya kujiunga na CCM.
WENYE LESENI YA KUUA,WAMEUA TENA. Kijana wetu Robert Mlanga Mushi maarufu kama Babu G amekutwa HOSPITALI YA POLISI KILWA ROAD akiwa AMEUWAWA. imagine tumetoa taarifa Jeshi la Polisi la Kupotelewa kwa kijana wetu,cha ajabu Jeshi la Polisi kanda Maalum ya Dar es salaam likawa…
AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA Tumepotelewa na ndugu yetu kwa jina anaitwa Robert Mlanga Mushi au maarufu kama Babu G. Kwa yeyote atakaemuona au kuwa na taarifa zake tunaomba apige No. 0717582600 au 0754269022 Tunaomba msambaze picha hii kwenye magrop. My comment. Jana…
INAHUZUNISHA SANA Huyu ni Peter Timael Mtinangi alikuwa Mwenyekiti wa Chadema kata ya Minyughe Singida Magharibi, amefariki usiku wa kuamkia leo. Mwaka 2020 Mbunge wa CCM Elibariki Kingu na genge lake walimteka na kumfanyia ukatili mkubwa sana👇
Mhe. @freemanmbowetz na Mhe. @TunduALissu wanatarajia kuongoza maandamano amani awamu ya kwanza yatakayoanza tarehe 22 mpaka 30 Aprili 2024.
So umeamua kufanya propaganda na maisha ya watu kwa kujificha kwenye kichaka cha tafiti Wamaasai wa Ngorongoro wamepitia maumivu makali wapo ambao wamepata vilema vya maisha na wengine walipotezwa mpaka leo haijulikani wapo hai au laa halafu wewe unakuja hapa kuandika huu upuuzi
Kitu nimependa ni vile raia wa Insta wanavotembeza spana kwa kila page ya Celebrity wa bongo ambae kampost Mama au kamponda Mange naona Celebs wengine wameona isiwe tabu wamefunga comments.😂
Au Wasanii wa Bongo Fleva na Bongo Movie wameambiwa wasipomtetea Rais Samia na kumshambulia Mange hawata pata deal la kutumbuiza kwenye kampeni za CCM 2025 maana naona huko mitaa ya Insta kuna waka moto.
Hiku chama kilikuwa wapi wakati TCRA walitunyanyasa? Walikuwa wanafurahi kwenye kundi lao! 🙄 Walikuwa wapi kuongelea dhulma dhidi ya wamaasai na mauaji! Wanachama wao walitumika kusambaza uongo na chuki! Sasa leo wanapata wapi ujasiri kutaka nitetee kiongozi wao? Mnipishe!…