KingJames I @JamesJ2020
In life without commitment, you will never start & without consistent you will never finish || Patriotic || Farther-figure ||YangaFun|| Joined December 2014-
Tweets9K
-
Followers1K
-
Following2K
-
Likes5K
Magonjwa ya Figo kwa sasa yamekuwa yakibainika hata kwa vijana ambao wako chini ya miaka 40, Vipo Visababishi Vingi vinavyoweza kupelekea Figo Kufeli, Hizi Hapa ni Baadhi ya Sababu/Visababishi hivyo, Uzi 🧵, Usisahau Kufollow @kabigwa_78 , kwa Mijadala na Makala za Afya.
@IAMartin_ Bila kupepesa macho, Jaji Butemo Philipo na wakili Frank Mwalongo wanapaswa kuwa Segerea wakisubiria kunyongwa kwa kosa la uhujumu uchumi. Naomba kuwasilisha.
@JamiiForums Kwa hizi kauli , inaleta picha wazanzibar hawawapendi Watanganyika ila wamesaau kupitia huu muungano Zanzibar imetoa rais wa Tanzania na wao ndo wafaidika wakubwa ktk huu Muungano. Serikali ya Zanzibar inapaswa kuwaelimisha wazanzibar faida ya muungano kwa Zanzibar kwa ujumla
“Mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa na chakula uliobuka miaka ya hivi karibuni umepelekea ugumu wa maisha kwa watumishi wetu wa umma hasa wale wa kada za chini za ualimu, uuguzi, uganga, vyombo vya ulinzi na usalama, watendaji wa vijiji na kata, maafisa misitu, maafisak, mifugo na…
KIKOKOTOO; SERIKALI inafanya unyang’anyi kwa wastaafu kwa kutumia sheria. Makubaliano ya pamoja kati ya Serikali ya Tanzania, wafanyakazi (TUCTA) na waajiri (ATE) katika kikokotoo katika mifuko ya hifadhi ya jamii yalishusha kiinua mgongo kutoka 50% hadi 33%. Pia, malipo ya…
Nchi kichaa. Zabuni ya kununua na kusambaza mashine za kufulia katika vituo vya afya na hospitali unampa mchina. Zabuni ungempa MMM na kukuza mtaji wake. Mchina anapeleka pesa kwao. Zabuni anapewa Shenzhen Anglell Technology Co. Ltd ambao walichelewa kuwasilisha zabuni zao.
This is the right question from a right person. Let's wait for the response anyway.
This is the right question from a right person. Let's wait for the response anyway.
Yeye ameshindwa nini kujitengenezea ajira yake ya kudumu!?
IMEDHIHIRIKA kwamba kumbe Rais JULIUS NYERERE hakumteua CHARLES MAKONGORO NYERERE kuwa MKUU WA MKOA kwa sababu “HAKUWA MTOTO WA PEKEE” kwake. Alikuwa nao WATOTO WENGINE pia.😂😂
Si sahihi RC kumuita Mkuu wa Nchi 'Mama yangu', na kujitambusha hivyo,its unProfeesional kwenye kazi,hizi status za 'Mama yangu ' na 'Mtoto' zibaki kwenye family level. Maana katika mazingira ya kazi zinalenga kutaka upendeleo na huruma hata panapokuwepo makosa ya wazi.
Aise, kumbe vina nguvu kiasi hiki ?
Eti ninaulizwa kama nimesoma amendment ya Sheria ya NEC? 😂😂😂 Saudi Arabia kuna MAFUTA? Wamefanya COSMETIC CHANGES. Tume si HURU. Waniite niwaeleze kwanini mbele ya Nchi nzima kama wanathubutu!
Safari yetu ya mashindano ya Kimataifa imefikia tamati. Shukrani kwa Wachezaji wetu, Benchi la Ufundi, Viongozi, Wanachama na Mashabiki wetu wote kwa kuwa nasi kwenye kipindi chote cha mashindano haya. 𝐖𝐄 𝐖𝐈𝐋𝐋 𝐁𝐄 𝐁𝐀𝐂𝐊🔰 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
KILA RANGI YA KIFUNIKO CHA CHUPA YA MAJI HUWA NA MAANA YAKE. Hii jana niliiona kaandika kwa ufupi @deokya40 mahali, nikasema au jamaa anataka kutupiga butwaa, nikaenda kuchunguza Reddit ebwana kumbe ni Kweli, Kila rangi ya Kizibo cha chupa ya maji huwa na maana yake "Bottle Cap…
Okay, tufanye kwamba makampuni ya Tanzania hayana mitaji, teknolojia, na vifaa kama wanavyosema wadau. Lakini hatuoni kwamba hii Trilioni 11 tuliyoipeleka China ndani ya miaka 8 ndio mtaji ambao ungetumiwa na kampuni za Tanzania kuwa na hizo teknolojia na vifaa tunavyosema…
Jomo Kenyatta alishawai kusema: "Waganda ni Sawa na Wagonjwa wanaweza kupona muda wowote na wakadai vyao" "Wakenya ni sawa na walio lala usingizi muda wowote wanaweza kuamka na kudai chao" "ila Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao" :~ Jomo Kenyatta
Uwanja wa Mkapa unabeba watu 60,000 = USD 56Milion sawa na TZS 64 bilioni mwaka 2003/2007. Uwanja wa Samia Arusha wa kubeba watu 30,000 unajengwa kwa USD 112 Milion sawa na TZS 286 bilioni mwaka 2024....TAKUKURU ingieni kazini.
Uwanja wa Mkapa unabeba watu 60,000 = USD 56Milion sawa na TZS 64 bilioni mwaka 2003/2007. Uwanja wa Samia Arusha wa kubeba watu 30,000 unajengwa kwa USD 112 Milion sawa na TZS 286 bilioni mwaka 2024....TAKUKURU ingieni kazini.
Ni muhimu kumsikiliza Mwalimu Nyerere hapo. Anauliza swali muhimu sana. *Kazi ya Serikali ni nini? Na kufanya hio kazi, Serikali inahitaji kuelewa dini ya mtu au in Ummy’s case, kunadi kisomo cha dini?* Lazim tujiulize haya maswali.
Ni muhimu kumsikiliza Mwalimu Nyerere hapo. Anauliza swali muhimu sana. *Kazi ya Serikali ni nini? Na kufanya hio kazi, Serikali inahitaji kuelewa dini ya mtu au in Ummy’s case, kunadi kisomo cha dini?* Lazim tujiulize haya maswali.
Masoud Kipanya @masoudkipanya
2.0M Followers 74K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - CEO/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - IndustrialistMoyo wa TAIFA ™️ @bajabiri
409K Followers 41K Following 💥BA,MA-IDS,UDSM| 💥Street SOUL|JUST FIT STORES' BRAND AMBASSADOR & Marketing Manager|M/kiti Chama Cha Wanafki 😀The mandevu @ze_mandevu
262K Followers 8K Following || Arsenal ||Content Creator || Compatriot || Mtani ||𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥�.. @Labella_Mafia95
122K Followers 3K Following Techpreneur || Inspire Centre || Funy with Friends || Weekend Vibes || Positive Vibes || Life Adventure || Making Memories || Hustle HardChichaMandi @Jumaallymwiguru
69K Followers 7K Following My experience is to operate Earth Moving Equipment Mashine I know how to operate Excavator...!You will not regret when you find me..!Kellie @kellie_stoner57
105 Followers 3K FollowingElias Kiptoo @ellimayim
1 Followers 17 FollowingJohn Simba @JohnSim97061540
534 Followers 2K FollowingThomas Minzi @MinziThomas
203 Followers 892 FollowingRAISI WA BUZA🇹🇿 @raisi_wa_buza2
4K Followers 3K Following Official Account KingOfMemes, Fan @SimbaSCTanzania & @cristiano @WabuzaGangHQ Upcoming Millionaire💰fatuma hanga @hanga92090
6 Followers 27 Followingrazaq muungwana @SalumuMang
140 Followers 741 FollowingKeLKoN @NOKLEK98
1K Followers 4K Following ........................................ ..ALWAYS GOD KNOW... Chelsea_Simba_Barca Fan. Born Mbeya.Baharia Luguc @baharia_1
75 Followers 300 FollowingHerry Kilele @KileleHerry
30 Followers 331 Following kilele Graduate Bachelor of Arts in Mass CommunicationSpecialized in Mass Communications Public Relation Fleet ManagementCathleen 🍌 @CathleenB9902
16 Followers 253 Following Pаssionate еnchantrеss dеsiring sеxuаl ехрlоratiоnBertha Sesejah @sesejah
1 Followers 11 FollowingMo Nassor @MoNassor
745 Followers 3K Followingpeter kaio @c_mwl
45 Followers 367 FollowingBobo @davidbobo261
16 Followers 34 FollowingEgfrid Michael Mkoba @egfrid
3 Followers 28 FollowingBABRON MSAKA NYOKA @KMasabu35428
55 Followers 187 FollowingKABARIDI ~™🇰🇪 @MORGAN394655607
697 Followers 2K Following Smallwig thriving to become a bigwig🤝+254🇰🇪Danny Edward @DannyEdwar7331
1 Followers 55 FollowingKalison Kareba @kalison_kareba
35 Followers 773 FollowingLUZAMA JACOBJr. @luzamajr11
0 Followers 30 FollowingVico Nie @nie_vico
3 Followers 73 FollowingUrsula Sebero @SeberoUrsu83147
48 Followers 5K Followingkhaden shoo @khaden_shoo
39 Followers 372 FollowingHenry Joshua @HenryJoshu14315
85 Followers 302 Followinglutter tibaijuka @t_lutter
856 Followers 4K FollowingHannah Anderson @DuchessAnna001
5 Followers 60 Following This is me I Carry positive vibes I love adventures 😍Omary Omary @OmaryOm2612022
0 Followers 97 FollowingAyakoFonder @AyakoFonde34533
61 Followers 2K FollowingKom Richard @KomRichard96371
12 Followers 62 FollowingSylvester Mtweve @SylvesterM55733
38 Followers 32 FollowingIpher Outfits Arusha @IpherOutfit
722 Followers 2K Following 👔👗Men’s and Women’s outfits 📍Arusha,Tarakea bar opposite na Ngiwaranecha ☎️0763743559/0657096713Mr Fact @AZIDUAZIDU8906
15 Followers 128 FollowingErick Mponjole @EMponjole16517
8 Followers 36 FollowingImoboy @Big7fansburna
10 Followers 34 Following This is for all outsiders worldwide, if you know you love burnaboy follow this pageBezalel Joel @BezalelJoe82147
47 Followers 121 FollowingProches Assenga @proches_as58070
44 Followers 315 Followinggambalagushi @gambalagushi
1K Followers 4K FollowingIsaac Messia @IMessia48444
25 Followers 41 FollowingMartin Maranja Masese @IAMartin_
503K Followers 2K Following MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |Spana & V.A.R Movemen.. @spana_Konki
294K Followers 1K Following Certified Spanaz & V.A.R 🔧 Spana Headquarters🏢. Spana & V.A.R Compilation. Ni-Tag penye Spana/V.A.R. JUMUIYA YA WAPIGA SPANAmillardayo @millardayo
2.7M Followers 489 Following Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]Zee la Vyeti (PhD) @babalao__
479K Followers 7K Following 𝗭𝗲𝗲 𝗕𝗮𝗯𝗮𝗹𝗮𝗼, 𝗣𝗵𝗗 ✪Influencer ✪ Content Creator ✪ Memelord✪ ✪ Chelsea Fan ✪Maria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Boniface Jacob @ExMayorUbungo
452K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberSimba Sports Club @SimbaSCTanzania
1.6M Followers 38 Following The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)Masoud Kipanya @masoudkipanya
2.0M Followers 74K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - CEO/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - IndustrialistHilda Newton @HildaNewton21
850K Followers 1K Following ●MWANDISHI WA HABARI, ●MWENYE KITI BAVICHA (M) TEMEKE, ●RAIS WA TANZANIA 2045.#NIPENI_MAUA_YANGU�.. @Roma_Mkatoliki
1.1M Followers 149 Following Rapper/Songwriter/Best Hip Hop Artist 2012 and Best Hip Hop Song(MATHEMATICS)2012, ACTIVIST🎤George Ambangile @George_Ambangil
722K Followers 666 Following GeorgeAmbangile|FootballAnalyst| WasafiMedia | Brand Influencer : @dstv_tz. @mbet_tzGodbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherMoyo wa TAIFA ™️ @bajabiri
409K Followers 41K Following 💥BA,MA-IDS,UDSM| 💥Street SOUL|JUST FIT STORES' BRAND AMBASSADOR & Marketing Manager|M/kiti Chama Cha Wanafki 😀Privaldinho @privaldinho
766K Followers 439 Following YANGA SC DIGITAL MANAGER…… Author || Lawyer || Sports Pundit ||Twaha Mwaipaya @Twaha_Mwaipaya
287K Followers 4K Following Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) Prison graduate 133 days in jail.The mandevu @ze_mandevu
262K Followers 8K Following || Arsenal ||Content Creator || Compatriot || Mtani ||National Defence Coll.. @Ndc_tz
11K Followers 37 Following An inter-service prestigious Government institution for training Senior Military Officers and Civilian Public Officials on Security and Strategy.Joh cabinet @Joh_cabinet
9K Followers 2K Following 🪵: watengenezaji wa furniture 🪚za aina zote 🏘: sofa set,kabati,kitchen,vitanda,n.k🚪🪑🛋️🛏️ 📍: keko furniture 📲:0710444391fatuma hanga @hanga92090
6 Followers 27 FollowingFIFACWC Participant @PMSFC__
28K Followers 2K Following The all mighty Mamelodi Sundowns @masandawana |||| if my tweets piss you off, then do the right thing and block me.peter kaio @c_mwl
45 Followers 367 FollowingUmmy Mwalimu, MP @ummymwalimu
896K Followers 700 Following 🇹🇿Member of Parliament, Tanga Urban 2020 - 2025 | Minister of Health Tanzania Jan 2022 to-date | Minister -TAMISEMI 2021 & Minister of Health 2015 - 2020BABRON MSAKA NYOKA @KMasabu35428
55 Followers 187 FollowingOne sister @rahmaa_simba
20K Followers 2K Following Uzi za history facts 📖utazipata Hapa na habari mbalimbali #wanazi_hq matangazo njoo dm ✌️ Simba sports clubs &man city team🩵The HR @kelvinmwitatz
3K Followers 746 Following Lecturer of HRM & Organizational Leadership at Mzumbe University | Writer | Career & Corporate Trainer | HR & Leadership Enthusiast |Erick Mponjole @EMponjole16517
8 Followers 36 Followinggambalagushi @gambalagushi
1K Followers 4K FollowingMichelin @Michelin
80K Followers 444 Following Welcome to Michelin’s official account. Global #tire industry leader, #innovation-driven and committed to offering a safer, cleaner and more efficient #mobilityEng. Hersi Said @Caamil8
141K Followers 118 Following President @YoungAfricansSC | Director of Investment GSM Group.Emmanuel Ngai @NgaiEmmanu60618
21 Followers 212 FollowingChindo Chindo @ChindoC72092
36 Followers 177 FollowingBoniface Mwabukusi @Mwabuk2Boniface
18K Followers 2K Following Advocate | father | husband. HUMAN RIGHTS. Tanzania🇹🇿 Politics Review. Busokelo.Mathew Pallangyo @PallangyoMathew
7 Followers 15 FollowingFiston Mayele @fistonmayele9
87K Followers 369 Following Official Twitter Account of Fiston Mayele Professional Footballer from Congo Club for pyramid fc 🇪🇬Sureboy @sureboytz8
86K Followers 36 Following The Official Twitter Account For Salum Abubakar Salum | Tanzanian Footballer ⚽️🇹🇿 | @YoungAfricansSC 🔰Young Africans SC @Yanga1935
80K Followers 51 Following Official twitter stream of Young Africans Sports Club ( In Tanzania known as YANGA). Club founded in 1935 and among the most followed football clubs in Africa.Gama @Gama2theworld
24 Followers 90 FollowingGOOD 24 ONLINE @king_warioba
1K Followers 531 Following I help people to get quality goods in best price👢👔👖🧥👟 and I do fast delivery 📞+255654405649Jeff Wachira @JeffWaMaina
42 Followers 91 FollowingPatrick John Assenga @PatrickJAssenga
67K Followers 2K Following Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Segerea | Mgombea Ubunge Rombo 2020 | Diwani Tabata 2015-2020 |yohanabandoma @yohanabandoma
44 Followers 205 FollowingZantel @zanteltz
44K Followers 8K Following Zantel, official brand name for Zanzibar Telecom Ltd, The most innovative network in Tanzania.Dr. Anastasia Maria L.. @DrLoupis
1.3M Followers 757 Following 1/2 Viking🇩🇰 1/2 Philosopher🇬🇷 Doctor of Medicine (MD). Opinions are my own.Alexander @AlesandroJR
30K Followers 8K Following | Philosophy | Theology | Roman Catholic |Ps 20:7| Pray, Hope And Don't Worry |God wins in the end| Uncouth & Impolite get BLOCKED🚫TotalEnergiesCAFCL & .. @CAFCLCC
602K Followers 131 Following Home to Africa's interclub competitions. A @CAF_Online account. | FR: @CAFCLCC_fr | AR: @CAFCLCC_ar | CAFWomen: @CAFwomenMkweli Mwaminifu @Oraibtz
12K Followers 1K Following Muumini wa Haki . Usawa . Maendeleo ya Watu na Democrasia. Zanzibar Ni Nchi Yangu na Naamini Haiko Huru Tutaipigania leo kesho hadi Uhuru Kamili.Kigogo Media @kigogo2014
1.4M Followers 900 Following Official X handle of Kigogo Media I The uncensored,unfiltered and unbiased online news in East Africa I Email: [email protected]Matt Soule @mattsouleSR5
92K Followers 32 Following Author | Speaker | Toured with Wim Hof. Mission: Empower 1 Million people to Master Stress in their lives | https://t.co/WLCYy9gprOArt of Rise @Art0fRise_
107K Followers 74 Following Insights To Help You Master Your Life In Body, Mind, Wealth, and Soul.Mind Hustler @HustleYourMind
390K Followers 65 Following Evaluate, adjust and progress towards a clearer mind and more substantial life with daily motivation. Become the best version of you!Harsh Patel @JustSoHarsh
77K Followers 109 Following Hacks on brand building and writing. Ex-Tesla to digital creator.Seek Masculinity @SeekMasculinity
287K Followers 18 Following Helping men advance towards life mastery.Sema hiki kizazi cha mitandao sijui nani alie kiroga unawezaje kumpiga picha mpenzi wako na kutuma picha yake mitandaoni!!!? binafsi nakemea kwa nguvu zote hii tabia.
“Nchi yetu ina KATIBA 2 moja ya MUUNGANO na nyingine ya Zanziber na katiba ya MUUNGANO inamruhusu Mzanzber kumiliki Ardhi Tanganyika lakini Katiba ya Zanziber inamzuia MTanaganyika kumiliki ardhi Zanziber”:- Mhe LISSU
@1TraVeLA Kaka sio kwenye ajira tuu , Hadi kwenye mahusiano ni wabaguzi sana ! Ni wao Kwa wao , ila kwetu wanapiga fresh
@heisbixen Let me nijibu hivi unaenda abroad kutafuta ukipata unarudi home ✅ alipofika home kafungua office ya jambo analopenda kufanya ✅ so all is 👍 for him. Utamu wa hela kula home siyo ule sehemu hata hufahamiki!
Boniface Jacob na Godlisten Malisa wameachiwa kwa dhamana ya polisi katika kituo kikuu cha polisi kati (central police DSM) walipokuwa wakishikiliwa kwa zaidi ya saa 40 kwa tuhuma za uchochezi na kuzua taharuki kwa jamii dhidi ya Jeshi polisi. Polisi ndiyo walalamikaji.
Anaandika Peter Kibatala Dear Jeshi la Polisi Tanzania Wapelekeni mahakamani Boniface na Malisa professionally Kama mna evidence ya any offences; and I will meet you there in my immaculate 3 -piece suits. And: since it is Boniface and Malisa the sessions will be reported live,…
Hakuna SHERIA yoyote ya Tanzania inayotoa MAMLAKA kwa @tanpol KUZURULA na MTUHUMIWA kwa KISINGIZIO chochote, iwe ni “UPEKUZI” au vinginevyo. MTUHUMIWA akishakamatwa anatakiwa AKAE MAHABUSU au APEWE DHAMANA. Ni KOSA KISHERIA KUZURULA na MTUHUMIWA.
@IAMartin_ Ningeshangaa kama TSN GROUP asingekuwa ni mmoja katika hizi mbanga NAS ni kama wamefilisika chini ya Bos wao Baaman ila (Farooq Baghooza) anachechemea haya makampuni yaliokopa EQUITY na yakaingia mitini ni kama yanamfumo mmoja kiutendaji yote yamejaa matapeli watupu.
@IAMartin_ Bila kupepesa macho, Jaji Butemo Philipo na wakili Frank Mwalongo wanapaswa kuwa Segerea wakisubiria kunyongwa kwa kosa la uhujumu uchumi. Naomba kuwasilisha.
@JamiiForums Wazanzibari wanajisahau sana na kuzani kwamba sisi Watanganyika tunanufaika zaidi na huu unaoitwa muungano. Niwaambie tu kizazi cha nne cha Tanganyika hakijanufaika chochote na Muungano huu. Siku tukiamua kumfungulia jini Tanganyika atoke hadaharani moto utawaka.
@JamiiForums Kwa hizi kauli , inaleta picha wazanzibar hawawapendi Watanganyika ila wamesaau kupitia huu muungano Zanzibar imetoa rais wa Tanzania na wao ndo wafaidika wakubwa ktk huu Muungano. Serikali ya Zanzibar inapaswa kuwaelimisha wazanzibar faida ya muungano kwa Zanzibar kwa ujumla
@Sisimizi3 Mkiisha ishia Pamoja hata muachane bado mapenzi hayaishi hasa kama walipendanda, na Inavyoonekana JD Alikuwa Anampenda sana G.
@HildaNewton21 Safi kabisa, wewe ni mtu wa maana kabisa! Mama bora na pia hata ukiongeza hapo miezi sita ikawa miaka miwili na miezi sita sio mbaya!! 🤴
“Mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa na chakula uliobuka miaka ya hivi karibuni umepelekea ugumu wa maisha kwa watumishi wetu wa umma hasa wale wa kada za chini za ualimu, uuguzi, uganga, vyombo vya ulinzi na usalama, watendaji wa vijiji na kata, maafisa misitu, maafisak, mifugo na…
Naomba hawa watu wafanyiwe SEMINA ya Regional Administration Act. Mkuu wa Mkoa ni wakala wa Serikali kazi yake ni UTAWALA (executive) si kutunga sheria (legislative) RC hana mamlaka ya kupiga MARUFUKU chochote! Hio ni mamlaka ya Bunge. UTAWALA lazim uheshimu SHERIA.
@YerickoNyerereT Huyo Askari wa JW wa hovyo, anakuja kukuomba msaada wewe mshirikina badala ya kwenda kwa CDF 😀. Hii ni KAMBA
@Dom_equinox @JamesJ2020 @CombatBattles @HildaNewton21 The statement ingeanza hvi "Naungana na mh Rais"