ACTWazalendo @ACTwazalendo
Party Leader @SemuDorothy, Chairman @othmasoud, Secretary General @AdoShaibu, Shadow Prime Minister @MchinjitaIR actwazalendo.or.tz Tanzania Joined October 2018-
Tweets18K
-
Followers13K
-
Following157
-
Likes4K
Nimeshiriki mjadala wa wadau wa habari na uchaguzi Tanzania. Nimesisitiza mambo makubwa mawili 1. Nimewaomba @mctanzania kutumia nguvu yao ya vyombo vya habari kushinikiza Serikali kutekeleza matakwa ya Sheria mpya ya Tume ya Uchaguzi inayotaka Uchaguzi wa Serikali za Mitaa…
Tume huru ya Uchaguzi bado giza. Jitihada kubwa zilizofanywa na wadau wa Demokrasia kuhusu upatikanaji na kuundwa kwa Tume huru ya Uchaguzi itakayoratibu, kuendesha na kusimamia chaguzi zote nchini zinaenda kufifishwa. Katika jitihada hizo ni kuhakikisha kupatikana kwa Sheria…
Leo Aprili 30, 2024, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa @ACTwazalendo Mheshimiwa @othmasoud, ameshirikiana na Wananchi katika maziko ya Marehemu Rashid Jabu Dawa. Marehemu Rashid, ambaye ni Muwakilishi Mstaafu wa Jimbo la Micheweni,…
"Tumejitahidi sana kufanya siasa za masuala, tukiwekeza zaidi kwenye sayansi na teknolojia." Kiongozi wa @ACTwazalendo @SemuDorothy #TwenzetuKigoma #10MaslahiYaWote #10MamlakaKamili
#TwenzetuZanzibar ✅ #MoyoWetuRufuji ✅ #TwenzetuKilimanjaro ✅ Sasa #TwenzetuKigoma. Ni Mei 5, 2024. Hii si ya kukosa. Siku ya kilele cha maadhimisho ya miaka 10 @ACTwazalendo. #10MaslahiYaWote #10MamlakaKamili
#TwenzetuZanzibar ✅ #MoyoWetuRufuji ✅ #TwenzetuKilimanjaro ✅ Sasa #TwenzetuKigoma. Ni Mei 5, 2024. Hii si ya kukosa. Siku ya kilele cha maadhimisho ya miaka 10 @ACTwazalendo. #10MaslahiYaWote #10MamlakaKamili
Mwenyekiti wa Taifa wa ACT-Wazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman @othmasoud , Jioni ya Leo Jumatatu Aprili 29, 2024 amepata fursa ya kujumuika, kwa kupata Kah-wa na Kubadilishana Mawazo, pamoja na Wana-Barza ya Wazee na…
Tabora 📌 Njiani kuelekea Kigoma kwenye kilele cha miaka 10 ya ACT wazalendo tulisimamishwa na wananchi wa kata ya Kizengi,Jimbo la Igalula mkoa wa Tabora. Baada ya salamu wakatueleza namna wanatufuatilia na walipata wasaa wa kufuatilia mkutano wa Kidemokrasia ulio fanyika…
Mashabiki Wa Timu Ya Mwandiga Veteran Wakishangilia Pamoja Mwenyekiti Wa @ACTwazalendo Mkoa Wa Kigoma @kizamayeye_ Baada ya Ushindi Dhidi ya Airport Fc kwenye ligi ya Wazalendo Cup 2024
Mwenyekiti wa Taifa wa ACT-Wazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, leo Jumanne Aprili 30, 2024 amehudhuria, akiwa Mgeni Rasmi, katika Kikao cha Viongozi wa Kamati za Uongozi, pamoja na Ngome zake, kutoka Mkoa wa Kaskazini…
Salamu za Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Taifa, @othmasoud kufuatia msiba wa Mwanachama mwenzetu aliyefariki kwa ajali wakati akielekea kwenye mkutano Wilaya ya Wete Pemba.
1/2 Uchambuzi wa @ACTwazalendo kuhusu mpango wa bajeti wa Wizara ya katiba na sheria kwa mwaka wa fedha 2024/25. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
📌Pemba Leo tarehe 30 April Mwenyekiti wa Chama cha @ACTwazalendo Ndugu @othmasoud pamoja na Makamo Mwenyekiti ndugu @IsmailJussa wamezungumza na viongozi wa Mikoa ya Wete na Micheweni-Pemba Mkutano huu ni muendelezo wa viongozi wakuu wa Chama kuzungumza na viongozi wa Mikoa…
Naibu Katibu Mwenezi ACT Wazalendo Taifa,@ayo_shangwe akiwa anaelekea Mkoani Kigoma na msafara wake wamepita Ofisi za Jimbo la Kigoma Kusini na kufanya kikao na Viongozi wa Jimbo. Amefurahishwa na hamasa walionayo viongozi kuelekea kilele Cha kuadhimisha miaka 10 ya ACT Wazalendo
Mwenyekiti Chama Cha ACT Wazalendo Mkoa Wa Kigoma Bi Kiza Mayeye @kizamayeye_ ameongoza Ngome ya Wanawake Mkoa wa Kigoma kwenda kutoa vitu kama sabuni ,mafuta,dawa za meno ,underwear na taulo za kike katika gereza la Bangwe go Kigoma. Aidha, shughuli hii iliambatana na kuwatoa…
*Update: 29 April 2024.* Sikuamini macho yangu wakati naingia kwenye ukumbi huu nimeona idadi kubwa ya watu ambayo niliozoea kuona zama za Marehem Maalim Seif, leo imerudi tena kusini Pemba * @IsmailJussa .Makamo Mwenyekiti wa Chama .*
Naibu Katibu Mwenezi wa chama Cha @ACTwazalendo Taifa @ayo_shangwe Ayo aingia rasmi Mkoani Kigoma kwa ajili ya maandalizi ya Kilele Cha maadhimisho ya Miaka 10 ya ACTDAY. Amepita Jimbo la Kigoma Kusini na kupokelewa na Kamati ya uongozi Ofisi ya Jimbo iliyopo Tarafa ya Nguruka
📍Nshara Machame "Ni baraka kubwa. Katika usharika wenu huu, viongozi wakubwa wawili wa vyama vikubwa viwili, wanatoka katika usharika wenu." @zittokabwe akizungumza baada ya ibada ya kumshukuru Mungu kwa mambo makubwa aliyomfanyia KC @SemuDorothy. @ACTwazalendo
Zitto MwamiRuyagwa Ka.. @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWoteMaria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,fatma karume aka Shan.. @fatma_karume
1.1M Followers 601 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fightIsmail Jussa @IsmailJussa
133K Followers 1K Following +259 | Proudly Zanzibari | Vice Chairman (Zanzibar) @ACTWazalendoTwaha Mwaipaya @Twaha_Mwaipaya
287K Followers 4K Following Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) Prison graduate 133 days in jail.Hassan Khamis 🇵�.. @hassankham1s
14K Followers 1K Following Proud Zanzibari embracing the beauty, culture, & history of my beloved island. Join me as I share my love for Zanzibar's pristine beaches, vibrant spice market.Democracy is commitme.. @allysalehznz
94K Followers 2K Following . KAMATI KUU ACT Wazalendo . EDITOR: Zanzibar Investment & Business Insight .Cafe Maruu: https://t.co/XpXGfIiHtCNdolezi @Ndolezi_Petro
7K Followers 1K Following Water Resources and Irrigation Engineer. @ACTWazalendo Shadow Minister for Lands, Housing and Human Settlements DevelopmentSalma Said @ZanzibariYetu
17K Followers 2K Following Journalist - Deutsche Welle (DW) https://t.co/mEiiujQKLzHilmi Hilal @HilmiHilal88
20K Followers 390 Following An activist: I fight for; The Sovereignity of Zanzibar & Tanganyika. Rights, Justice & Democracy. Proudly Zanzibari❤ +259Mzururaji✈ Dec 8🎂Jon Mrema @JonMrema
205K Followers 1K Following Chadema Director for Communications and Foreign Affairs .Dotto Rangimoto🇹�.. @JiniKinyonga
26K Followers 2K Following Poet|Novelist|1st Runner-up @tuzonyerere 2024| Won @KiswahiliPrize 2022 (fiction)|1st Runner-up @KalahariStories 2020|Won @KiswahiliPrize 2017 (poetry.)mansoor himid @mansoorhimid
26K Followers 336 FollowingAdo Shaibu @AdoShaibu
62K Followers 1K Following Secretary General, Alliance for Change & Transparency (ACT Wazalendo)Kassala @Vicent_Kassala
6K Followers 1K Following Mtanzania mzalendo: Democracy and Human Rights Activist: Proudly Tanzanian: Believes in humanity.CPA Catherine Ruge (M.. @CatherineRuge
155K Followers 2K Following UN -empower women champion for change. Secretary General for CHADEMA Women Wing . Former Member of Parliament of UR of Tanzania 2017-2020Abdul Nondo 🇹🇿 @abdulnondo2
122K Followers 2K FollowingThabit Jacob, PhD @ThabitSenior
104K Followers 4K Following Scholar, feather ruffler & lots of other hats. Political economy of devt, all things Energy, Extractives & more. ⚽️ junkie 🦁💙. Not necessarily in that orderRodrick Mnzava @MzavaRodrick
20 Followers 92 Following online saler.. E-COMMERCE is life #trust the process# roddiebrandmbavusita @mbavusita
200 Followers 1K FollowingEMMANUEL MALEKANO @EMMANUELMA82921
18 Followers 50 FollowingJean Ngelu @jean_ngelu45959
0 Followers 38 Following_.roxhin @swagger_boe
36 Followers 297 Followingopsove @gsovella
8 Followers 99 FollowingIbrahim Makame @ibrahim_ma89583
16 Followers 268 Following Am ibrahim free lance journalist in zanzibarFadhili Kondo @kondo_fadhili
52 Followers 490 FollowingMrisho @Mrisho42964519
0 Followers 8 FollowingPrince neede @PNeede17808
4 Followers 123 FollowingBakari ali @Bakariali497670
0 Followers 95 FollowingMUSKETEER🏴☠�.. @BenWaTz1
2K Followers 5K Following 🛡️| “the only easy day was yesterday” | 🇹🇿 “Top priority is our people and nation”iamJunk_10👑 @Junk_10abdul_10
5 Followers 227 Followingtabitha @tabeey1
1K Followers 526 FollowingTanzania Wall Street @Tanzaniawall
2K Followers 754 Following Inform & Empower | We can't share the same thoughts; it could be boring | Habarisha na Elimisha (English & Swahili)buthayner @buthayner80348
17 Followers 328 FollowingBrown @ummu0094
151 Followers 367 FollowingAbdan Jumanne @AbdanJuman81550
7 Followers 81 FollowingKipanya03 @Masoudmasoud01
4K Followers 4K Following Bills International company,, Surrey Estate company...Michaela Collord @MCollord
2K Followers 3K FollowingGodfrey Albetus @albetus_g
4 Followers 18 FollowingSuleman Karemwa @Kar70167Karemwa
18 Followers 311 FollowingElisha Hando @ElishaHando
1 Followers 55 FollowingInnocent _kili @innocent_m26104
5 Followers 306 FollowingLeopold Muhagaze @LMuhagaze
0 Followers 67 FollowingAlex Nduye @nduyealex770
3 Followers 96 FollowingMs.Omar @JokhaMs
14 Followers 32 FollowingJosephat Chile @Chile.. @ChileJosepha
28 Followers 106 Following𝒇𝒓𝒆𝒅𝒚_.. @fredy_boy360
2K Followers 4K Following Mcloudsania @CloudsMediaGroup || Team @SimbaSportaClub🦁🏆 || @Arsenal ❤️ 🙏🏼Mashibe 🇹🇿 @Mashibe_Jr
12K Followers 146 Following LLB, Mkulima, #SimbaSCTanzania , #ManUTD & #R.Madrid fanKarm Abdul @abdulkarm172
1 Followers 86 FollowingEng Octavian Lasway @Octavianlasway
12K Followers 4K Following Irrigation and water engineer|expert Drip irrigation|Green house, Soil, plant & Water|AutoCAD&GIS|Water activist|Spices Trader| CEO: HGAGL @greenagrictzRahmer Salum🇹🇿 @rahmersalum
22K Followers 648 Following Mass comm, digital media, digital marketing, diplomacy enthusiast, Founder #Mwanachuomaulino Mgaya @MaulinoMga9308
4 Followers 2K FollowingGaspar Wambura @gwambura123
325 Followers 4K FollowingRotente Jr. @chacha_rotente
728 Followers 2K Following husband👫 | father 👨👩👧| politician ✌| farmer🚜 |enterpreneur....| future Mp.| am real i never fake life...fear always fear me and i always face it direct..Abel Kaseko @kaseko
5K Followers 3K Following Banker | Socio-economic Analyst. Views expressed are PersonalNassoro Lugome @NassoroLug73223
50 Followers 690 FollowingT.H.E G.O.A T. 🇫�.. @T_TRUE_SEMADOKI
246 Followers 2K Following stay away from people who watch your money A day without prayer is a day without PowerGodfrey Malinga @GodfreyMalinga6
46 Followers 483 FollowingEmmanuel Mayenga @EmmanuelMa68458
12 Followers 260 FollowingZitto MwamiRuyagwa Ka.. @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWotefatma karume aka Shan.. @fatma_karume
1.1M Followers 601 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fightIsmail Jussa @IsmailJussa
133K Followers 1K Following +259 | Proudly Zanzibari | Vice Chairman (Zanzibar) @ACTWazalendoSwahili Times @swahilitimes
1.5M Followers 0 Following Habari | Elimu | Burudani | [email protected] | Maoni ya wasomaji si maoni ya Swahili Times | Simu/WhatsApp/Telegram: +255 743 778 779BBC News Swahili @bbcswahili
1.8M Followers 239 Following Huu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: https://t.co/ZZJDhvaNyo. Instagram: https://t.co/LqmfEIlht3. YouTube: https://t.co/mv5T3KheUN.Mwananchi Newspapers @MwananchiNews
1.0M Followers 301 FollowingEastAfricaTV @eastafricatv
1.7M Followers 7 Following Official EastAfricaTV (EATV) Twitter Email: [email protected]Clouds Media @CloudsMediaLive
1.6M Followers 44 Following A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.Hassan Khamis 🇵�.. @hassankham1s
14K Followers 1K Following Proud Zanzibari embracing the beauty, culture, & history of my beloved island. Join me as I share my love for Zanzibar's pristine beaches, vibrant spice market.Jamii Forums @JamiiForums
1.8M Followers 325 Following The Home of Great Thinkers | East Africa's leading Discussion Board | Citizen JournalismDemocracy is commitme.. @allysalehznz
94K Followers 2K Following . KAMATI KUU ACT Wazalendo . EDITOR: Zanzibar Investment & Business Insight .Cafe Maruu: https://t.co/XpXGfIiHtCAzam TV @azamtvtz
1.3M Followers 209 Following Watch your favorite shows on https://t.co/6bgggrv4QE | 📞 +255784108000Othman Masoud Othman @othmasoud
11K Followers 39 Following Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo TaifaSalim Kikeke @Salym
1.0M Followers 526 Following Co- founder Crown Media. Award-winning Radio & TV Presenter| Former BBC | 🇹🇿🇬🇧 **Tweets in English & Swahili** #VisitTanzaniaNdolezi @Ndolezi_Petro
7K Followers 1K Following Water Resources and Irrigation Engineer. @ACTWazalendo Shadow Minister for Lands, Housing and Human Settlements DevelopmentSalma Said @ZanzibariYetu
17K Followers 2K Following Journalist - Deutsche Welle (DW) https://t.co/mEiiujQKLzMwanaHALISI Digital @Mwanahalisitz
348K Followers 463 Following MwanaHALISI Digital ni Ukurasa wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers wamiliki wa magazeti ya MwanaHALISI, MAWIO, MwanaHALISI Online na MwanaHALISI TVHilmi Hilal @HilmiHilal88
20K Followers 390 Following An activist: I fight for; The Sovereignity of Zanzibar & Tanganyika. Rights, Justice & Democracy. Proudly Zanzibari❤ +259Mzururaji✈ Dec 8🎂Rahmer Salum🇹🇿 @rahmersalum
22K Followers 648 Following Mass comm, digital media, digital marketing, diplomacy enthusiast, Founder #MwanachuoGlobal Network Televi.. @Gntv_5
104 Followers 37 Following Let's talk Politics | Sports | Lifestyle and many moreWizara ya Madini @MadiniTanzania
69K Followers 375 Following HUU NI UKURASA RASMI WA WIZARA YA MADINI ILIYOUNDWA TAREHE 7/10/2017 BAADA YA KUGAWANYWA KWA ILIYOKUWA WIZARA YA NISHATI NA MADINI.TPDC @TPDCTZ
3K Followers 35 Following Welcome to the official page of Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) | Karibu kwenye ukurasa rasmi wa TPDC| Kupata taarifa za uhakika kwa wakatiFinnishEmbassyTZ @FinnishEmbTZ
8K Followers 2K Following Embassy of Finland in Dar es Salaam, Tanzania. We also cover Rwanda and Burundi. Ubalozi wa Ufini @UlkoministerioJumahamad @Juma_K_Hamad
2K Followers 2K Following Deputy Shadow Minister Home Affairs @ACTBarazaKivuliKenya High Commission.. @Kenyahc_tz
455 Followers 46 Following The Kenya High Commission covers all matters concerning diplomatic relations between the Republic of Kenya & the United Republic of Tanzania.CNL Burundi @BurundiCnl
10K Followers 238 Following Congrès National pour la Liberté/ Compte officiel du PartiLushona M @Lushona2
194 Followers 255 Following @CEO MALUDA MEDICAL SUPPLIES https://t.co/ITryLo5c8l FOUNDER MedicalLaboratoryScientist mtetezi wa haki za binadamuNARC Kenya Party @narckenya
3K Followers 459 Following We are an inclusive, sustainably managed Political Party founded on the Principles of the Rule of Law. Committed to Social Justice.Rahuuuum @RahmaMwita
66K Followers 2K Following TV Journalist/ Writer/BookAddict/ Founder @OYO_Tanzania / YALI-EAC Alumni/ GlobalGoalsChampion🌍/https://t.co/MwfbyyoTeMShushaTanga Saccos @shushatanga
68 Followers 32 FollowingRuqayya Mahmoud Nassi.. @RuqayyaNassir
2K Followers 998 Following Proud Member @ACTwazalendo |Binti Mzalendo | Shadow Deputy Minister of Health |Martha Karua SC @MarthaKarua
1.7M Followers 538 Following Mother | Proud Grandmother | Senior Counsel | Member of Azimio La Umoja Coalition National Leadership | Party Leader, @Narckenyashangwe Ayo @ayo_shangwe
825 Followers 195 Following Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma na Naibu Waziri kivuli wa Fedha,Mipango na Hifadhi ya Jamii @ACTWazalendoCde. Mshenga. @Mshengahussein
180 Followers 1K Following Socialist, Biopolitic, Analyst. Act Wazalendo, Simba SC|MUFC. CHUMAKITUPU.Mohammed Suleiman (Ph.. @massah74
253 Followers 376 Following Teacher | Proud citizen of Zanzibar +259Monalisandala @Monalisandala1
609 Followers 78 Following Politician| ACT-WAZALENDO |Member of National Executive Committee |Naibu msemaji wa sekta Sanaa, Utamaduni na Michezo| Yanga and Liverpool fan |Kiza Mayeye. @kizamayeye_
494 Followers 47 Following Former Member Of Tanzania Parliament. Shadow Minister for Transport sector- ACT WAZALENDO. Regional Chairperson Kigoma Act wazalendo. I Believe In God.Victor Kweka, Esq @Advocate_Kweka
3K Followers 423 Following ■ Founder of @VeeLawAttorneys ■ Practising Advocate (Wakili) ■ LL.M in Oil and Gas ■ Chairperson of Junior Lawyers Professional Development Commitee @TLSAYLBonifasia Mapunda @BonfasiaMapunda
3K Followers 427 Following Advocate of the High Court and Subordinate Courts of Tanzania. Deputy Attorney General (AG) @actwazalendo TanzaniaACT Wazalendo UDSM @ACTwazalendo1
1K Followers 889 Following Akaunti Rasmi ya Tawi la Wanafunzi wa ACT Wazalendo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (ACT UDSM)felix kamugisha @felixkamugisha7
425 Followers 646 Following FORMER CHAIRPERSON OF ACT WAZALENDO YOUTH WINGS DSM|DAR ES SALAM REGIONAL SECRETARY OF ACT WAZALENDO |ACCOUNTANT|AUTHOR|PUBLC SPEAKER|PROGRAM MANEGEREng Mohamed Mtambo @MtamboMJ_1
766 Followers 179 Following Mtambo Engineering limited 🇹🇿.MOJUM Investments🇿🇲Ester Thomas @Ester_Thomas1
2K Followers 439 Following Deputy Secretary , Department of Organization,Training and Election @ACTWazalendo. Researcher/Founder of @F.I.S.H organization and @www.jrsconsult.co.tzDr Elizabeth Sanga @DrBSanga
4K Followers 351 Following Health management and Public health specialist Social business entrepreneur Spokesperson for Health Sector - ACT Wazalendo #ACTkiganjani #TaifakwanzaPavu Abdallah @PavuAbdallah
849 Followers 106 Following Shadow Minister Public Service Good Governance and Union Matter Deputy secretery of human right and Special group. ACT-Wazalendo. Chairman of the women's wingThe Chanzo @TheChanzo
63K Followers 157 Following We Are Bilingual Multimedia Storytellers Looking At The World From Ground Up. Una habari? WhatsApp/Telegram 0753815105Dr. Nasra Nassor Omar @drnasranassor
3K Followers 257 Following Shadow Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation #Taifakwanza #thefutureispurpleWasemaji wa Kisekta @ACTBarazaKivuli
2K Followers 189 Following Official Account of the @actwazalendo Shadow Cabinet Research Office (SCaRO) under the office of the Party Leader @SemuDorothy and shadow PM @MchinjitaIRApostle Rujinama @ApostlePeter11
353 Followers 94 Following https://t.co/KuV4B6lHbc WhatsApp 👉0659862515Halima Nabalang’any.. @HalimaYusuf_N
6K Followers 1K Following HR Business Partner|Leadership and Life Skills Coach|A change Champion|Curriculum Validator|Comm Dev Expert|GS Women HR Assoc. of TZ|CC member ACT Wazalendo.Rachel Kimambo @RachelKimambo
699 Followers 166 Following National Secretary for Finance and Resources| Secretary of The Board of Trustees @ACTWazalendoKMchuchuli @MchuchuliK
2K Followers 150 Following 1)Mjumbe Kamati Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo 2024-2029. 2)Mbunge Mstaafu (Viti Maalum) 2010-2015.Tume Huru ya Taifa ya.. @TumeUchaguziTZ
37K Followers 20 Following Kusimamia na Kuratibu Uendeshaji wa chaguzi kwa mujibu wa Sheria ili kulinda demokrasia kwa manufaa ya wananchi, vyama vya siasa na wagombea.Ambassador Michael Ba.. @USAmbTanzania
61K Followers 38 Following Official account of the U.S. Ambassador to Tanzania. Follow @Usembassytz for updates from our embassy. Terms of Use: https://t.co/iNuAU2xoWI.MandelaWshFellowship @WashFellowship
99K Followers 2K Following Official account of the Mandela Washington Fellowship for Young African Leaders | An @ECAatState program implemented by @IREXIntl | #MWFCelebrates10 #YALI2024Unforgettable remarks.. @ZittoRemarks
886 Followers 7 Following @zittokabwe remarks for 15 years as a Member of Parliament 2005_2020.Maalim Seif Foundatio.. @MSSHFoundation
1K Followers 21 Following Founded 2021. Our mission is to help build #peaceful, #democratic and #resilient societies.Sharifa Mohamed @SharifaMohame
10K Followers 10K Following I love what it means justice, I hate what it means injustices. My life is the reflection of what i always stand for and belive, that is Social democracy.ACT-Idara Ya Vyuo Vik.. @ActVyuoVikuu
304 Followers 42 Following Ukurasa Maalumu wa Idara ya Vyuo Vikuu ACT-WAZALENDO TweeterNgome ya Wazee @NgomeyaWazee
381 Followers 24 FollowingUpdatesOfACT-Wazalend.. @UpdatesOfACT
1K Followers 76 Following Ukurasa wa Taarifa za Chama Cha ACT WazalendoTabora 📌 Njiani kuelekea Kigoma kwenye kilele cha miaka 10 ya ACT wazalendo tulisimamishwa na wananchi wa kata ya Kizengi,Jimbo la Igalula mkoa wa Tabora. Baada ya salamu wakatueleza namna wanatufuatilia na walipata wasaa wa kufuatilia mkutano wa Kidemokrasia ulio fanyika…
Naibu Katibu Mwenezi ACT Wazalendo Taifa,@ayo_shangwe akiwa anaelekea Mkoani Kigoma na msafara wake wamepita Ofisi za Jimbo la Kigoma Kusini na kufanya kikao na Viongozi wa Jimbo. Amefurahishwa na hamasa walionayo viongozi kuelekea kilele Cha kuadhimisha miaka 10 ya ACT Wazalendo
Naibu Katibu Mwenezi wa chama Cha @ACTwazalendo Taifa @ayo_shangwe Ayo aingia rasmi Mkoani Kigoma kwa ajili ya maandalizi ya Kilele Cha maadhimisho ya Miaka 10 ya ACTDAY. Amepita Jimbo la Kigoma Kusini na kupokelewa na Kamati ya uongozi Ofisi ya Jimbo iliyopo Tarafa ya Nguruka
Naibu Katibu Mwenezi wa @ACTwazalendo Ndugu, Shangwe Ayo amewasili rasmi mkoani Kigoma kwa ajili ya maandalizi ya kilele cha maadhimisho ya Miaka 10 ya ACT Wazalendo.
KC Mstaafu wa @ACTwazalendo, Ndugu @zittokabwe akiwa na Katibu Mkuu wa CUF, Hamad Masoud Hamad, Katibu Mwenezi wa CCM, Makalla wakifuatilia kongamano la wadau wa habari na uchaguzi lenye kauli mbiu ya ‘Uandishi wa Habari za Uchaguzi kwa weledi hujenga Usawa, Haki na Uwajibikaji’.
Nikiwa hapa Kisii, Magahribi mwa Jamhuri ya Kenya jana jioni nilipata nafasi ya kuhani msiba nyumbani kwao rafiki yangu George Kegoro ambaye mwaka jana alimpoteza baba yake mzazi Mzee Benson Kegoro. Nilifurahi pia kukutana familia ya @ItsGeorgeKegoro na viongozi wa kisiasa wa…
Naibu Katibu Mwenezi Taifa wa @ACTwazalendo, Ndugu @ayo_shangwe akiwa katika Maporomoko ya Materuni Kilimanjaro.
ACT: HAKUNA MUUJIZA KULETA MABADILIKO ZAIDI YA KATIBA MPYA "Hakuhitajiki muijiza wa kuleta mabadiliko bila kuwa na Katiba mpya hatma ya taifa ipo mikononi mwa mtu mmoja udhaifu wake ndio udhaifu wa taifa zima" Isihaka Mchinjita Makamu Mwenyekiti ACT-Bara.
#TheFutureisPurple Mkutano wa kidemokrasia ukiongozwa na kiongozi wa chama @SemuDorothy umefanikiwa na ulifana haswaaaa. Kongole @ACTwazalendo 🔥🔥🔥 #Miaka10YaACTWazalendo
"Serikali ya awamu ya 5 iliweka hadharani kiwango cha demokrasia tuliyonayo ambapo mtu mmoja anaweza fanya chochote. Rais mwenye mamlaka ya kikoloni alifanya kila atakacho na hakuna aliyemudu kumhoji au kumzuia." Makamu Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Bara @MchinjitaIR
Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy anawakaribisha katika ibada ya Shukrani itakayofanyika katika Kanisa la KKKT usharika wa Nshara, Machame.
Mdahalo kuhusu miaka 10 ya @ACTwazalendo unaendelea hapa Ukumbi wa Y.M.C.A Moshi Kilimanjaro. KC @SemuDorothy Kaimu Katibu Mkuu, @salimbimani2 KC Mstaafu, @zittokabwe Mwongozaji @ezekiel_kamwaga #10MaslahiYaWote #10MamlakaKamili
“Following the electoral convention in March 2024, the party’s secretariat was predominantly female, with only two men in the mix, the secretary general and the secretary for human rights. This unexpected gender ratio sparked a light-hearted moment at the first consultation…
ACT Wazalendo: A Decade of Democratic Resilience in Tanzania dailynews.co.tz/act-wazalendo-… @rahmersalum