TimE Elia @TimeElia
First Born💪 Believer💒 VW-Polo GTI, Forex Trader📈📉, Movies & Music 💓, Digital Marketer 🌏, Graphics Designer, Listener ,Non-Talkative, IM RED,IM LIVERPOOL⚽. Tanzania_Dar es salaam Joined May 2013-
Tweets9K
-
Followers448
-
Following622
-
Likes29K
Meseji yangu kwa Gen Z kuelekea maandamano ya October 29………..
Nasemaje huko CCM achaneni na Heche kabla wanaharakati hatujaliamsha dude upya. Hivi mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche mtu ambae alikuwa mbunge kuonyesha vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri wa Raisi, Angela Kizigha ambayo ni ya billions over billions. Hivi nyinyi vichwa vyenu vina akili kweli? Nyie Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche, kiongozi alieko uraiani aliepewa mandate na Watanzania kuwasemea na kuwaongoza kwenye kupata haki, basi Endeleeni na ujinga wenu, mta regret. Yoyote anaetaka kuhoji statement za @HecheJohn aanze kwanza kuhoji hizi maana hizi bank statements ni moja ya sababu wananchi waliandamana October 29. Ila jueni wanaharakati tumejipanga vizuri. Ila CRDB sio bank ndugu zangu, mimi mwenyewe kiulaini tu nilipata hizi statement…. ANGALIZO; Nimepost upya coz nilisahau kublock namba za simu na namba za account. Maana huwa hawaruhusu kuposti hizo details.
Ma bingwa wa key board na content creators tuko tayari. Yani wamchafue @HecheJohn kwa vimali vya kuvuta kwa manati. Nimesikia sehemu wanaongelea takukuru. Hao Takukuru wamalize kwanza uchunguzi wa mali hizi ndo wakapambane na vimali vya trekta na milioni 20. Uwiii hapo
This is the best news kwa maandamano. Sijui hata kwanini watu walitaka Afcon iondolewe. Watanzania , hii nafasi ni kama ile nafasi tuliyoipata siku ya uchaguzi. Moja ya sababu iliyofanya maandamano yakafanyika siku ya uchaguzi ni sababu n ilibidi waondoe mabunduki na magari ya kutisha barabarani ili watu watoke wakapige kura,same thing na Afcon, kutakuwa na wageni kutoka Africa nzima lazma waondoe mabunduki, askari na vitisho vyote lazma vikome ili wageni na wa nchi za nje waweze kutoka waende mpirani. Vitisho vyovyote wakitoa au wakijaza askari hakuna mgeni atatoka hotelini. Jamani siku ya mechi ya kwanza ya Afcon Tz, hakuna mtu kukaaa ndani. Kwanza hawatoweza kuzima internet, pili hawawezi kupiga watu risasi maana itabidi wawapige risasi mpaka wageni waliokuja TZ. Hawawezi kuzima internet maana itakuwa world news. Kwanza wageni karibia wote watakuwa na rangi kama zetu, hawatojua mgeni yupo Mtanzania yupi, so ile ya kupiga tu risasi mtaani watashindwa. Tusipotumia AFCON kujikomboa hakuna nafasi ingine itakuja ambayo hatuwezi kupigwa risasi, kuzimiwa internet, wala kujaziwa askari barabarani. Na wakijaza tu askari barabarani basi na mood yoote ya afcon itafia hapo hapo, na wageni walioko TZ ndo wata tweet na kupiga picha na kusambaza kwenyw social media mpaka dunia nzima ione. NI LAZMA TUPAMBANAE HII SIKU!!!! Maaandalizi makubwa yaanze on the ground. Mobilization ianze kufanyika. THIS IS OUR CHANCE!!!
. @HecheJohn Keep standing with the people……….. WANANCHI KWANZA, CHAMA BAADAE!!!!!!!!!!!!! Wewe na Lissu mnashikilia ndoto zetu na matumaini yetu. Kila kitu tumeweka kwenye mikono yenu nyinyi wawili. Please msituangushe, Sisi hatutaki maridhiano na waliotuua kabla ya uwajibikaji na ukweli wa October 29. Hatutaki na hatutayatambua maridhiano ambayo hayatosimamiwa na International community. Na bila Tundu Lissu mezani kutuwakilisha Watanganyika hatutatambua maridhiano yoyote. Na wakimnyonga ndio wasahau kuna kitu kinaitwa maridhiano kitakaa kitokee Tanzania. THIS IS A PROMISE!!!!! Ni itakuwa mtifuko mpaka milele!!!!!! @HecheJohn Sisi wananchi tuliopigwa risasi kama mbwa hatutaki kupeleka pole wala rambi rambi kwa shetani wa miguu miwili alietuua kama kuku. Tuko tayari kuishi kwa chuki na mshike mshike mpaka haki itakopatikana ila katu hatutaki amani ya kinafki na waliotuua ili washikilie madaraka bila idhini yetu. Na katu hatutokubali statement za ‘Let Love lead’ tunataka statement za ‘LET JUSTICE LEAD’. Love iliisha October 29 2025, sasa kinachotafutwa ni haki. Haki ikipatikana Love itakuja yenyewe. Na katu hatutokubali kumtambua Samia Suluhu kama Rais wa Tanzania au serikali yake kama serikali halali. Huu ndio msimamo wa wananchi, NAWASILISHA!!!!!!
Lissu alikuachia chama HUJAMUANGUSHA. Lissu alikuweka kama shahidi wake HUJAMUANGUSHA. Kipindi chote zaidi ya siku 600 umeongoza CHAMA kwa shida sana ila umebaki imara, tunaomba usikate tamaa sisi TUNAKUAMINI shikilia hapo hapo. HIKI CHAMA NI MPANGO WA MUNGU NA WEWE MAKAMU HECHE NA LISSU NDIO MARUBANI WETU. TUTAVUKA HAPA NA HAYA YOTE YATABAKI STORY, PIGA KAZI MAKAMU.
Wauwaji wa October 29 Watawajibishwa, kuanzia waliotoa order za mauwaji, mpaka waliotekeleza order hizo na mpaka yule killer in chief aliesimama hadharani baada ya mauaji na kusema proudly kuwa nguvu sahihi ilitumika……. Na CCM itatoka madarakani na Watanzania wataweza kuchagua chama wanachokitaka, Rais wanaemtaka na wabunge wanaowataka…… Cha msingi, HOLD THE LINE!!!!!!!!!!!!!
HERE WE GO!
@SuluhuSamia @ccm_tanzania This is what you did to the people of Tanzania for the sake of power and greed. 1st video: How do you justify shooting protesters as they were running away? 2nd video: How do you justify shooting people who were simply sitting in a café, not even protesting? This was about instilling fear. 3rd video: You went into residential neighborhoods and shot mothers who were simply sitting outside their homes. These children are scared forever. 4th video: This is not ordinary police ammunition. This is military-grade ammunition.
Tanzania, take heart. I will keep fighting, and I will continue exposing to the world what is happening to you. The truth will not be buried. These killings will be seen by the world. @SuluhuSamia no number of paid bots on this post will stop me from showing the world how evil you are. You killed over 10,000 of your own people for the presidency.
Free Malisa G , Walahi tena tumechoka jamani. Hii nchi kila siku tu wanateka na kuua Watu!💔🇹🇿💔 @commonwealthsec @hrw @amnesty
Tanzanian, today is good day, We are nolonger invincible to the world. Our pain and our suffering is no longer being ignored by Western media. American media is starting to care about our struggles. We matter!!!!! Thank you @nypost nypost.com/2026/08/31/us-…
@Breezy_GLE450 @pastajoshuatz Mimi sioni nyoka alipodanganya, Mungu alisema wakila watakufa pale ila haikua ivo. Nyoka Alimwambia mkila tunda mtajua mema na mabaya, je baada ya kula hawakujua ilo? Nani alikua mkweli kwa muktadha iyo?
@MuhamaRjb @masoudkipanya Angalia juu ya kete kuna rangi tofauti na kete zingine. Zinaashiria nini?
@MuhamaRjb @masoudkipanya Mwenye Kingi alishacheza. Apo ni zamu ya mwingine uyo😁
Nachoshukuru hakuna tena mtu anaongolea maridhino…. Kila mtu kaanza kuelewa kuwa maridhiano is impossible na hii Serikali batili…. Sasa tupambane mpaka tupate haki….
@Breezy_GLE450 @pastajoshuatz Mkuu mi nahitaji we useme alimwambia nini then mi nikupe fact kua alichomwambia ni uongo au lah! Katika kitu alichomwambia nini kilikua uongo?
@Breezy_GLE450 @pastajoshuatz Twende taratibu, shetani alimdanganya nini eva? Alimwambiaje?
Wafuasi wa MBOGAMBOGA wenyewe wamechanganyikiwa kama raia wengine tu. Hata wao hwaelewi mambo yanayotokea. Wanashangaa mtandaoni tu. Mambo ni mzobe mzobe. Ipo hivi, hamuwezi kuua watu wengi kwa kiwango kile halafu mkatawala watu kwa amani na utulivu. Damu za watu zitawatesa sana.
@Breezy_GLE450 @pastajoshuatz Nipe reference mzee. Ni wapi? Kufanya kazi ni kosa? Kusoma ni kiongeza maarifa ni dhambi?
Alfred Kajuna (S.T.A.... @kajuna_alfred
10K Followers 5K Following 🙏PaTiEnCe Is A vIrTuE ⚽️MaNcHeStEr UnItEd Fc
Gillsant v10 @GillsaInt
165K Followers 5K Following I help people start and grow business online. I teach 21st Century Digital Skills. @swahilidigital founder. Advanced Social Media course👇🏾
Yours__Gee🥀 @Ganerosee
18K Followers 898 Following Be enough for yourself first, the rest of the world can wait🫶🏻.
Goatatron @milkypeach605
21 Followers 1K Following
PASTA JOSHUA @pastajoshuatz
31K Followers 4K Following 🌿💊 Tiba Asili Halisi | Software Engineer📩 DM / WhatsApp 0680114218
kumari priya @PriyaKumar33112
201 Followers 559 Following
Jaxon chedo @Jaxonchedo45
6 Followers 158 Following
Boniface Mwabukusi @Mwabuk2Boniface
68K Followers 8K Following Advocate | father | husband. HUMAN RIGHTS. Tanzania🇹🇿 President Tanganyika Law Society 2024-27
Adv Ticketing 🐰 @Adv_innocent
10K Followers 9K Following 24/7 Ticketing services KPOP Concerts Htb+tpa🦋 Onsite Assistance Services. Fast and Guaranteed🩵 Testimonies and proofs👇👇👇
lisa Liang @lnynxun67696
924 Followers 7K Following God guides me through every day!I thank God for His careful arrangement of the people and things that I have each day; everything is according to His
Mr Yook @YookMr16762
268 Followers 2K Following
B.T.M Global Tech @msaka_Daily
3K Followers 6K Following 📱 Your trusted source for smartphones & accessories📍 Location: Kawe, Dar es Salaam 📞 Contact: 0786 320 031 REAL MADRID & LIVERPOOL FAN
🇪 🇸 🇮 🇷 �... @EsirEid
55K Followers 53K Following Website n Mobile Apps Developer,Computer Scientist N a PURE #Mathematician¶© #JKUAT ALUMNI||#TeamArsenal¶ #HalaMadrid¶ ¶ #YANGA $ #TajiriLaKihaya
Gitz @Gitz__
68K Followers 52K Following Ex-coder turned spell-caster ✨ | Social & Content Marketing Manager | Turning ideas into viral magic | DM for wizardry.
ENG : CONGRATULATION! @Ponge_Bromine
6K Followers 2K Following ISAYA 43: 4 // Dini yangu ni MKRISLAMU // Civil Engineer.
Spana_2020 @Maga_Spana
702 Followers 2K Following Certf CII, Insurer, In Insurance Industry since 2007 to date. Graduate Insurance carrier from IFM.
Layne Witting-Schambe... @LayneS34487
125 Followers 3K Following
Jaylan Senger @JaylanSeng17555
89 Followers 3K Following
Trounui @Trounui3111
5 Followers 91 Following
45nny @45nny
67 Followers 391 Following ⓑⓔⓛⓘⓔⓥⓔ,ⓑⓔⓖⓤⓝ,ⓑⓔⓒⓞⓜⓔ with God Everything Is Possible @45ⓝⓝⓨ.
Abdallah @duxchidy
42 Followers 790 Following Hakika kwa kumkumbuka Mwenyezi Mungu ndipo nyoyo hupata utulivu Quran 13:28
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻... @gabyconscious
18K Followers 4K Following Just passing through, experiencing life as it comes . Entrepreneur | Tech Content Creator|+255694579000
Kavon Marvin @KavonMarvi52126
89 Followers 3K Following
Bethel Fritsch @BethelFrit16871
122 Followers 5K Following
Iehubeag @Iehubeag3947
46 Followers 1K Following
Mhere mwita @MhereMwita_
12K Followers 3K Following HUMAN RIGHT DEFENDER: POLITICAL ANALYST: PUBLIC ADMINISTRATOR:
Slawrkeigh @SlawrkeighyQJ2
153 Followers 3K Following
Joseph Kulwa @JosephKulw372
12 Followers 132 Following
Mankakidoti @mankadolly
11K Followers 10K Following We can not control the wind, but we can direct the sails.. The African in America Movement... +255692608572 https://t.co/d7bUfRnz9f
Tunauza Mashine Za Ku... @HydroPureTz
77 Followers 90 Following Tunauza machine za kubadili maji chumvi kuwa safi na salama | Tunauza mashine za kuuza maji (water dispensing machine). Tupigie anytime 0689621429 au 0763524811
CIPHERHAVEN SAFE @cipherhavensafe
11K Followers 11K Following Trusted crypto recovery specialists with 5+ years of experience helping investors reclaim lost assets. Integrity first. Transparency always. Results driven.
Mr Henry @mr_henry67058
462 Followers 7K Following Professional Trader Account Management Availables 💰 Join Our Telegram Channels $XAUUSD. MARKET UPDATES👇
Paul Kimbayi @PaulKimbayi
739 Followers 1K Following
Wade @SunniAli7
3K Followers 5K Following DDS ,Mkali wade #Liverpool #SunniAli7 #Simba #Dark psychologist #Munmunang
TWiMMI @WomenInMiningTZ
166 Followers 155 Following Tanzania Women in Mining and Mineral Industry | 360° Inclusion & Transparency is practiced. Upholding Best Practices for sustainable development.
N D A B E Z I T H A. @Mike84054545
4K Followers 4K Following Wake Up And Give Thanks, Gratitude Is a Must. Let’s Thank God For Saving Us -God Is The Greatest
Lubasha Jr @MarekaMalili
681K Followers 2K Following |Digital Consultant | |Baba Maggie & Gian& Gio |Youth Development| |Parenting| |Financial Literacy| |#ManU #LBJLoyalKnight|
Salama Zalhata Jabir @EceJay
760K Followers 1K Following Pronounced - sah-LAH-mah Moon. To 🎥 or 🎧 to #SalamaNa Pls Click 🔗
Mohammed Dewji MO @moodewji
2.3M Followers 129 Following Pan-African Entrepreneur, President @MeTL_Group & @SimbaSCTanzania, Philanthropist @DewjiFoundation, Georgetown Alumni #Hoya
Maria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.4M Followers 10K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,
Jamii Forums @JamiiForums
1.8M Followers 217 Following Inform | Engage | Empower | Digital Democracy
Alfred Kajuna (S.T.A.... @kajuna_alfred
10K Followers 5K Following 🙏PaTiEnCe Is A vIrTuE ⚽️MaNcHeStEr UnItEd Fc
Gillsant v10 @GillsaInt
165K Followers 5K Following I help people start and grow business online. I teach 21st Century Digital Skills. @swahilidigital founder. Advanced Social Media course👇🏾
Webiro Wakazi Wassira... @Wakazi
255K Followers 7K Following Artist | Activist | Actor | Hip Hop Connoisseur | Content Creator | Politician | Workethic | 1/4 of SSK | [email protected] | Link: https://t.co/QgttN8fCtU
Ridhiwani Jakaya Kikw... @ridhiwankikwete
288K Followers 54 Following A Minister of President’s Office (Public Service Management and Good Governance) in Tanzania. Member of Parliament for Chalinze Constituency (CCM)
Allan Lucky (Host: Kl... @Allan_Lucky
103K Followers 3K Following SIGMA 💪 YOUTUBE: Klub A-Z @klubatoz PATIENCE + POSITIVITY | Media, Comms, Marketing | Social Entrepreneur | Thought Leader | Airbnb Host via @havana_listings
Yours__Gee🥀 @Ganerosee
18K Followers 898 Following Be enough for yourself first, the rest of the world can wait🫶🏻.
chichibrand @zouhchich
2K Followers 167 Following Girl drama 🍎🦋 Mimi mtu wa real deal tu ukija njoo kikazi hautajuta kufahamiana our new channel
Assembly Man🤴 @_Bonty_Official
79K Followers 669 Following ll Game Analyst ll DM For Promos & Ads ll @ManUTD ll #BontyGeng ll Telegram:https://t.co/Qzk1bMRtRM
AK🏌️♂️ @Ak_billions
37K Followers 3K Following Sports Trader 📈|| DM for Ads/Promo. https://t.co/qrtobB0OkK
Bet buddy @Betbuddy001
69K Followers 227 Following Last born of sporty 😎 mamas boy. join my telegram channel. https://t.co/hUA0jv8NFk
Bruno Chiemena MAINMA... @brunochiemena
38K Followers 898 Following 🎓 Anatomist 🇳🇬 💼MBA👨🏽⚕️NURSE 🩺🇺🇸⚽️ GRACE ABOUND🤲🏽🧎➡️❤ @chelseafc🥰 🔭 https://t.co/BbgpqoDwKf 📧 promo/ads/ DM telegram @brunochiemena
DEAR GOD 🇬🇧🥼... @mrlamar01
63K Followers 295 Following New account , follow me here. Medical laboratory scientist 🥼. Chelsea💙 Tipster🍏💰 https://t.co/UfQKlMUaza
9Z @9zerobillions
147K Followers 2K Following @arsenal | Punter| Check Highlights | DM for advert | it will work out. ☘️
Mr Mensah 🐐 @jxtanotherguy
4K Followers 754 Following I bleed Blue💙// Bet Analyst⚽️🏀..…. Believe you can and you're halfway there……….Telegram 🔗 https://t.co/ZBvqa1wRdf
Cool_boy @october_niga
7K Followers 3K Following Engeneer on motorvehicle and truck mechanics and electical
Melissa Starova 🍒 @melissastarova
154K Followers 24 Following Pls turn my notis on 🔔❤️ 30 y/o Ukrainian with cherry twins and dirty thoughts. Follow @melissastarsxo 🍒 yes here it is (free)⬇️
ALIENWARE @Alienware
659K Followers 918 Following Exploring new worlds, one game at a time 👽 DM @AlienwareTech for support.
Liberatus Mwang'ombe @Liberatus80
73K Followers 1K Following Center-Right. Human Rights Activist. Retweets are not endorsements. Values: Ujasiri (Courage), Uhuru (Freedom), Umoja (Unity).
Charles Chelsea Jr @CharlesChelsea_
30K Followers 8K Following 💙Chelsea & Yanga Sc💚#TutajirikeWote Gusa LINK hapo chini JISAJILI DBBET tuendeleekupiga hela za Mrusi
Boniface Mwabukusi @Mwabuk2Boniface
68K Followers 8K Following Advocate | father | husband. HUMAN RIGHTS. Tanzania🇹🇿 President Tanganyika Law Society 2024-27
Daily wins @Godofrollover
135K Followers 449 Following Talented Bet Tipster 🏀⚽️ . join my free telegram let’s win together
Beast @emabilly2001
6K Followers 4K Following Lifestyle ✨ Gossip 🔥 Trends 📈” Arsenal | Barcelona. always Grateful 🙏
chriscxxss @chriscxss
226K Followers 1K Following some of us are going to make it. Gambling is bad / don’t
Mr peter @Mrpeter691106
5K Followers 2K Following payment after win is available for the first time if you can stake high inbox on my WhatsApp number+2347042967719
Clinton Morgan �... @ClintonMorgan_
47K Followers 486 Following Tipster 📊 l . High value Picks 🧠. | | Culer❤️💙 |.My Telegram Link 👉https://t.co/KJVjYweRSD
CXX @Oluwaranmii
13K Followers 11 Following Jesus first….Psalm 118:24. Spurs for partnership: [email protected]
𝐗𝐇𝐄𝐋𝐎�... @29_xhelo
104K Followers 86 Following 𝘉𝘦𝘵 𝘢𝘯𝘢𝘭𝘺𝘴𝘵𝘴 ⚽️🏀 // 𝘛𝘩𝘦 𝘣𝘭𝘶𝘦𝘴 💙// 𝘐 𝘣𝘦𝘭𝘪𝘦𝘷𝘦 𝘪𝘯 𝘊𝘰𝘯𝘴𝘪𝘴𝘵𝘦𝘯𝘤𝘺 💯 𝘯𝘦𝘸 𝘵𝘦𝘭𝘦𝘨𝘳𝘢𝘮 𝘭𝘪𝘯𝘬 🔗 https://t.co/5p1Zkvbnr8
Paz 16 @MikePaz255
3K Followers 2K Following busy building || in a relationship w @ManCity NEVER LOOK BACK 🪜
Markay 𝕏 @Markay744
53K Followers 1K Following GOD IS KING 👑. || Messi 🐐|| JOIN MY TELEGRAM HERE 👉🏿👉 👉🏿 https://t.co/36DdAED8MI
Saltzman 👽 @Drealsalt
103K Followers 5K Following Calm mind 🧠✨. big dreams ☁️🚀. Loyal heart ❤️. Always learning 📚📖, always moving forward ➡️🔥 ||@ManUtd 🔴 ⚪️||Send a DM for Ads and Promotions 🎯
BOOMLUCK⚽️🏀 @Boomluck1zz
234K Followers 2K Following Sports ⚽️ analysts Basketball 🏀 and football punter. https://t.co/FkUdGDg7Bq @Realmadrid & @Warriors
Iam Wa Kimathi @IamKimathiKE
50K Followers 3K Following DRAW KING 👑 BEST CHANNEL FOR DRAWS 👉 https://t.co/rjpb00A2Mn I don’t just gamble , I invest 🤞
LEVY ⚽️𝕏 @LevyKingTips
153K Followers 2K Following 🥇Expert Sports Betting Analyst | 📊Sharing Winning Strategies & In-Depth Insights | 💰Daily Tips on Football⚽️,Basketball 🏀& More on Telegram Channel👇👇👇👇
Mkuujr5 @mkuuJr5
12K Followers 5K Following 👨⚖️Lawyer | 🧑🤝🧑 Father of 2 | 🌾 Farmer | 📚 Reading Enthusiast | 🎵 Music Lover | 💡 Brainstorming Aficionado | 🚫 No Sugar Coating | 🗣️ Views Are Mine
𝕸𝖎𝖗𝖆𝖓�... @Estefmv8
54K Followers 109 Following Hola soy fefa!! Fb:Estefany Miranda. 𝑰𝒈: 𝑬𝒔𝒕𝒆𝒇𝒎𝒗 🇨🇴 MEVR 👼🏻TikTok:Estefmv kwai: Estefmv PayPal: Estefmv
Mike Khristo @MikeKhristo
10K Followers 5K Following Building @layers. (very) early stage angel investor. ex- @snap, exited startups, etc. DMs open.
Nia Celé 🥀 @nia_cele
194K Followers 338 Following I hope they document what I'm becoming........... https://t.co/iVfB42VzFt
🇪 🇸 🇮 🇷 �... @EsirEid
55K Followers 53K Following Website n Mobile Apps Developer,Computer Scientist N a PURE #Mathematician¶© #JKUAT ALUMNI||#TeamArsenal¶ #HalaMadrid¶ ¶ #YANGA $ #TajiriLaKihaya
Pierogi @ScammerPayback
123K Followers 165 Following Come join us as we go on the adventure of giving visibility into scammers and how they operate. [email protected] (Business ONLY, no investigations)
The Gun Enthusiast @gunenthusiast01
47K Followers 7K Following Educational firearms history. Nothing is for sale here.





































