Askofu Emmaus B Mwamakula @EmmausAskofu
Bishop, Author, Theologian, Missiologist, Activist, Poet, Lecturer, Sociologist, Missionary, Political Analyst, Social Analyst and Counselor. Joined April 2021-
Tweets443
-
Followers49K
-
Following72
-
Likes70
Ushabiki hauna uhusiano na ubora au udhaifu wa timu katika msimu. Hauwezi kuuhama ukoo kwa sababu ya misiba. Mkiwa wengi katika ukoo, hamtakosa kupata misiba! Hata koo kubwa hutembelewa na mafuriko!
Martin Maranja Masese (MMM) tunaomba rudisha 'ala yako kiunoni'! Ushauri wa Shangazi Fatma Karume ulilenga kutuliza dhoruba na kukuheshimisha. Tunamuomba Mange Kimambi naye asitishe mjadala huu. Sio kawaida yetu, ila mjadala wenu unatutisha. Sauti yetu ni uwakilishi wa wengi
Idadi ya watu inazidi uwezo wa Pantoni zilizopo Kivukoni muda huu. Abiria wanagombania kuingia na wengine wanapoteza vitu. Tunashauri abiria wengine wazungukie darajani! Kukinga ni bora kuliko kutibu!
Samia ananukuliwa akisema Uchaguzi utakuwa huru na wa haki. Wapinzani hawaamini kauli yake. Alichofanya Magufuli 2020 kimefanya Samia asiaminike. Sisi tunashauri tukutane viongozi wa dini, Rais na viongozi wa upinzani tuweke makubaliano pamoja. Tume haiwezi kututoa katika mkwamo!
Mpira unakua kwa kasi nchini Tanzania, tunashauri Serikali itoe scholarships zisizopungua 200 watu waende nje kusomea uandishi habari za michezo, daktari wa michezo, uamuzi na uongozi wa michezo!
Kuna 'Mvidunda' ameeleza kuwa Kisaki katika Mkoa wa Morogoro kuna ugonjwa wa mlipuko. Kwamba watu wengi wanahalisha na kutapika, lakini wanaogopa kulisema! Je, wewe uko huko Kisaki au eneo lo lote Morogoro? Tuambie ushuhuda wako!
Leo nilitembelea Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) na kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa TCD, Benadeta Kafuko. TCD inaundwa na vyama ambavyo vimekuwa na uwakilishi Bungeni ambavyo ni CCM, ACT Wazalendo, CHADEMA, CUF na NCCR Mageuzi.
Ukipata simu ye yote kutoka namba ya Mzee na Mwl. Charles Philemon ikikutaka wewe ufanye muamala wowote wa kifedha usifanye. Wamehaki simu yake na Wasapu!
Kukiwa na Waziri Mkuu hakuna haja ya kuwa na Makamu wa Rais na kukiwa na Makamu wa Rais, haina haja ya kuwa na Waziri Mkuu. Tumechanganya mifumo ya kifalme na mifumo ya kijamhuri katika nchi maskini matokeo yake ni kuwa na mzigo mkubwa! Katiba mpya ni vizuri ije kurekebisha haya
Mkuu wa Majeshi mstaafu, Jenerali Mabeyo ameongea ila bado hajazungumza! Hajasema 'walioisahau katiba' walitaka aapishwe nani badala ya Samia baada ya kifo cha Magufuli! Tusitikise mti mbichi, kiangazi kikija majani yataanguka yenyewe! Mengine tutajajua baada ya miaka 40 kupita!
Ndugu wa mtoto wa Darasa la Kwanza aliyepigwa na mwalimu hadi kufa kule Moshi wanasema taarifa kuwa alikuwa na kansa ya damu walipata Kituo cha Polisi, sio hospitali! Wanasema kuwa Polisi wanawalaumu kwa nini waliongea na vyombo vya habari kusema hawakupata ushirikiano wa Polisi.
Ni kweli kuwa sisi Askofu Mwamakula, Ep., tulialikwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kushiriki pamoja naye katika Futari ya jioni siku ya tarehe 12 Machi 2024 kule Ikulu, Dar es Salaam. Yesu Kristo alitumia muda wa kula kutoa mafunzo makubwa!
Michakato ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa inaanza. Ninyi vijana mnaotaka kutia nia 'ahiili' (kuweni makini) - washindani katika mitaa watawaandameni kwa zile tuhuma za makosa ya mitandao ambazo tukifuatilia zaidi tutabaini kuwa hata katika Ofisi za RCO na RPC hazijulikani
Rais Samia anasema baadhi ya Wakuu wa Wilaya na Wakuu wa Mikoa hawatatui kero za watu. Sisi Askofu tunamshauri ateue wanaharakati na watu kutoka upinzani katika nafasi hizo kama Malisa, Maria Sarungi, Yeriko, nk. Ufanisi utakuwa mkubwa. Katiba haimlazimishi ateue makada wa CCM!
Watanzania wengi hawaijui Sheria ya Mitandao. Pamoja na utata wake, pia inatumika kama mtego wa kuwanasia watetezi wa haki na wanaharakati kwa ujumla. Ni kama ilitungwa kwa ajili yao. Sisi Askofu tunatoa wito kwa wanasheria kutumia mitandao kuelimisha wananchi juu ya Sheria hiyo.
5 Machi, sisi Askofu Mwamakula tuliteta na Mhe Kinana, Makamu Mwenyekiti CCM - Bara. Tulimgusia juu ya suala la marekebisho muhimu ya Sheria za Uchaguzi kuelekea Uchaguzi Uchaguzi Mkuu. Nia yetu Askofu ni kutaka viongozi wa kisiasa na dini kukutana kukubaliana juu ya mustakabari.
Zipo taarifa kuwa Mkoa wa Mbeya unapendekeza Jimbo la Rungwe ligawanywe majimbo 2, Rungwe na Ukuukwe. Wilaya ya Rungwe itakuwa na majimbo 3 - Rungwe, Busokelo na Ukuukwe. Wilaya ya Kyela ina Jimbo moja wakati ni kubwa kuliko Jimbo la Rungwe. Tunasubiri kuona vigezo vilivyotumika
Sisi Askofu Mwamakula tumepokea na kuitikia mwaliko wa kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo utakaofanyika 5 Machi 2024 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam kuanzia saa 3:00 asubuhi.
Mwaka 2025 ni Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania. Kati ya vyama vikubwa - CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo hakuna mtu ye yote aliyejitokeza kutangaza hadharani nia ya kugombea Urais kupitia Chama chake. Hofu, kutishana na kuviziana katika vyama ni sumu mbaya ya haki na demokrasia nchini.
Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherBoniface Jacob @ExMayorUbungo
451K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberMaria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Martin Maranja Masese @IAMartin_
502K Followers 2K Following MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |Hilda Newton @HildaNewton21
849K Followers 1K Following ●MWANDISHI WA HABARI, ●MWENYE KITI BAVICHA (M) TEMEKE, ●RAIS WA TANZANIA 2045.John Heche @HecheJohn
734K Followers 1K Following Member of chadema central committee. Former Member of Parliament ,Tarime rural constituency 2015- 2020.Twaha Mwaipaya @Twaha_Mwaipaya
286K Followers 4K Following Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) Prison graduate 133 days in jail.John Pambalu @John_Pambalu
282K Followers 1K Following BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.Mdude Chadema @mdudechadematz
123K Followers 389 Following I'm back from prison. MDUDE PEOPLE'S VOICE (MPV). An Activist For Democracy and Good Governance. Tanzanian🇹🇿.Think Different @lifeofmshaba
420K Followers 3K Following #ChangeTanzania |#KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi | for activism contact via WhatssApp and Telegram +1 (862) 438-3337 |Personal Views| like Not upholding |Freeman Mbowe @freemanmbowetz
630K Followers 498 Following Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA & Chairman for DUADr. Hamisi Kigwangall.. @HKigwangalla
1.2M Followers 661 Following #HK is a Member of Parliament for Nzega Rural. Former Minister for Natural Resources and Tourism. Former Deputy Minister for Health. Former Chair, TAMISEMI.Patrick John Assenga @PatrickJAssenga
67K Followers 2K Following Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Segerea | Mgombea Ubunge Rombo 2020 | Diwani Tabata 2015-2020 |Tito Magoti, PG @TitoMagoti
244K Followers 10K Following Bingwa. Attorney | Human rights | #NguvuMoja🦁Zitto MwamiRuyagwa Ka.. @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWoteCPA Catherine Ruge (M.. @CatherineRuge
155K Followers 2K Following UN -empower women champion for change. Secretary General for CHADEMA Women Wing . Former Member of Parliament of UR of Tanzania 2017-2020Thabit Jacob, PhD @ThabitSenior
104K Followers 4K Following Scholar, feather ruffler & lots of other hats. Political economy of devt, all things Energy, Extractives & more. ⚽️ junkie 🦁💙. Not necessarily in that orderRichard Mabala @MabalaMakengeza
294K Followers 1K FollowingJon Mrema @JonMrema
205K Followers 1K Following Chadema Director for Communications and Foreign Affairs .NTOBI @Ntobi_
66K Followers 3K Following Concerned Citizen || Ngokolo Ward Councilor 2015-2020 || Banker || Activist || UDSM Alumni || Chairman of CHADEMA Shinyanga Region || WhatsApp +255 715 956595bartazar joseph @bartazar_joseph
3 Followers 138 FollowingBaba Ruu @baba_ruu
7 Followers 209 FollowingMary Rashid @mary_rashi87734
1 Followers 54 FollowingLibronix DLS @Jamesmgonda2030
12 Followers 106 Following Think twice before posting to the social Media because social media never forgetJohnLuhuwa @LuhuwaJohn
117 Followers 512 Following MA in Economic Policy (MUK - Uganda), BA in Project Planning Management (UDOM - Tanzania) Planning Officer/Economist in GoTKitende Gabriel @KitendeG49550
4 Followers 198 FollowingHt @Extimekeeper
3 Followers 58 FollowingKombo Kombo @KomboKombo54540
6 Followers 159 FollowingRashidy Kirubi @kirubi_rashidy
30 Followers 443 Followinggodfrey kivumah @gkivumah
24 Followers 205 FollowingDaudi Buyanza @Israel_isra23
208 Followers 1K FollowingIsaya Erasmus Kiiza @kiiza_isaya
23 Followers 424 FollowingRichard Luhende @RichardLuh33571
11 Followers 280 FollowingEliguard Thomas @Eliguard_Thomas
3 Followers 239 Following Marketing and Entrepreneurship professional..kazeli @kazeli7
15 Followers 175 FollowingMkanjima mkanjima Mka.. @MMkanjima33871
3 Followers 56 FollowingIpyana Mwakajila @IpyanaMwak31879
12 Followers 66 FollowingElias Ndiyunguye @ENdiyunguy72255
2 Followers 390 FollowingMtumishi Wa Haki 🇮.. @HermesPaulsen
1K Followers 7K Following Udsm Alumnus|A Pro-Human Rights|Patriot|Charismatic Leadership&Change🇹🇿Fan|Former Udsm Chadema Secretary Of Publicity|A Conservative Democrat|Son|Dad|Reborn.brighton nghomango @brightonng58210
0 Followers 35 FollowingYusuph Achiula @YusuphAchiula1
7 Followers 131 FollowingAnna Mkonongo @MkonongoAnna
1 Followers 56 FollowingAkili Akiko° @AkiliAkiko
99 Followers 331 Following Mother | Critical Thinker | Women of Dignity Inc. CEO | Author | Enthusiast |Mr.Dennie601🇹🇿 @NgalyaDenis
253 Followers 1K FollowingBaraka Mwampumbe @BMwampumbe90867
1 Followers 43 FollowingSir viva @Sirviva7
0 Followers 101 FollowingMussa Dan Madonnina @Danelmadonnina
1 Followers 28 FollowingHassan Said @HassanSaid77193
1 Followers 91 FollowingMohonda Magere @Mohonda2003
17 Followers 115 Following Always confidence, because my lord still loving me hustler boy💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿Ezra Malambugi @EzraMalamb23454
45 Followers 621 FollowingWilliam Mkude @Mwinamile
1K Followers 5K Following Working as Financial Inclusion Solutions Providermasanja jr @masanjajr12
0 Followers 88 FollowingOsiana Mwambisi @MwambisiOsiana
15 Followers 125 FollowingGodwin Mahende @MahendeGodwin
59 Followers 0 FollowingFanuel Sayo @FanuelSayo18275
41 Followers 363 FollowingPaulo Gasper @PauloGasper1
28 Followers 449 Followingnelson mvungi @nelsonmvungi
67 Followers 279 FollowingPaul John @paulfm51
131 Followers 635 FollowingLu Charlz @LuCharlz
6 Followers 120 Following Wake up! Strengthen what remains and is about to die, for I have found your deeds unfinished in the sight of my Godray.jh @rayjh_
3 Followers 139 FollowingHassan @BAbashur
325 Followers 2K Following Peace be with You// @Arsenal //@YoungAfricanSc// Motor Grader Operator.Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherBoniface Jacob @ExMayorUbungo
451K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberMaria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Martin Maranja Masese @IAMartin_
502K Followers 2K Following MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |Hilda Newton @HildaNewton21
849K Followers 1K Following ●MWANDISHI WA HABARI, ●MWENYE KITI BAVICHA (M) TEMEKE, ●RAIS WA TANZANIA 2045.Mfanyakazi Online Med.. @MfanyakaziNews
420K Followers 0 Following UKWELI NA UWAZI : : [email protected]John Heche @HecheJohn
734K Followers 1K Following Member of chadema central committee. Former Member of Parliament ,Tarime rural constituency 2015- 2020.Twaha Mwaipaya @Twaha_Mwaipaya
286K Followers 4K Following Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) Prison graduate 133 days in jail.fatma karume aka Shan.. @fatma_karume
1.1M Followers 601 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fightJohn Pambalu @John_Pambalu
282K Followers 1K Following BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.Freeman Mbowe @freemanmbowetz
630K Followers 498 Following Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA & Chairman for DUAJoseph Mbilinyi @TheRealJongwe
401K Followers 154 Following Businessman/Former Member of Parliament for Mbeya Urban Constituency/Central Committee Member - CHADEMA/Legendary African Hiphop ArtistSwahili Times @swahilitimes
1.5M Followers 0 Following Habari | Elimu | Burudani | [email protected] | Maoni ya wasomaji si maoni ya Swahili Times | Simu/WhatsApp/Telegram: +255 743 778 779Masoud Kipanya @masoudkipanya
2.0M Followers 74K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - CEO/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - IndustrialistDr. Hamisi Kigwangall.. @HKigwangalla
1.2M Followers 661 Following #HK is a Member of Parliament for Nzega Rural. Former Minister for Natural Resources and Tourism. Former Deputy Minister for Health. Former Chair, TAMISEMI.Mwananchi Newspapers @MwananchiNews
1.0M Followers 301 FollowingJebra Kambole @Advocate_Jebra
335K Followers 299 Following Law Guards Advocates, Criminal, Corporate and Civil Litigation lawyer. Togo Tower, kinondoni Business Only Call +255748334032Tundu Antiphas Lissu @TunduALissu
742K Followers 307 Following Tanzania 🇹🇿 Presidential Candidate 2020 for @chadematz | Former President of the Tanganyika Law Society | Parliamentarian | Political Leader | SurvivorCHADEMA Tanzania @ChademaTz
758K Followers 11 Following The Main Opposition Political Party in Tanzania ✌🏼Zitto MwamiRuyagwa Ka.. @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWoteDr. Nasra Nassor Omar @drnasranassor
3K Followers 250 Following Shadow Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation #Taifakwanza #thefutureispurpledavidmcallister @davidmcallister
25K Followers 888 Following Vorsitzender des Auswärtigen Ausschusses / Chair of the Foreign Affairs Committee | Mitglied des Europäischen Parlaments 🇪🇺Huawei @Huawei
10.6M Followers 952 Following Welcome to the official Huawei Twitter account. Huawei is a leading global provider of ICT infrastructure and smart devices.BBC News Swahili @bbcswahili
1.8M Followers 239 Following Huu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: https://t.co/ZZJDhvaNyo. Instagram: https://t.co/LqmfEIlht3. YouTube: https://t.co/mv5T3KheUN.CPA Catherine Ruge (M.. @CatherineRuge
155K Followers 2K Following UN -empower women champion for change. Secretary General for CHADEMA Women Wing . Former Member of Parliament of UR of Tanzania 2017-2020Democrat Union of Afr.. @dua_africa
2K Followers 216 Following African affiliate of the @idualliance | Co-Chairpersons Rt. Hon @freemanmbowetz and Hon. @AttaLouisa | Connecting African Centre-Right LeadersKigogo Media @kigogo2014
1.4M Followers 900 Following Official X handle of Kigogo Media I The uncensored,unfiltered and unbiased online news in East Africa I Email: [email protected]Jon Mrema @JonMrema
205K Followers 1K Following Chadema Director for Communications and Foreign Affairs .Jokate Mwegelo @jokateM
1.2M Followers 1K Following Visionary | Leader | Former District Commissioner - UR Tanzania, President’s Office | Secretary General Youth Wing @ccm_tanzania member of @clubdemadridRichard Mabala @MabalaMakengeza
294K Followers 1K Followingester amos bulaya @esteramosbulaya
243K Followers 603 FollowingFaustine Ndugulile @DocFaustine
333K Followers 1K Following Parliamentarian-Tanzania| Doctor| Fmr Minister-ICT| Fmr Deputy Minister-Health| Passionate about Sports, ICT & Global HealthHussein M Bashe @HusseinBashe
542K Followers 349 Following Minister, Ministry for Agriculture | MP - Nzega Urban Constituency | Farmer | Politician #TanzaniaKwanzaNecto Kitiga @NectoKitiga
41K Followers 2K Following 𝗠𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲𝗸𝗶𝘁𝗶 𝘄𝗮 𝗕𝗮𝘃𝗶𝗰𝗵𝗮 𝗠𝗸𝗼𝗮 𝘄𝗮 𝗜𝗿𝗶𝗻𝗴𝗮 |𝗠𝗷𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶𝗮𝗺𝗮𝗹𝗶|𝐇𝐮𝐦𝐚𝐧 𝐑𝐢𝐠𝐡𝐭𝐬 𝐀𝐜𝐭𝐢𝐯𝐢𝐬𝐭Nape Moses Nnauye @Nnauye_Nape
1.0M Followers 8K Following Mbunge Jimbo la Mtama{SIMBA WA VITA}. A LEADER SHOULD BE AN AGENT OF CHANGE. Minister of Information, Communication and Information TechnologyNipashe Tanzania @Nipashetz
205K Followers 5 Following The Guardian Ltd Home of Great Newspapers Mikocheni Light Industrial Area P.O. Box 31042 Dar es salaam Tel:+255 745 700 710 [email protected]James Sabuni @Mchanihalisi
77 Followers 254 Following If you're dreams does not scare you, your not dreaming enough.Rose Mayemba @rose_mayemba
35K Followers 397 Following Chadema Chair for Njombe Region, Pharmaceutical Technician,Business woman& Child of God...Msemaji Mkuu wa Serik.. @TZMsemajiMkuu
735K Followers 10 Following The Official Account of the Chief Spokesman of the Government of Tanzania I Ukurasa Rasmi wa Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania 🇹🇿Mohammed Dewji MO @moodewji
2.1M Followers 131 Following President, @MeTL_Group || Founder, @DewjiFoundation || President, @SimbaSCTanzania #HoyaJakaya Kikwete @jmkikwete
1.8M Followers 79 Following 4th President of Tanzania| Chancellor, University of Dar-es-Salaam| Chair, GPE Board| Co - Chair, HLC on #ICPD25| Chair, SADC Panel of Elders (PoE)| Chair, JMKFJanuary Makamba @JMakamba
1.2M Followers 2K Following Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Tanzania | Member of ParliamentClouds Media @CloudsMediaLive
1.6M Followers 44 Following A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.MwanaHALISI Digital @Mwanahalisitz
348K Followers 463 Following MwanaHALISI Digital ni Ukurasa wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers wamiliki wa magazeti ya MwanaHALISI, MAWIO, MwanaHALISI Online na MwanaHALISI TVTheCitizenTz @TheCitizenTz
305K Followers 429 Following Tanzania's preferred daily English newspaper, covering in-depth news and analysis from across East Africa; with a niche in business, politics, current affairsmillardayo @millardayo
2.7M Followers 488 Following Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]Mkiosoklm @mkiosoklm
320 Followers 775 Followingchapchap @EmmababaE
472 Followers 1K Following Leadership & Management expert, non profits and missionsMANDELA @SamwelMoshi3
87 Followers 325 FollowingGodfreykisemba @godfreykisemba
44 Followers 140 FollowingLazaro Nyalandu @LazaroNyalandu
581K Followers 62 Following Former Minister for Natural Resources and Tourim, #Tanzania.Salim Kikeke @Salym
1.0M Followers 524 Following Award-winning Radio & TV Presenter | Freelance Journalist | Former BBC | 🇹🇿🇬🇧 **Tweets in English & Swahili** #VisitTanzaniaDr Hussein Ali Mwinyi @DrHmwinyi
200K Followers 7 Following A Proud husband and a Father | President of The Revolutionary Government of ZanzibarMheshimiwa Mbowe atuma ujumbe mzito kwa Watanzania. Asema viongozi wengi nchini ni wasaka fursa. Asema kuwa ipo ambayo umaskini na ujinga vitatokomezwa. Awashukuru wote kwa kumuombea!
@EmmausAskofu Nakumbuka Sana yale Maombi ya kwenye kampeni kwamba watakaoiba uchaguzi hawatabaki salama, Leo tunamzungumia mama kwakuwa Baba alishaenda zake na tumeshamsahau.
@EmmausAskofu Ninaikumbuka Ile siku ambao hatukukamatwa ni Mimi na wewe tu wengine wote walikamatwa, hakika Mungu si mwanadamu, atashughulika na watesi wetu.
Baba Askofu, najipa jukumu la kuifikisha hiyo tweet yako kwa Mh. Rais @SuluhuSamia
Watu wa Mbeya wana maneno sana! Wameanza kunong'ona kuwa bajaji nyingi kule Mbeya ni za viongozi ndio maana wanasuasua kutatua mgogoro wa dalalala. Tunawahimiza viongozi tatueni mzozo huo upesi, vinginevyo SSH akiona twiti hii ya Askofu, mmekwisha! Lelo lilino po silimmapelele!
@EmmausAskofu Wanataka na wao wapate muda wa kuangalia
@EmmausAskofu Kwamba wanataka ushiriki maziko ya wenye dhambi wakati ulikuwa na nafasi yakuponya nafsi zao na siku mwenyenzi Mungu akiwachukua wachukuliwe katika utakatifu? Hapana pona nafsi zao usije ukahukumiwa kwakutolisha kondoo uliokabidhiwa,kemea na waeleze siasa ni maisha. God bless you
Thank God! Alhamdulillah! I have used my skills, training and ability as a journalist to fulfil my duty and submitted to @IntlCrimCourt evidence and facts on Crimes against Humanity in #Tanzania - many thanks to everyone Nawashukuru nyote - leo nimekamilisha kazi Mungu atulinde!
@EmmausAskofu Sauli aligeuka kuwa paulo mimi sijaelewa baba Askofu
@Jesca_Danieltz @EmmausAskofu Account ya Askofu Hiyo
@EmmausAskofu Hili ni wazo la leo baba Askofu