Kuna muda mlango wa neema unaweza ukaugonga weeee na usifunguliwe tena. Ila kumbuka kipindi mlango uko wazi ulikua unaringa kuingia. Kwahiyo sikitika kwa amani 👋🏾
Tumefikia hatua muhimu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025! Leo tunawaonyesha baadhi ya wanachama wetu mahiri wa @ACTwazalendo wambao wamejitokeza kuchukua fomu za kuwania nafasi za Ubunge katika maeneo mbalimbali nchini.
#MuhuniHasusiwi#OperesheniLindaDemokrasia
#TajiriLaKihaya
MporiPori mnamuonea…
Jamaa Hana Baya kabisaaaa…
Mpwa mwenzetu Katibu wa chama cha Wanafiki…
Homie kabisaaa… wa kamachumu Muleba ndani ndani…
Hawezi kuwa mtekaji wala kuhusika na Utekaji!
Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Mhashamu Maimbo Mndolwa amewahimiza Watanzania kushiriki katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 na kuongeza kuwa nchi inaweza kuingia katika mgogoro mbaya wa kikatiba kama watasikiliza watu wanaotaka kuahirisha Uchaguzi Mkuu.
Askofu Mndolwa…
Chalinze apo kuna ajali imetokea ikihusisha Basi la kampuni ya ABC UPPER CLASS na bodaboda,
Hao watu waliokuwa kwenye bodaboda inasemekana wamefariki wananchi wakazingira basi kufanya vurugu ikabid Polisi wawahi eneo la tukio kuweka mambo sawa.
ABC ya Tunduma to Dar
Immunization has saved countless lives and protected future generations from vaccine-preventable diseases.
Let's keep our children safe and healthy by staying on track with routine immunizations. Good news is malaria is now part of the routine child immunization
Wakufanya nione Magufuli alikuwa mbaya sijaona.
Wakufanya nione alikuwa bora kila wakati sijaona.
Najua Magufuli kuna vitu vingi alivyofanya kwa ubora zaidi na vichache alifeli kama mwanadamu.
Sasa UPINZANI ndo huwa wanaudhi hapo sometimes kuona mabaya pekee.
Magufuli watoto wake wote wamesoma vyuo vya hapa hapa Tanzania kasoro binti yake mmoja tu ndo alisoma masters nje ya nchi.
Huyu mzee alikuwa mzalendo sana
Kipaji ni uwezo wa kufanya jambo ambalo wengi hawawezi kufanya.
Hao wote wamefanya jambo kwenye sanaa ambalo mamilioni ya waTz hatuwezi, kwahiyo technically hao WANAVYO VIPAJI, ila havilingani na vya uliowalinganisha nao.
Kipaji ni uwezo wa kufanya jambo ambalo wengi hawawezi kufanya.
Hao wote wamefanya jambo kwenye sanaa ambalo mamilioni ya waTz hatuwezi, kwahiyo technically hao WANAVYO VIPAJI, ila havilingani na vya uliowalinganisha nao.
Shinda kubwa ni Kwamba Watu wanataka kila mtu awe na mawazo sawa.
Kila mtu anaruhusiwa kuchagua anachokipenda tofauti zetu zisitutenganishe kusemana na kuchukiana.
Shinda kubwa ni Kwamba Watu wanataka kila mtu awe na mawazo sawa.
Kila mtu anaruhusiwa kuchagua anachokipenda tofauti zetu zisitutenganishe kusemana na kuchukiana.
Did you know? Primary prevention means stopping diseases before they start! Uganda's malaria vaccine is a powerful tool that prevents malaria by building immunity. Take your children for the vaccine and protect them from this deadly disease that claims thousands of lives.…
@B52jeti Tulia wewe ,nihame ili iweje ? Mbona hamtaki watu wenye maoni tofauti? Hivi kwa aina hii ya mawazo siku tukiwa na dola tutaweza kuvumilia wapinzani wetu ?
#ThrowbackThursday
Wakati nasoma Advance pale Songea, basi za #SuperFeo tulikuwa tunazitumia kama "school bus".Kivipi!!? Jukumu la kuhakikisha tunapata usafiri wa uhakika kutoka shule hadi stendi kisha stendi hadi mikoani kwetu lilikuwa chini yao.
#shoutout kwenu
Anaandika Daktari Subi Magesa
"Aliwahi kusema hayati Mwalimu Nyerere, hakuna mtu mwenye thamani kuliko ulinzi, usalama, utulivu na uhai wa nchi. Haya maneno ya uasi, uhaini, kitawaka na kadhalika ni vizuri mkayaongea mkiwa mahali mnakula nyama na starehe zenu binafsi lakini si…
Najua hii hamtaipenda ila naomba niseme.
Keeni na toeni maoni yenu ya kisiasa kwa wanasiasa wanawake kama ambavyo mnatoa kwa wanasiasa wanaume matusi na kuingulia faragha zao si jambo zuri na ni mfumo wa udhalilishaji.
Asante
@bwaya@MarekaMalili Unfortunately, vyombo vya habari vinalazimika kufanya maamuzi haya ya kibabe kiiila uchao - na hii ni kwasababu za ubabe na udikteta wa mamlaka!
In an ideal situation, media haipaswi kuacha habari kwasababu ya hofu - hasa hofu ya kufungiwa au kunyimwa mapato, eti kwasababu…
3K Followers 6K FollowingBSC. In Civil Engineering||UDSM || Registered GE by ERB||
Minaki SS Alumni 2017-2019
Kilocha Seminary 2013-2016.
Patriotic 🇹🇿|| Liverpool &Simba ⚽
142 Followers 242 FollowingSuccess is the maximum utilization of the ability that you have..,Dinero..💰 Poder..💪 Respeto..🙋 Humanidad..🤝 Soy cambista!..Allergic to the haters type 😠
3K Followers 1K FollowingMedical imaging technologist☢️ || An Enterprenuer || Music ñ Football ❤️ || @SimbaSCTanzania ñ @LFC fan || Upcoming CEO of MCL.
645 Followers 6K FollowingGod First||Working Hard|| Hope lives ||I’m still learning about life|| “The best feeling is getting money with the same girl you were broke with”~K.Lamar||
1K Followers 3K FollowingMzumbe alumni| BA in Human Resource Management| Internship and Job seeker| Mungu+Nidhamu+ Kujituma=MAFANIKIO| YOUNG HUSTLER AND COMMITED TO BE SUCCESSFUL 🤑
3K Followers 1K FollowingMedical imaging technologist☢️ || An Enterprenuer || Music ñ Football ❤️ || @SimbaSCTanzania ñ @LFC fan || Upcoming CEO of MCL.
142 Followers 242 FollowingSuccess is the maximum utilization of the ability that you have..,Dinero..💰 Poder..💪 Respeto..🙋 Humanidad..🤝 Soy cambista!..Allergic to the haters type 😠
3.4M Followers 15K FollowingI'm a Savage.. I'm an AssHole I'm A King!!!The only legal 🐈🐟🔥🇿🇦.BLACK TWITTER President “commentary. fan account ” we stand with brothers in difficult time
15K Followers 3K FollowingI simplify tech so you can monetize it. Turning tools into income, ideas into action. Solopreneur | Tech Content Creator| Building @Nisapoti_Africa
12K Followers 3K FollowingJohn P Magufuli | Bad company corrupts good morals | The Universe is neither evil, nor good | Enjoy hating Africans, but we are all what you have |
1.2M Followers 1K FollowingVisionary | Leader | Former District Commissioner - UR Tanzania, President’s Office | Secretary General Youth Wing @ccm_tanzania member of @clubdemadrid
294K Followers 52 FollowingMinister of State, Prime Minister’s Office (Labour, Youth, Employment and Persons with Disability) | Tanzania Member of Parliament (Chalinze Constituency)
18K Followers 175 FollowingACT Wazalendo ni Chama cha Siasa Nchini Tanzania kinachoahidi kuleta |ZanzibarMpya |ZanzibarMoja |MamlakaKamili |TaifaLaWote |MaslahiYaWote