ALPHANGA BLACK @alphanga
CCM number one Dar es Salaam, Tanzania Joined January 2018-
Tweets5K
-
Followers2K
-
Following2K
-
Likes4K
Leo Mgumu Jagwani kapata mimba, Mji Mzima umejaa mate hatuna pakukanyaga kesho
Sasa siwanacheza wakongo wote maana ukichukua @TPMazembe na @yangasc1935 ni timu ya taifa ya kongo kabisa
Kukua sio kuwa na umri mrefu bali ni kujua cha kusema ukisemeje ,ukiseme na nani kwa namna gani na wakati gani kama hujui ,busara ni kukaa kimya🤐
@John_Pambalu Mhe Yusuph Mwenda ni Tz kutoka bara aliwahi kuwa Mstahiki Meya kinondoni, diwani kata ya mikocheni sasa ni mteule wa wa Rais Zanzibar Mh @DrHmwinyi kamishina wa kodi na mapato zanzibar ZRA Je? unamjua #NasoroMajidi unamjua msemaji wa ikulu zanzibar acha mapepe Muungano unalipa.
Mhe Yusuph Mwenda ni Tz kutoka bara aliwahi kuwa Mstahiki Meya kinondoni, diwani kata ya mikocheni sasa ni mteule wa wa Rais Zanzibar Mh @DrHmwinyi kamishina wa kodi na mapato zanzibar ZRA Je? unamjua #NasoroMajidi unamjua msemaji wa ikulu zanzibar acha mapepe Muungano unalipa.
Shaka Hamdu ni Mzanzibar lakini ameteuliwa kuwa Mkuu wa wilaya ya Kilosa, Morogoro Tanzania Bara (Tanganyika), Je, Inawezekana kwa Mtanganyika kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya nchini Zanzibar? Comments ziwe fupi fupi tu.
Maisha yamekufundisha nini mpaka sasa? Me. Maisha yalifundisha kuwa yenyewe ni kama kioo..! ukiyachekea nayenyewe yanacheka🤣 Lakini G kanifundisha nipunguze wema, maana kuomba ni fedhea. Je G ni nani? G ni Gitu dogo raini lakini neno lake moja ni zaidi ya ngumi ya Mandonga👫
Siku zote akili inataka amani moyo unapenda shari. Wewe amua tenda au waza kutumia moyo uone asara yake. Tumia akili utanikumbuka, ukitumia moyo kupenda ukitumia moyo kufanya biashara, ukitumia moyo kuchagua marafiki utaishia kulia tumia akili utanikumbuka nipo pelee #cheusiDawa
Inawezeka thamani yako haionekani kwakuwa nia yako njema na upendo umezidi kwao, sasa wasipo kuita usiitike, wasipo kushilikisha usishiriki, wasipo kuuliza usijibu, kama hawakushirikishi yao usiwashirikishe yako, kwenye kila jambo tazama manufaa yako kwanza #UbiNaFsiUnalipapia 🙏
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Taifa Ndg Humphrey Polepole akipata maelekezo toka kwa mmoja wa wanufaika wa mradi wa Tasaf aliyefanya vizuri zaidi na kuwa mbunifu kwa kuanzisha miradi ya ufugaji wa kuku wa kienyeji, nguluwe na ujenzi wa nyumba ya kisasa.
Dunia bado inazunguka katika muhimili wake ni jambo la muda tu. Ok kuwa makini na maneni ya utani maana ndipo ukweli ulipojificha, maana ukweli hauna rangi nzuli uwongo unavutia kama bustani ya Eden .
Pesa imepanda bei utu umeshuka thamani ukweli unapigwa pini ili uwongo uzidi kuenea, je tumaini la kweli ni lipi ..........? #KumchabwanaNiChazoChaMaharifa
Tena na usiteseke na usiwe mnyonge daima maana utanyongwa kweli..! Tambua wakati na bahati humfikia kila mwanadamu kwa wakati sahii wa Mungu na kwa Mungu hakuna kuchelewa wala kuwahi. kwenye biashara,kwenye uzazi au kwenye mapenzi na mengineyo kikubwa ibada bidii na uzima
Dunia bado inazunguka katika muhimili wake ni jambo la muda tu. Ok kuwa makini na maneno yenye utani maana ndipo ukweli ulipojificha, tambua ukweli hauna rangi nzuli bali uwongo unavutia kama bustani ya Eden .
Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa kwa pamoja tumpe imani Mwenyekiti wetu @SuluhuSamia kwa kumpa kura zote za ndio aendelee kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa. KAZI IENDELEE
Victoria C Mwanziva @victoriacharlz
33K Followers 2K Following District Commissioner- LINDI, Lindi Region. Government of the United Republic of Tanzania 🎓 Master’s Degree in Public Administration 🇹🇿 #LindiKuchele
#GWIJI🔴 @athanas_pius
252K Followers 10K Following JOKER || @ManUtd 🇬🇧 |@SimbaSc 🇹🇿 |No flex zone| Telecom Engineer📡|| We live everyday & We die once|| @gwijiStepstz| @AfroJuiceBar||@PlanB_Bistro,Tanga🍻
Terence Sauer @SauerTeren37962
136 Followers 3K Following
Rutanangabo Nkingi ya... @JuliusNyereJu
686 Followers 7K Following
Hector Fadel @HectorFade75523
76 Followers 3K Following
Lionel Beahan @BeahanLion40989
80 Followers 3K Following
Sir MALIMA @mallymillow
261 Followers 880 Following “The ball is in your court No defense, nobody's keeping score”
MALIMA H @HajiMalima
26 Followers 396 Following Entrepreneur |Agribusiness| General Supplies |GPS Tracking Systems Transportation&Logistics| Car rental...etc
KASUMBALESA @korofindo21733
2 Followers 13 Following
46z1hfqmyj7uw @qpdwi33oc0e
4 Followers 136 Following
78xzzw6hlg @1gttygbrt
4 Followers 138 Following
Amal @Amal68991286370
185 Followers 908 Following Cake designer, I make your gourmet dreams come true 🎂🇲🇦 Party Entertainment Service and also into crypto currency investment for additional income
El patrona mchuga @Elpatrona2019
300 Followers 346 Following • Quantity Surveyor |• Project Manager |• adventurist | • believer |• @SimbaSCTanzania & @Manutd
Charles Ng'elata @elata_ng76071
38 Followers 238 Following
Daudi Maembe @daudi_maembe
174 Followers 780 Following The righteous shall flourish like the palm tree; he shall grow like a cedar in Lebanon. Psalm 92:12.
Luckas @Luckas1498886
88 Followers 481 Following
Justini Alfayo @JustiniAlf43093
1K Followers 5K Following
OTTO RASTA @Dr_OTTORASTA1
3K Followers 5K Following
ChainVisionary @xChainVisionary
241 Followers 1K Following From HODLing Bitcoin to embracing NFTs, it’s a wild ride 📈🎨
Daudi Shukia🇹🇿 @Daudi_Shukia
67 Followers 251 Following
Likululu ABDUL @LikululuA
53 Followers 442 Following
Juma Ndezi @JumaNdezi2
11 Followers 76 Following
𝙹𝚒𝚗𝚕𝚎�... @_jinlea
467 Followers 1K Following 𝙸𝚗𝚜𝚝𝚊𝚐𝚛𝚊𝚖: 𝚡𝚓𝚒𝚗𝚕𝚎𝚊 | 𝚂𝚗𝚊𝚙𝚌𝚑𝚊𝚝: 𝚡𝚓𝚒𝚗𝚕𝚎𝚊 | 𝙵𝚊𝚌𝚎𝚋𝚘𝚘𝚔: 𝙹𝚒𝚗 𝙻𝚎𝚊
Paul Zakalia @PaulZakalia1
5 Followers 101 Following
Emmanuel Ernest @Emmanue59535263
4 Followers 130 Following
mbajo Dickson @mbajo_dickson
23 Followers 378 Following
Athanas @Athanas11170612
776 Followers 769 Following
khaitham abdallah @khaithamabdall1
0 Followers 29 Following
Isaack Isaack @IsaackIsaack4
16 Followers 434 Following
Katalyeba Vitalis @KatalyebaV
506 Followers 4K Following A Husband/Brother/Son/Uncle/Humble citizen of the United Republic of Tanzania/Young African follower. #Proudly_Tanzanian 🇹🇿 🇹🇿
Nico-TN @imanuelandrea3
122 Followers 760 Following
Obasanjo @Obasanj42776625
397 Followers 1K Following
panya wa kishua 👈�... @Derrick25131159
898 Followers 5K Following
Bin Mrisho @mrishomahsin
681 Followers 5K Following kwa mahitaji yako ya furniture tupigie/WhatsApp 0763855666 tunatengeneza chochote kitu.
ayugi @ayugi19
5 Followers 189 Following
jamaa wa kimara @LyamuyaJackson
822 Followers 978 Following
Stanley Selestine @StanleySelesti9
2 Followers 222 Following
Idrissa Mgendwa @IdrissaMgendwa9
336 Followers 2K Following
Samia Suluhu @SuluhuSamia
1.8M Followers 29 Following Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of Tanzania
Jokate Mwegelo @jokateM
1.2M Followers 1K Following Visionary | Leader | Former District Commissioner - UR Tanzania, President’s Office | Secretary General Youth Wing @ccm_tanzania member of @clubdemadrid
Mfanyakazi Online Med... @MfanyakaziNews
462K Followers 0 Following UKWELI NA UWAZI : : [email protected]
Simba Sports Club @SimbaSCTanzania
2.0M Followers 41 Following The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)
Zee BabaLao @babalao__
693K Followers 7K Following 𝗭𝗲𝗲 𝗕𝗮𝗯𝗮𝗹𝗮𝗼, 𝗣𝗵𝗗 , Zebedayo ✪Influencer ✪ Content Creator ✪
Ayubu Madenge @ayubu_madenge
394K Followers 2K Following Dad|Friend|Citizen|Humble servant of the people
EastAfricaTV @eastafricatv
2.1M Followers 7 Following Official EastAfricaTV (EATV) Twitter Email: [email protected]
Nape Moses Nnauye @Nnauye_Nape
1.1M Followers 8K Following Mbunge Jimbo la Mtama{SIMBA WA VITA}. A LEADER SHOULD BE AN AGENT OF CHANGE. “The most important shot in golf is the next one.”
millardayo @millardayo
3.1M Followers 478 Following Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]
Swahili Times @swahilitimes
1.6M Followers 0 Following Habari | Elimu | Burudani | [email protected] | Maoni ya wasomaji si maoni ya Swahili Times | Simu/WhatsApp/Telegram: +255 743 778 779
Mohammed Dewji MO @moodewji
2.3M Followers 133 Following Pan-African Entrepreneur, President @MeTL_Group & @SimbaSCTanzania, Philanthropist @DewjiFoundation, Georgetown Alumni #Hoya
Chama Cha Mapinduzi @ccm_tanzania
880K Followers 9 Following Chama Cha Mapinduzi (CCM) - #Tanzania's governing party, founded on 5th February 1977. Membership: 15 million | https://t.co/KzE7LiVgt9
BBC News Swahili @bbcswahili
2.2M Followers 252 Following Huu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: https://t.co/ZZJDhvaNyo. Instagram: https://t.co/LqmfEIlht3. YouTube: https://t.co/mv5T3KheUN.
Young Africans SC @YoungAfricansSC
418K Followers 66 Following Official Twitter Page Of Young Africans Sports Club | Home Of Champions🏆
Clouds Media @CloudsMediaLive
1.9M Followers 43 Following A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.
Masoud Kipanya @masoudkipanya
2.1M Followers 72K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - President/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - Industrialist
SIR TIVA @Sativa255
187K Followers 3K Following Survivor of Head Bullet 27.06.2024 | Human rights defender | PYALA PYALA.
Mery Boni @MeryBoni5
2K Followers 2K Following
Salum 40sℹ™🇹�... @Inyud_u
2K Followers 1K Following Never tell me sky's the limit when there are footprints on the moon.
Nasibu @KisaloSelemani
5K Followers 5K Following
Cogito, ergo Sum @LIGUORIA1
4K Followers 4K Following EDUCATION: UNIVERSITY LEVEL. With him is Plentiful Redemption Fides et Ratio Professional: Web Development, Project Management. LANG. KISW. ENG. FRENCH
Ingrid Perbo @PerboIngrid
215 Followers 327 Following
Dr. Muyambi Fortunate @mfbenda
660 Followers 979 Following Deputy Executive Secretary (Head of Programs and Projects) East African Science & Technology Commission @EASTECO1
Edmond @EdmondTRL
3K Followers 1K Following HARD WORK with humility, RESPECT to all, a deep sense of DISCIPLINE, and commitment to SELF RELIANCE.
Stunner @Stunner_yn
19K Followers 2K Following Until the Lion Learns how to Write, Every story will Glorify the Hunter
smart @smart81716973
64 Followers 322 Following dalali smart Dodoma Tunauza viwanja Mashamba pia Tunanunua.Tunapangisha.vyumba na nyumba na FLEM za Biashara Mawasiliano Call_watsapp 0718436694 au 0628300161
Neural Space @NeuralSpaceIO
173K Followers 81 Following Média indépendant dédié à la science. Actus, décryptage & découvertes qui comptent. 🧬 Chaque jour • 🔔 Active les notifs
Yohana Matiko Isack @eng_matiko
111 Followers 535 Following Environmentalist || Grant researcher & writer || Coach || Entrepreneur || Digital-Savvy ✍️We Can, Through Considering Other's Interests #Theist
Justine Isanja @JustineIsanja
17 Followers 296 Following
Dr. Elisha Osati @ElishaOsati
12K Followers 1K Following 19th President-Medical Association of Tanzania-MAT|Physician-Muhimbili National Hospital|Senior Lecturer-MUHAS|Researcher|Chairman NatHREC|Health Policy analyst
The Wandering Ba’al... @SalafiDervish
3K Followers 3K Following 🇾🇪 مدرسة أهل البيت | آل باعلوي | Wanderer
Omo Baba Olowo @Tifusavage
1K Followers 2K Following |Le monde est ce qu'il est. arrêter de suivre les affaires des gens 🌍| |🅽︎🅰︎🅸︎🅿︎🅴︎🅽︎🅳︎🅰︎ 🆈︎🅰︎🅽︎🅶︎🅰︎💛|
Forgive & Forget @27871e
134 Followers 96 Following | GOD FIRST | Gamer 🎮 | Dad |Businessman | Farmer🌾|
Plato 1756 AD @Mpotwa03
306 Followers 2K Following activist, @habari za uchunguzi,philosopher,Mpigania Uhuru.
Daniel Daudi @danydaudi
333 Followers 3K Following @simbasctanzania Instagram @daudi_dany Facebook @danieldaudi [email protected]
Jocelyne Msigwa Kiham... @Jocelyne_msigwa
6K Followers 568 Following
TANZANIA🇹🇿 @tanzakwanza
2K Followers 556 Following #Ilove my Country #Fight for my country #UHURU NA WAJIBU #HAKI NA USAWA# #PINGA UKOLONI MAOMBOLEO# #KATAAA SIASA CHAFU#SIASA SIO CHANZO CHA VURUGU AFRIKA🇹🇿
TANGA BOY @FrankoJoh
14K Followers 3K Following najivunia kuwa mbondei 💪| Medical personal 💊💉. Email: [email protected].
Deoxz Keezy @Deoxz
83K Followers 10K Following Samani za Kisasa | Tunauza & Kutengeneza ✨ | Tabata Barakuda 💎 Where Quality Meets Style | 📞 0656177195 / 0793177195
Neema Manga @MangaNeema
39 Followers 96 Following A PROUDLY MOTHER' CCM DIE HARD MEMBER💚💛 BUSINESS WOMEN.
clavery mjovila @MjovilaClavery
19 Followers 172 Following









































