Sigara Bwege @dibandachu
Sigara ni Hatari kwa Afya yako, kwa maelezo zaidi endelea kuvuta. 🚭 worldwide Joined May 2019-
Tweets4K
-
Followers2K
-
Following962
-
Likes28K
Dunia inafahamu ukweli. Ndiyo maana Tundu Lissu anasema akipatikana na hatia, anyongwe hadi kufa. CCM wanasema adhabu siyo kunyongwa pekee Tundu Lissu anaeleza Mahakama kwamba adhabu ya uhaini ni kuachiwa huru au kunyongwa hadi kufa. CCM wanasema Mahakama iamue kwa hisia tu Anyways, tuachane na huo ujinga wa CCM EPP Group (European People’s Party Group). Ni muungano wa kisiasa wa mwelekeo wa kati-kulia (centre-right) katika Bunge la Ulaya. EPP Group (European People’s Party Group) ndilo kundi kubwa zaidi na lenye ushawishi mkubwa zaidi katika Bunge la Ulaya (European Parliament). EPP GROUP (European People’s Party Group) wamempendekeza Tundu Lissu kugombea Tuzo ya Sakharov (Sakharov Prize for Freedom of Thought) Pia, ECR GROUP (European Conservatives and Reformists Group) wameungana na EPP GROUP kumpendekeza Tundu Lissu kuwa mgombea wao ECR GROUP ni muungano wa kisiasa wa mwelekeo wa kulia/kihafidhina (right-wing/conservative) katika Bunge la Ulaya (European Parliament) Kumpendekeza Tundu Lissu kunamaanisha wanamuona ni alama ya ujasiri na kielelezo cha watetezi wa demokrasia wanaopitia vizuizi Kupendekezwa kwa Tundu Lissu ni tamko kwamba mapambano ya miaka mingi, yametambuliwa katika ngazi ya juu kabisa ya kitaasisi Barani Ulaya Uteuzi huu TAL akiwa gerezani kwa mashtaka ya uhaini unaiweka diplomasia ya Tanzania na mazingira ya kisiasa ya ndani katika jicho la kimataifa; Unaiwekea serikali na taasisi za kisheria ‘presha’ ya kuendelea kuheshimu misingi ya demokrasia, uwazi, na haki za kisiasa na michakato ya kiuchaguzi Mchakato wa kumchagua mshindi wa Tuzo ya Sakharov (Sakharov Prize for Freedom of Thought) unafuata hatua zilizowekwa na Bunge la Ulaya Kupendekezwa ni hatua ya kwanza katika mchakato mrefu wa utoaji wa tuzo hii. Siyo kwamba Tundu Lissu kupendekezwa ndiyo ameteuliwa mshindi Ili mteule aingie katika kinyanganyiro, anapaswa kupendekezwa na: Kila kundi au kundi la wabunge linaweza kupendekeza jina moja pekee Wagombea waliopendekezwa huwasilishwa katika mkutano wa pamoja wa kamati kadhaa za Bunge la Ulaya kwa ajili ya mchujo wa wagombea Kamati ya Mambo ya Nje, Kamati ya Mandeleo, na Kamati Ndogo ya Haki za Binadamu. Hapa, maelezo ya kila mgombea husomwa mbele ya wabunge Kamati mbili kuu za Bunge la Ulaya; Kamati ya Mambo ya Nje (AFET) na Kamati ya Mandeleo (DEVE), hufanya zoezi la kura ya pamoja kwa njia ya siri Kutokana na kura hizo, wanachagua wagombea watatu wenye kura nyingi zaidi ili kuunda orodha fupi ya mwisho (shortlist of three finalists) Uamuzi wa mwisho wa kumchagua na kumpata mshindi haufanywi na kamati, bali unafanywa na Mkutano wa Marais (Conference of Presidents) Kundi hili hukutana faragha, kujadili finalists watatu, na kumtangaza mshindi mmoja rasmi kutoka katika orodha fupi ya mwisho (shortlist of three finalists) Mshindi hualikwa katika ukumbi wa Bunge la Ulaya mjini Strasbourg, France, wakati wa kikao cha pekee cha Bunge la Ulaya, mwezi Desemba Huko, mshindi hutunukiwa cheti rasmi cha ushindi pamoja na zawadi ya kifedha ya £50,000. Hii kwa sasa ni sawa na takribani TZS 174,262,600 Tuzo ya Sakharov ni kitu gani? Tuzo ya Sakharov (Sakharov Prize for Freedom of Thought) ndiyo tuzo ya juu zaidi na heshima ya haki za binadamu inayotolewa na Bunge la Ulaya Sakharov Prize for Freedom of Thought iIlianzishwa mwaka 1988 kwa heshima ya mwanasayansi na mpinzani wa Kisovieti Andrei Sakharov Tuzo hizi wamewahi kushinda watu wazito sana Duniani wakiwepo; Nelson Mandela (1988), Kofi Annan (2003), na Malala Yousafzai (2013) Sakharov Prize for Freedom of Thought hutolewa pia kwa watu au mashirika yanayojitolea kutetea uhuru wa mawazo na haki za binadamu Duniani Wakati Serikali Katili ya CCM inataka kuaminisha Dunia Tundu Lissu ni mhaini, Dunia inakataa kwa vitendo uongo na ghiliba za serikali ya CCM Dunia inampendekeza Tundu Lissu kuwa mshindi wa tuzo ya juu zaidi na heshima ya haki za binadamu inayotolewa na Bunge la Ulaya. Kwa heshimaaaa. MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
Leo Jijini Brussels, jina la Mh Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi feki ya uhani Tanzania limewasilishwa rasmi kwa Bunge la Ulaya kwa ajili ya Tuzo ya Uhuru wa Mawazo ya Sakharov 2026. Mh Lissu amependekezwa na wabunge wa @EPPGroup na wale wa @ecrgroup ikiwa ni ishara ya kutambua na kuthamini ujasiri wake na wa Watanzania wote wanaopigania uhuru na misingi ya demokrasia Tanzania katika mazingira magumu na hatari.
@DeoMunishi @ChademaTZ2 @ReinholdLopatka May God bless you 🙏
It's an absolute honour to meet and present special @ChademaTZ2 greetings to MEP @ReinholdLopatka in Brussels🇧🇪. Our brief meeting touched on Tundu Lissu's fake treason case, the broader deterioration of democracy, human rights violations & the erosion of freedom in Tanzania🇹🇿
Naishiwa pawa
"Nimewahi kwenda Nairobi nikapata kukutana na mmoja wa madaktari waliokuwa wanamtibu Mhe. @TunduALissu aliwahi kuniambia Lissu alifika Nairobi akiwa ameishiwa damu kabisa akawa anaishi kwa kutegemea puvu la damu." Mhe. Dickson Matata, Mwenyekiti Kanda ya Magharibi.
Ukiungana na watesi
Rapa wa Marekani, Rick Ross (50) amekamatwa na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za unyanyasaji. Polisi wamesema tukio hilo lilitokea Agosti 28, 2026 ambapo mwanamke mmoja amedai kuwa Ross alimpiga baada ya kukasirishwa na picha ya Instagram aliyowekwa.
Rapa wa Marekani, Rick Ross (50) amekamatwa na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za unyanyasaji. Polisi wamesema tukio hilo lilitokea Agosti 28, 2026 ambapo mwanamke mmoja amedai kuwa Ross alimpiga baada ya kukasirishwa na picha ya Instagram aliyowekwa.
@Phbhimself Sema tu wale ni mbwa mateja kaka! Usimalize miti
Wakati Tundu Lissu anafanya maamuzi ya kujitetea mwenyewe kwenye hii kesi, alikuwa na lengo moja kuu: KUANIKA UDHALIMU WA KIDOLA ULIOVIKWA JOHO LA SHERIA. Lissu ni Socrates, Mandela, Mahlangu, na Yesu wa wakati wetu. Ni mmoja wa wachache sana katika historia waliotambua tafsiri ya “for greater good” na kuwa selfless kiasi cha kuamua kukinywea kikombe. Naamini kabisa ipo siku wakati washenzi wote wamesahaulika, watoto na wajukuu zetu watasoma habari za historical figure aliyeitwa Tundu Antiphas Lissu na kujisemea “hakika nchi yetu iliwahi kuwa na wazalendo.” NB: Siku mtukufu akimnyonga, tumsihi afanye hivyo mbele ya hadhara ili wote tufurahie upandwaji wa mbegu hii adhimu. Yes, tufurahie na kusema “he was willing to march into hell for a heavenly cause.” Amandla!💪💪
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 493 Upande wa Jamhuri wanaendelea kufanya Mawasilisho yao ya mwisho yani Final Submission. Naomba nimalizie hoja ya mwisho ambayo ilikuwa ni maelezo yaliyoko kwenye witness statement na ushahidi uliotolewa mahakamani. Tutawaalika D1 hadi D16, what exactly kilichofanyika ni kuonyesha ommissions kwa asilimia kubwa na hata kama kulikuwa na contradictions zilikuwa minor which do not go to tje root of the case, kwa mfano aliyekosea dini, hiyo ni contradiction inayoenda kwenye root of the case kuliko aliyesema anagari 2 then baadae akagundulika ana gari 5 yeye ndio aaminiwe? Ushahidi wa hao mashahidi ulikuwa chini ya kiapo na wanapaswa kuaminika, maneno haya yapo kesi ya Abel Orua Matiku and others vs Republic criminal appeal no 441 of 2020. Kwenye maelezo yote hakukuwa na inconsistency isipokuwa ommissions na ushahidi wao haujahama kutoka kwenye msingi uliopo kwenye vielelezo hivyo ina defeat kifungu cha 163 cha CPA kuhusu contradictions, na kama zipo ni very minor, ni submission yetu kwamba kwa ushahidi wetu wa mashahidi 17 tumethibitisha pasipokuacha shaka na mtakapokuwa mnachambua ushahidi mshtakiwa awe convicted as charged. Waheshimiwa majaji naongea na wenzangu wanasema hawana cha kuongeza kwa kile ambacho nimefanya submission. Waheshimiwa Majaji kwa kumaliza kusema hayao tunaomba sekunde 5 tuweze kuwashukuru maana shauri hili lilianza mwaka jana septemba hadi mwishoni septemba 2026 kwa kusikiliza mashahidi wetu 17 na watano waliotusaidia. Tunawashukuru sana kwa jinsi Mahakama ilivyo to treat kama binadamu pale ambapo tulikosea. Tunamshukuru pia kaka yetu kwa umri na taaluma, mbali na maneno makali hayakuweza kujenga kitu kibaya isipokuwa tafsiri ya sheria na kwa upande wetu ilikuwa to discharge wajibu wetu katika kuthibitisha shtaka na kwa kifungu hiki ambacho kinakuwa tested kwa mara ha kwanza. Ni hayo tu kwa upande wa Jamhuri. Mara baada ya Wakili Katuga kusema kuwa amemamaliza kuwasilisha submission kwa upande wa Jamhuri. Jaji anamuuliza Mshitakiwa una rejoinder yoyote? Mhe. Lissu anamjibu huku anacheka, Waheshimiwa Majaji, mimi nilimaliza jana sina lingine. Majaji wanacheka. 😀😀😀 Jaji Ndunguru amemwambia kumchomekea akijua kabisa hawezi kuwa na la kusema kwasababu zamu yake ilishaisha. Jaji Ndunguru anasema basi tunashukuru shitaka lilikuwa refu sana, tunawashukuru pia hata Wananchi pamoja na kwamba walikuwa wanatuchochea kufanya fujo kidogo lakini hatukuchocheka. Kwa leo tunaishia hapa. Ngoja tupate muda ili tuweze kufanya kitu kwa ajili ya hukumu. Tutafakari neno kwa neno. Tarehe 06/11/2026 tutatoa hukumu. Naomba Repost yako.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 492 Upande wa Jamhuri wanaendelea kufanya Mawasilisho yao ya mwisho yani Final Submission. Katuga anasema kuna hoja ilitolewa kuwa mashahidi wa jamhuri sio competent and lack credibility kwasababu they were acting under their superior Ramadhan Kingai na IGP Wambura kuwa waliwahi kushiriki kumshtaki mshtakiwa mara kwa mara. Tunaalika Mahakama kuangalia ni sheria gani inasema hawa sio competent? Ni submission yetu kuwa hakuna sheria ya namna hiyo. Ni maneo ya Popart Emmanuel vs Republic criminal appeal no 200 of 2010 at page 5 as a regard to the reliance of witness from one office we know no law which states that they are not competent, police officers are competent to testfy, what is important is what they are saying is true. Mahakama ilisema walikuwa competent to testfy. Kesi inayotafsiri kuwa kila shahidi ni competent ni DDP vs Sharif Mohamed and 6 Others criminal appeal no 74 of 2016 CAT walisema kila mtu ni competent to testfy mwenye knowledge na matter at issue at the trial. Kulikuwa na hoja kuwa hawawezi kutestify sababu walijiandika maelezo yao wao wenyewe, utetezi huu haukuwa supported na kifungu chochote cha sheria rather rejea ya kifungu cha 11 cha CPA kinachosema Polisi anaweza kumuandika mtu yoyote maelezo. Kifungu hiki hakijaweka utaratibu wa je huyo polisi anayefanya investigation anaandikwa maelezo na nani? Kwakuwa hakuna kifungu mahususi kilicho restrict police anayepeleleza kuandika maelezo yake na declaration kuahidi kuandika maelezo kwa usahihi, kwahiyo hakuna kosa linalopelekea shahidi huyo kutokuwa competent. Waheshimiwa majaji hoja nyingine ilikuwa kwamba hao mashahidi ambao ni polisi officers na wale mashahidi ambao walichocheka wale wenye majina ya P ni mashahidi ambao wana interest to save. Tukianza na washtakiwa ambao walikuja kutoa ushahidi kifungu cha 151 cha Sheria ya Ushahidi kinasema an accomplice shall be a competent witness, kama walichocheka na maneno ya mshtakiwa ni washtakiwa wenza. Waheshimuwa majaji hoja kuwa mashahidi hawa wana interest to save wameiambia mahakama uongo, hoja ni kwamba waliona kideo au hawakukna,? Walichocheka au hawakuchocheka? Lalamiko kuwa wana interest to save yasichukuliwe kwa uzito, kesi ya Basil John Mlay vs Republic criminal appeal no 306 of 2018. Part 493 itaendelea kwenye post inayofuata, Naomba Repost yako.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 487 Tumerejea mchana huu baada ya mapumnziko. Anasimama Katuga anasema quorum iko kama asubuhi na wako tayari kuendelea. Anasema naomba kuendelea na kiini cha shitaka namba 2 baada ya kile cha kwanza kwamba mshitakiwa ana duty ya utii. Upande wa Jamhuri unasema kwamba mshitakiwa kwa ushahidi uliotolewa imethibitika kwamba alitengeneza nia ya kuchochea umma kwa nia ya kuitisha serikali ili ifanye yale anayoyataka. Na hiyo ni kutokana na sentensi au maneno yakiyotamkwa na mshitakiwa na upande wa mashitaka kuyanukuu kwenye hati ya mashitaka. Maneno hayo utaona mshitakiwa akieleza umma kwamba kuhamasisha uasi ni namna ya kupata mabadiliko. Utaona anasema kukinukisha ni namna ya kupata mabadiliko. Kwahiyo maneno yenyewe yaliyotumika kwenye mashitaka yakithibitishwa yametamkwa na mshitakiwa tafsiri yake vile yakivyokaa yalilenga ku compel kuitishia serikali iweze kufanya anayoyaamini mshitakiwa yanatakiwa kufanywa. Waheshimiwa Majaji neno uchochezi au instigation kwenye hati ya mashitaka kabla ya kwenda kutengeneza nia ya ku instigate ni busara tunaona Jamhuri tupate tafsiri ya neno to instigate. Katika Mahakama Supreme Court ya India katika kesi ya Mahendra KC vs State of Karnataka and another Criminal Appeal No. 1238/2021 walidefine to instigate Is to provoke, insight, .... Katuga kingereza chake kina matege sana haeleweki anatakamka nini? Mdomo mzito unaweza kudhan anaongea kisukuma. Kwa tafsiri hiyo unaweza kuwa uchochezi maneno au conduct lakini uchochezi huo labda u suggest madhara au unajitosheleza na uchochezi huo uwe capable kuwekwa hadharani. Sasa Mahakama tunaialika iyapime maneno yakiyopo kwenye hati ya mashitaka kwamba yalichochea umma kwa nia ya kuitisha Serikali. Tunaomba Mahakama i note kitu muhimu kuhususiana na maneno haya. Maneno haya hayajakubalika katika kipindi cha PH lakini wakati wa usikilizwaji upande wa Jamhuri kupitia mashahidi wake 16 isipokuwa PW 3 walieleza kumsikia mshitakiwa akitamka maneno haya yaliyotamkwa kwenye hati ya mashitaka. Part 488 itaendelea kwenye post inayofuata. Naomba Repost yako.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 486 Upande wa Jamhuri wanaendelea kufanya Mawasilisho yao ya mwisho yani Final Submission. Kuna simu imeita kama dakika mbili hivi ya mzee sana, Jaji Ndunguru amesema atoke nje akazime simu yake, ni mzee sana, hata kuitoa simu ilipokuwa imekuwa shida sana Ilikuwa break kidogo Ushahidi huu unaonyesha maana ya Executive na linamfanya mshtakiwa aweze kuandaa ushahidi wake, kilichotishwa ni Jukumu la Serikali katika to maintaib peace, law and order. Mahakama ikijiuliza Executive iliyotumika kwenye hati ya mashtaka ni ile iliyopo kwenye sheria na ushahidi uliotolewa. Important point to cosnider kwa mujibu wa hati ya mashtaka ambayo inaweza kuwa sub element ya kifungu cha 39 ambayo hati ya mashtaka imetumika kumshtaki accused iliachana na neno deed ikatumia for the purpose of intimidating Executive, it is our submission kwamba neno lililotumika hapo linamaanisha whether the executive is intimidated or not is immaterial. Hivi sasa ni saa saba tunaomba break ya one hour Jaji Ndunguru mshtakiwa unasemaje? Lissu: Ni sawa Jaji Ndunguru: mnaintend kumaliza leo? Katuga: sisi tunajikita kwenye hoja ili tumalize waheshimiwa majaji sisi hatutataja mambo ya pilau sisi hatutajikita huko Jaji Ndunguru: Shauri linaahirishwa hadi saa nane na robo Imepigwa High Coooouuuuurrrrrttt Majaji wanatoka Tukutane saa nane na robo.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 484 Upande wa Jamhuri wanaendelea kufanya Mawasilisho yao ya mwisho yani Final Submission. Katuga anasema Waheshimiwa Majaji baada ya kuangalia maana ya kuthibitisha beyond reasonable doubt. Twende sasa tukaangalie ni kitu gani ambacho upande wa Jamhuri ulipaswa kuthibitisha. Katika kuangalia hili ni kuangalia viini au elements za kosa la jinai baada ya kuvitohoa kutoka kwenye kifungu cha 39. Kwa unyenyekevu waheshimiwa majaji tunaiomba mahakama ijiulize maswali yafuatayo 1. Kwa mujibu wa mashtaka haya, mshtakiwa ana wajibu wowote wa utii kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? 2. Kama mshtakiwa alitengeneza nia kuchochea umma kwania ya kuitishia serikali. 3. Kama mshtakiwa alidhihirisha nia yake hiyo kwa kitendo cha kutoa na kusambaza maneno. Hivi ndio viini vikuu ambavyo tunaomba Mahakama ijiulize, iache masuala ya mwanasiasa kwasababu hana immunity, suala la mzalendo kwani wapi yeye ana immunity? Viini hivi ukiviangalia haviendi mbali na viini vilivyojadiliwa katika Ukurasa wa 14 wa Hatibu Gandhi na wenzake , Mahakama ya Rufaa ilichambua viini vitatu ial kesi hii ilihusisha kifungu cha 39(2)(a) na kiini a) ni allegience to the United Republic b) kama accused waliform nia ya uhaini na c) kama walidhihirisha nia hiyo by overt act. Waheshimiwa majaji viini hivyo vinafanana na tulivyovitaja isipokuwa tu kwenye Hatibu Gandhi Mahakama ilipojadili manifestation by overt act, kesi iliyopo mbele yenu tunaomba mtafsiri manifestation by deed Kwenye hivi viini yafuatayo ni majumuisho yetu ya kwanini vimethibitishwa na upande wa Jamhuri. Tukianza na kiini cha kwanza kama mshtakiwa ana duty of allegience to the URT. Kiini hiki hakikupingwa wakati wa hoja za awali zilizofanywa mbele ya Mahakama hii tukufu, ilikuwa ni moja ya undisputed facts kwenye preliminary hearing iliyofanyika 22/09/2025 na kurekodiwa kwenye memorandum of undisputed facts kwenye ukurasa wa 133 ya proceedings. Dhumuni la kufanya preliminary hearing kwa mujibu wa kifungu cha 198 cha CPA R:E 2025 zoezi hili is not for cosmetic use, ni zoezi ambalo nia yake ni kuspeed trial kwa kuchambua yale yote yasiyobishaniwa na jambo lolote linaloandikwa kwenye memorandum of agreed facts inamaanisha yale yaliyokubaliwa hayahitaji further proof unless Mahakama itaona kuna haja ya kufanya hivyo. Haya sio maneno ya Katuga ila yapo kwenye kifungu cha 198(4) kwamba undisputed facts hayahitaji formal proof. Baada ya hoja ambazo zimekubaliwa, ni jukumu kwa upande wa jmahuri kuthibitisha kile inachokituhumu sio kila undisputed facts, kwa mujibu wa kifungu cha 3(2) cha Sheria ya Ushahidi wajibu wa kuthibitisha wa Jamhuri ni yale inayoyatuhumu sio yote yaliyokataliwa wakati wa preliminary hearing. Waheshimiwa majaji tuhuma zipo kwenye hati ya mashtaka, summary of evidence hazitengenezi tuhuma ila zinasomwa kwania ya ku identify mambo yasiyobishaniwa, hata the way zinavyotengenezwa ni kumpa nafasi mshtakiwa nafasi ya kuzielewa na kuzijibu. Zile summary of evidence matumizi yake yanaishia hapo na kinacho prevail ni memorandum of agreed facts. Tunaleta haya kutanua uelewa, ikitokea mtu akasema kwamba kwenye PH alituhumiwa msikubaliane nae kwasababu summary of evidence sio tuhuma. Part 485 itaendelea kwenye post inayofuata, Naomba Repost yako.
@HildaNewton21 Hili likatuga ndio limwanasheria likuu la serikali? Hizi takataka zinatumia AI na bado zinaongea ushuzi tu.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 482 Upande wa Jamhuri wanaendelea kufanya Mawasilisho yao ya mwisho yani Final Submission. Katuga anasema Waheshimiwa Majaji intention to instigate person or group of person na mimi nikiangalia hati ya mashitaka ya Jamhuri imesema ali instigate umma kwa ujumla wake. Nitaeleza hapa kwanini? Hati ya Mashitaka ilisema watu walichochewa ili wafanye nini? Aliuchochea umma wa Tanzania ili kuzuia General election ya 2025. Hati yetu ya mashitaka iliachana na neno deed ikachukue neno for the purpose of intimidating the Executive na hapa ikaachana intimidating legislature or the Judiciary. Kwahiyo ikabakiza intimidation ya Executive. Lakini tukiendelea kwenye hati yetu ya Mashitaka utaona kwamba ile njia aliyoitumia nia yake hati ya mashitaka iliachana by publishing any writing or printing by an overt act na imeachana na manifestation ya hiyo nia kwenye ku publish hiyo njia by overt act ikaacha. Lakini ikachukuliwa manifestation by his deed kwa kitendo chake cha kutoa na kusambaza hayo maneno. Sehemu zote nilizokuwa nasema hati ya mashitaka imeacha haya imechukua haya. Mfano publication by writing or printing tumeacha na kuchukua nyingine mfano deed maana yake hayo maneno they are not similar unless ikitumika or basi sheria iwe imesema expressly kwamba maneno hayo yaongezwe. Neno lililotumika ni or sehemu zote. Naomba nirudie hapo, anaaanza mwanzo. NB. Kwa kifupi kumuelewa Katuga ni kazi sana.🤧 Kokote pale katika kutafsiri sheria linapotumika neno OR huwezi kuyakusanya kama kiroba ukaweka yote kwenye hati ya mashitaka ndio hati inakuwa defective. Neno similar au maneno mengine yanayoonesha similarity yawe added ndio neno or lisitumike. Haya maneno ambayo or imetumika kwenye hati ya mashitaka hayawezi kutumika kwa pamoja. Neno or linapotumika sio utaratibu wetu bali Bunge lilitunga sheria kifungu cha 13 cha Sura ya Kwanza, Sheria ya TAFSIRI ZA SHERIA R.E 2023. Kinasema hivi in relation to written Laws but Subject to subsection 4 when the word "or" used hautaweza kuyatumia kwa pamoja utakachagua moja. Ili kuifanya hati ya mashitaka ieleweke tulichagua maneno ili hati ya Mashitaka ieleweke. Tulifanya hivyo tukiwa tunajua hati ya mashitaka ni muhimu sana ili kumtaarifu Mshitakiwa kuhusu mashitaka aliyokuwa nayo na aweze kujitetea. Kifungu cha 39(2)(d) kimeanza na neno any person yanaonesha ni mtu yeyote mwenye utii kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hili neno Any Person halijamuondoa mtu yeyote labda awe na immunity. Mtu mwingine anaweza kusema yeye ana cheo gani au mwanasiasa kwamba atakuwa excluded pale atakapoitisha Serikali. Kifungu hiki hakijachambua huyo any person ametokea wapi? Waheshimiwa Majaji niliomba kuwa nitasema pale kwenye kuhusu mtu yeyote au kikundi cha watu. Tumetumia neno Public, pale kifungu kinapozungumzia watu watakaokuwa instigated yaani kushawishiwa. Sisi tumetumia neno umma badala ya mtu yeyote au kikundi cha watu. Waheshimiwa Majaji tumetumia neno public kuleta clarity in term of the evidence intended in the evidence tuliotegemea kuutoa. Kwamba Jamhuri ilipanga kuleta ushahidi gani hivyo hati ya mashitaka tunaiweka kama kifungu cha 135 cha CPA kuhusu namna Hati ya Mashitaka inavyotakiwa kuwa. Waheshimiwa Majaji ...... Jaji Ndunguru: Sasa uongeze sauti hatukusikii kabisa. Tulitumia neno PUBLIC ili kuifanya hati ya Mashitaka iweze kueleweka kwa mujibu wa kifungu cha 135. Kama tulivyoeleza kuhusu kifungu cha 135 tuliweke kwa makusudi ili shitaka lieleweke. Hiyo person or group of person they are coming from public, yasije onekana ni maneno ya Katuga. Ni kifungu cha 5 cha Penal Code ambacho kinasema maana ya Public kinasema hivi. Part 483 itaendelea kwenye post inayofuata, Naomba Repost yako.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 477 Mhe. Lissu anaendelea kufanya mawasilisho yake ya mwisho (Final submission) DW4 alisema Mkutano ulichukua masaa matatu hadi matatu na nusu na hotuba ya mshtakiwa ilichukua masaa mawili na nusu ukurasa wa 805. DW5 amesema mkutano ulichukua masaa manne au zaidi na hotuba ilichukua zaidi ya masaa mawili ukurasa 883. DW5 aliongeza mkorogo kwenye huo ushahidi kuwa aliona video hiyo hiyo Jambo TV yenye masaa mawili, video hiyo hiyo Chanzo TV yenye dakika 45 na video hiyo hiyo Mwanzo TV yenye dakika 60. Waheshimiwa Majaji, nani alikuwa na wajibu wa kuthibitisha kuhusu video??? Jibu ni upande wa mashtaka na hawajathibitisha video yoyote. Waheshimiwa Majaji, just to show how their case is hopeless, hicho kipande kilichopo kwenye hati ya mashtaka kina urefu kiasi gani? PW3 alisema hayo maneno yaliyopo kwenye hati ya mashtaka, eti alisema haya maneno kwenye video ni dakika 8 na sekunde 37 ukurasa wa 233 wa record. DW2 - DW 5 maneno hayo ni between 26 seconds to 2 minutes kwahiyo hayo maneno yanayolalamikiwa yanathibitishwaje katika confusion hii? Hivyo upande wa mashtaka umeshindwa kuthibitishwa chochote kuhusu video, maneno ambayo ukifumba macho ndio utakubaliana nao, nawaomba Waheshimiwa majaji msifumbe macho, msikubaliane nao walitakiwa kuthibitisha beyond reasonable doubt. Video waliyotaka kuileta ilikataliwa Oktoba 23, 2025 lakini kati ya Oktoba last year na now Septemba Upande wa mashtaka haujawahi kuchukua hatua yoyote kwenda kurekebisha ili video iweze kuletwa na afisa anayekubalika kisheria, hawajafanya chochote leo ni miezi 11. Mara nyingi Katuga ametuambia Mahakama sio ya mama yetu, na yeye sio ya mama yake kwahiyo msimkubalie. Waheshimiwa majaji, hii kesi imefunguliwa kinyume cha Sheria. Kifungu cha 4(3) of CPA, kifungu hiki kinasema kwamba pale ambapo jambo linalogombaniwa lina sura ya kimadai au kiutawala au kijinai lazima kwanza zile sura za kimadai au kiutawala zimalizwe kwanza ndo kesi ya jinai ifunguliwe. 🫡 Mhe. Lissu anatoa darasa ambalo nna uhakika hata Majaji kuna mengi wamejifunza kupitia hili darasa. Haya tuendelee Mhe. Lissu anasema Waheshimiwa Majaji kwenye kesi kama hii ni kipi ambacho kina sura ya kiutawala au kimadai? Mmeambiwa Mshtakiwa ni Mwenyekiti wa Chadema, chama kilichosajiliwa kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa Sura ya 258, masuala ya vyama vya siasa na matendo yao, makosa wakikosea yamekabidhiwa kwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa. Kiongozi wa kisiasa akifanya jambo linalodhaniwa ni kosa lazima kwanza achukuliwe hatua na msajili wa vyama vya siasa, mamlaka yake yapo kwenye kifungu cha 7 cha Sheria hiyo. Waheshimiwa Majaji ushahidi unasemaje? Mara tu Chadema na Mwenyekiti wake walipoanza kuhamasisha No Reforms, No election nchi nzima msajili wa vyama vya siasa aliiingilia kwa kutumia mamlaka yake niliyoyasema ukurasa wa 677 wa record, msajili aliingilia kati, ni ushahidi wa DW2 John John Mnyika. Msajili alielezewa na akaelewa na akatoa taarifa kwa umma kuwa ameelewa hapo ilikuwa bado mimi sijakamatwa. What happened after 3/4/2025? Ukurasa wa 681 DW2 anasema msajili aliandika barua kwa Lissu na niliipokea kwasababu Lissu alikuwa tayari amekamatwa na nilimjibu msajili kuwa Lissu tayari anashtakiwa kwa uhaini kuhusu hotuba yake ya 3/4/2025 kwahiyo ilikuwa inashughulikiwa na mamlaka nyingine. Huu ushahidi wa DW2 haukuhojiwa hata kidogo na jeshi la mawakili wa Serikali meeaning in terms of justice Lumima Katiti case, huwezi ukashughulikia kijinai suala ambalo linaweza kushughulikiwa kimadai, kesi ya Robert Kadaso Mageni Vs Republic Criminal Appeal No 476 of 2026 CAT Songea 18/08/2023 Mr. Justice Ndika at page 2. Mahakama ya rufani ilisema Section 4(3) of the CPA, creates a binding requirement to exhausition of available civil and administrative remedies before criminal process can be invoked. Part 478 itaendelea kwenye post inayofuata, Naomba Repost yako.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 473 Mhe. Lissu anaendelea kufanya mawasilisho yake ya mwisho (Final submission) Unabaki ushahidi wa PW 17 ambao umeniunga mkono kwenye mambo yote ya msingi. Waheshimiwa Majaji as a matter of general principle ushahidi wa jamhuri unapaswa kutafsiriwa na kuzingatiwa kwa ujumla wake na kwa vipande pande vyake vilete maana moja. Ushahidi unatakiwa utafsiriwe kwa ujumla wake. Oscar Lwela na Nguza Viking supra zinasema hivyo. Swali muhimu la kujiuliza huo ushahidi wa upande wa mashitaka unalinganaje na ushahidi wa upande wa utetezi. Ukiufananisha. Relative the prosecution witnesses. All defence witnesses and their Evidence were materially different. Shade character witnesses by the prosecution differ with the defence witnesses. Upande wa Utetezi ni mashahidi wa aina gani waliwaleta: 1. Prominent, well know and experienced political leader. Viongozi wajuu, wanaojulikana na wenye uzoefu na wenye sifa njema. Mwanaharakati anayejulikana kimataifa kwa kutetea haki za Binadamu. Akiwemo Mshitakiwa ambae ni An intentionally respected human right defender, National Chairman of the largest political party in Tanzania. Ninachotaka kusema DW1 ushahidi wake na wasifu wake kwenye kurasa 559 hadi 563, 566 hadi 577. Wasifu wa shahidi No. 1 wa utetezi. DW 2 Katibu Mkuu wa Chadema, Distinguished political parliamentarian career na wasifu wake uko kwneye kurasa zifuatazo za Record 658, 682 hadi 685, 706 hadi 707 DW 3 Amani Golugwa Deputy General Secretary na ushahidi wake uko kuanzia ukurasa wa 729 hadi 730, 754 hadi 759. Na 764 wa record ya Mahakama. DW 4 ukurasa 807 hadi 810, 814, 821 na 827 hadi 828. DW 5 John Heche a distinguished a political and parlimentary career ukurasa wa 835 hadi 837, 839 hadi 845, 848 hadi 856 na 892 hadi 896. Hao ndio waliokuja kutoa ushahidi mbele yenu. Watu wa maana katika siasa na wenye heshima kwenye Taifa hili sio watu wa Mafichoni. Waheshimiwa Majaji mashahidi wote wa upande wa utetezi walikuwa ni mashahidi wa kuona. They were there, they were eye witness kwa kila lililotokea siku ile ukilinganisha wa upande wa mashitaka ambao wote hawakuwepo na mmoja aliyekuwepo eneo la tukio anaungana mkono na mashahidi wa upande wa utetezi. Mashahidi wote wa Utetezi wamezungumza sio tu mambo yaliyotokea Tar. 03/04 vilevile walizungumza juu ya uzoefu wao na wa Chama chao juu ya matatizo ya kisiasa, Kikatiba na Kiuchaguzi ya Nchi hii from their direct Experience. Walizungumza kutoka kwenye mioyo yao. Waheshimiwa Majaji viongozi hao walisema jinsi ambavyo kila mmoja wao alivyowahi kukamatwa kwa tuhuma za uongo na kwamba wamewahi kukamatwa na kufunguliwa Mashitaka. Walizungumza juu ya mauaji ya viongozi na wanachama wa chama chao waliokufa kutona na matatizo ya Uchaguzi nchini. They spoke direct from their experience. All of them, walikiambia Mahakama hii kile ambacho Mahakama hii haikuambiwa na upande wa mashitaka. Kwamba maneno yalizungumzwa kwenye context gani na kwanini jambo ambalo halikusemwa na upande wa mashitaka. Mashahidi wote hao walisema wana maslahi na kesi hii kwasababu mwenyekiti wao yuko ndani kwa kosa la Uhaini ni kiongozi gani ataona kiongozi wake anashitakiwa kwa makosa ya uongo na walisema kitu muhimu kuwa wana maslahi ya HAKI. Hawakuja kama wale wengine wa Jamhuri kwamba wanaogopa kufungwa. They just come for the interest of justice ili mateso ya Mwenyekiti wao yakome. Nani atakayesema hayo MASLAHI ni Haramu? Who will say their interest are the same as the interest of the ctiminals who arrested by police and turned as their witnesses. Kwenye kesi ya Goodluck Kyando vs Republic CA 118/2003 Mahakama ya Rufani ilisema kila shahidi anastahili kuaminiwa na ushahidi wake kukubaliwa isipokuwa tu. Kama kuna sababu nzuri na za maaana zinazoeleweka za kutokumuamini shahidi huyo. Part 474 itaendelea kwenye post inayofuata, Naomba Repost yako.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 472 Mhe. Lissu anaendelea kufanya mawasilisho yake ya mwisho (Final submission) Sasa hao ndio wameletwa kuja kutoa ushahidi sasa je wangekuja kuwakana hao waliowafutia kesi.??? Mnategemea nini kwa mashahidi wa aina hiyo? Kwamba waje kusema ukweli Mahakamani? Kwenye ukurasa 448 wa record PW 16 alikuwa ameiambia Mahakama hivi kuhusiana na hao kwamba the files to be returned to the respected station and the suspect to be recorded statement as witnessses. Mwanzoni walikuwa wanakamatwa kama watuhumiwa lakini baadae wakasema watafutwe na Wakamatwe lakini waandikishe kama mashahidi wa kesi ya Uhaini, waandikeni maelezo yao upya kabisa. Kwahiyo mashahidi wa Mafichoni ni mashahidi wahalifu waliokamatwa na kuja kutoa ushahidi kwa kificho ili wasionekane wala wasijulikane na mnakumbuka kila mmoja wao niliwauliza ulitishiwa maisha akawa anajibu Hapana hapana. Mashahidi waliwekwa mafichoni kwa njia za udanganyifu na kusema walitishiwa wakati hakuna aliyewatishia. Hiyo ndio kesi wanayotegemea na nyie Majaji mconvict mshitakiwa. Sasa Sheria inasemaje kuhusu relying on inherent danger through partisan witnessess Mahakama zetu zimetambua hatari za kutegemea ushahidi wa mashahidi wa aina hiyo. Maslahi ya aina hiyo. Kwamba wanaambiwa nitakufutia kesi ukikubali kuwa shahidi wa kesi ya yule. Kushitakiwa sio jambo zuri kwenye taifa hili. Ukimwambia mtu ukikubali kutoa ushahidi wa yule basi atakubali tu ndo maana Mahakama zetu siki nyingi inasema Abraham Sagulani vs R 1981 TLR 265 Mahakama iliamua yafuatayo kuhusu na suala la mashahidi wa aina hii mashahidi wenye interest to safe their evidence must be approached with care and not reliep with upon unless corroborated with other evidence. Vilevile kesi ya Asia Iddy vs Jamhuri 1989 TLR 174 Kesi ya Justice Rumima Katiti Kesi ya Basilio John Mlai vs R CA 306/2018 CAT at Arusha. Vilevile kesi hizi zote zimezungumzia hiyo habari ya ushahidi wa shahidi mwenye interest to save. Na Mahakama ya Rufani inasema mashahidi wa aina hii ni Liars na waongo. Sasa Majaji kwa msingi wa maamuzi haya ambayo nimeyataja, mashahidi hawa wa mafichoni haupaswi kuguswa kabisa ni ushahidi wa maslahi na hautakiwi kuwa Corroborated kabisa. Ushahidi wa PW 5 utakumbuka ni yule aliyedanganya kuhusu Dini yake. Mahakamani amekula kiapo kama mkristu na maelezo yake ya maandishi kinasema yeye ni Muislamu. Huyo anayedanganya mpaka dini atamfunga nani? Ukurasa wa 342 wa record. Shahidi huyo pia alidnaganya kuhusu uanachama wake wa Chadema ameulizwa kadi haelewi. PW 7 huyu alisema uongo kuhusu kupelekwa kituo cha Polisi Songea na alidanganya kuhusu uanachama wake kuhusu Chadema. Ukurasa 358/359. PW 8 Ushahidi wake uko ukurasa wa 353 na 354 nae ushahidi wake incosistent and contradiction, Discrepancies and lies. PW 10 ukurasa wa 378 alidanganya kwamba mshitakiwa alisema tumejipanga kufanya vurugu. PW 11 ushahidi wake ulijaaa contradictions, Discrepancies. PW 13 Huyu alidanganya juu ya uanachama wake wa Chadema kwenye maelezo mimi ni mwanachama wa Chadema lakini kizimbani mimi bado sijawa mwanachama. Na shahidi wa mwisho PW 14 alidanganya kuhusu kazi yake kwani Polisi alisema yeye ni Mkulima wa Kata ya Mwakibete. Alipokuja Mahakamani akasema yeye ni fundi umeme wa Jiji la Mbeya na huyu shahidi alisema lazima tukichafue wakati mimi nilisema lazima tukinukishe. Kwahiyo Waheshimiwa Majaji 😂😂😂😂 Majaji na watu wanacheka sana. Mashahidi 9 wa kifichoni na mashahidi 7 ni ushahidi wenye mashaka na hakuna ushahidi nje ya ushahidi wa Mapolisi na hawa wa gizani maana yake huo ushahidi should not be acted upon at all. Part 473 itaendelea kwenye post inayofuata, Naomba Repost yako.
Tito Magoti @TitoMagoti
286K Followers 11K Following Freedom Fighter. Activist-in-Chief. Attorney. Tundu Lissu’s Protégé.
The mandevu @ze_mandevu
443K Followers 10K Following || Arsenal ||Content Creator || Compatriot ||Activist ||
Deogratias #FreeTundu... @DeoMunishi
19K Followers 36 Following International Secretary @ChademaTZ2| Vice Chairman @dua_africa| Secretary General @bavicha_taifa 2011-2014| .
🅱️🅾️🅱️ @Bichwa7
621 Followers 2K Following Christian 🧎 mtu humble sana🤦 simba fan||Manchester United fan ⚽
Guluguja @Guluguja23
254 Followers 1K Following
😘 Latina Amy @amyb4054er
15 Followers 898 Following this is your stroke 🍒 watch my main: @amyblissxo
Muzo Muzo @MuzoMuzo1483233
51 Followers 799 Following
JohnDoe @mad_genius6
4K Followers 4K Following Mad Genius | Pan-Africanist | Viwanda na Maendeleo ya Afrika Mashariki | Hip-Hop Head & Kanyeist | Kaizeni| 🇹🇿
John Kananda @john_kanan21379
7 Followers 318 Following
Gerardo Schamberger @GerardoSch41782
90 Followers 4K Following
Maburuki @Maburuki6
36K Followers 37K Following
Midoooo @Midoooo46963085
57 Followers 626 Following
Willis Farrell @FarrellWil44632
90 Followers 3K Following
Tyler Wintheiser @TylerW27293
123 Followers 4K Following
MONICA BELLOCCI @op3it
2K Followers 2K Following JUNE IS BRINGING 💯SUCCESS. JUNE IS BRINGING 💯HAPPINESS. JUNE IS BRINGING 💯PROSPERITY. JUNE IS BRINGING 💯ABUNDANCE. JUNE IS BRINGING 💯GROWTH. CLAIM IT❤!
Miguel Wunsch @miguel_wun97585
68 Followers 3K Following
Hashim Lila @hashim_lil73934
12 Followers 460 Following
Rastafarian @EnockMasunzu
826 Followers 7K Following Backbencher, Rastafarian, Street fighter, Reggae🎶🎶lover
Rodrick Mwazembe @Mwa77031Rodrick
412 Followers 2K Following
Cartoon Chelsea..🇹... @enock_ezek27322
315 Followers 2K Following Super fan of Chelsea Fc..🫂 All the way From 🇹🇿..
Jonas Nestory @nestory64844
263 Followers 3K Following
Firgna @Firgna005
94 Followers 3K Following
Baraka Fundo @fundo_baraka
3K Followers 4K Following Pharmacy | Academia. Opinions expressed here are solely my own and not my employer's.
MTUMISHI 98 @FrankSimon57180
441 Followers 4K Following B.A. KISWAHILI UDSM ALUMIN FAMILY(WRITER/AUTHOR, KISWAHILI TEACHER FOR FOREIGNERS, TRANSLATOR&INTERPRETER🙏, ENTERPRENEUR, CULTURAL SPECIALIST, TOUR GUIDE,🙏)
Nawsher @NawsherbOCAatp
45 Followers 3K Following
Ramzan Khan93 @Khan93Ramzan
350 Followers 450 Following Hasbunallah wanimal wakil | #Financialliteracy | Learner| Honest. A crop| Agric| & poultry farmer.
Nicky @Kygo_Nicky
2K Followers 5K Following |SimbaScfan| |Arsenalfan| |Politicsislife| Journalism is my carrier📸
Mjaluo Kimondoz @MjaluoK64022
3 Followers 31 Following
JB @JohnMonia51467
17 Followers 184 Following
Shannon Witham @witham38917
0 Followers 1 Following
A.dimaria 11 @Adimaria111
100 Followers 363 Following
Bianca @BiancaTonui
13K Followers 4K Following Passionate about fashion and modeling, expressing creativity and confidence through every look and moment in front of the camera.
Boniface Jacob @ExMayorUbungo
584K Followers 9K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal Council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov. Ubungo councilor 2010-2020 BAEd Udsm CHADEMA CC MEMBER
Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.3M Followers 1K Following Politician/Activist/Member @Chadematz Member of Central Committee , Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and Father
Maria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.4M Followers 10K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,
Hilda Newton @HildaNewton21
959K Followers 2K Following Journalist/Activist/President Of Tanzania 2045
Mfanyakazi Online Med... @MfanyakaziNews
462K Followers 0 Following UKWELI NA UWAZI : : [email protected]
EastAfricaTV @eastafricatv
2.1M Followers 7 Following Official EastAfricaTV (EATV) Twitter Email: [email protected]
millardayo @millardayo
3.1M Followers 478 Following Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]
Simba Sports Club @SimbaSCTanzania
2.0M Followers 41 Following The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)
Swahili Times @swahilitimes
1.6M Followers 0 Following Habari | Elimu | Burudani | [email protected] | Maoni ya wasomaji si maoni ya Swahili Times | Simu/WhatsApp/Telegram: +255 743 778 779
Ayubu Madenge @ayubu_madenge
394K Followers 2K Following Dad|Friend|Citizen|Humble servant of the people
Martin Maranja Masese @IAMartin_
613K Followers 1K Following MMM | Sperm That Won The Race | Cogito, ergo Sum | Patria o Muerte, Venceremos |
Clouds Media @CloudsMediaLive
1.9M Followers 43 Following A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.
John Heche @HecheJohn
809K Followers 2K Following Vice Chairman Chadema Tanganyika, former Member of Parliament for Tarime rural constituency, a reformer.
Malkia Nyuki 👑 @nyuki_malkia
993K Followers 8K Following Movie, Tv series 🎬🎥 God is good always @ManUtd #Tumshauri
Mohammed Dewji MO @moodewji
2.3M Followers 133 Following Pan-African Entrepreneur, President @MeTL_Group & @SimbaSCTanzania, Philanthropist @DewjiFoundation, Georgetown Alumni #Hoya
Masoud Kipanya @masoudkipanya
2.1M Followers 72K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - President/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - Industrialist
BBC News Swahili @bbcswahili
2.2M Followers 251 Following Huu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: https://t.co/ZZJDhvaNyo. Instagram: https://t.co/LqmfEIlht3. YouTube: https://t.co/mv5T3KheUN.
Daniel Kosak @Kosak_Daniel
14K Followers 1K Following Sonderberater für Strategie der Verteidigungsministerin | Vizebürgermeister in Altlengbach | Vater von 3
Karl Nehammer @karlnehammer
109K Followers 360 Following Vice president @eib | Familienvater | Bundeskanzler a.D. | privater Account
Gabriele Beierl @b_gabelle
8K Followers 6K Following Bekanntgabe wegen Armin Wolf: Seit 1. Juni 2011 keine Funktion in der ÖVP. Ich unterstützte Sebastian Kurz und unterstütze grundsätzlich die Volkspartei.
Gerhard Mangott @gerhard_mangott
53K Followers 2K Following University Professor In International Relations; Research on Russian and US foreign policy, strategic arms control and nonproliferation. https://t.co/YWkmnRDMAM
Alexander Van der Bel... @vanderbellen
326K Followers 121 Following Offizieller Account des österreichischen Bundespräsidenten. Updates vom Team. Persönliche Updates sind mit (vdb) gekennzeichnet.
Thomas Mayer @TomMayerEuropa
45K Followers 1K Following Gründungsmitglied von Der Standard, Europa/Nato-Korrespondent, zwitschere privat. Österreich ist meine Heimat, Brüssel meine Stadt, an vielen Orten zu Hause
Rudi Fußi @rudifussi
82K Followers 2K Following Unternehmer | Kommunikations- und Strategieberater | Politikbeobachter
Michael Bauer @Bundesheerbauer
31K Followers 764 Following Sprecher des Verteidigungsministeriums 🇦🇹 Die größten Vorteile im Leben überhaupt wie in der Gesellschaft hat ein gebildeter Soldat. Johann Wolfgang Goethe
Anna Thalhammer @anna_thalhammer
39K Followers 2K Following Chefredakteurin und Herausgeberin von “profil”. Investigativ. Threema: JRTUBHZD https://t.co/UP1dTSLVUu
Reinhold Lopatka @ReinholdLopatka
9K Followers 82 Following Oststeirer | Österreicher | Europäer Member of the European Parliament @Europarl_En 🇪🇺 Delegationsleiter der @volkspartei in Brüssel 🇦🇹
Bavicha Kanda ya Kask... @BavichaKaskazin
79K Followers 2K Following
Mark J. Mwandosya @MarkMwandosya
115K Followers 87K Following Mark James Mwandosya is a former Member of Parliament,former Minister in Tanzania and a retired Professor of Electrical Engineering University of Dar es Salaam
The Chanzo @TheChanzo
80K Followers 195 Following We Are Bilingual Multimedia Storytellers Looking At The World From Ground Up. Una habari? WhatsApp/Telegram 0753815105
Mwemezi Rwiza, PhD @SwahiliBible
86K Followers 2K Following I teach and do research at the Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST), TZ. Science author (https://t.co/ugYmynyQkh…)
Webiro Wakazi Wassira... @Wakazi
255K Followers 7K Following Artist | Activist | Actor | Hip Hop Connoisseur | Content Creator | Politician | Workethic | 1/4 of SSK | [email protected] | Link: https://t.co/QgttN8fCtU
Handsome La Kijiji @ManenoIzaak
426K Followers 7K Following Baba Mzazi/Mungu kwanza/Heshimu Mawazo yangu ila ishi Maisha yako/ Ruksa kunipa ushauri wowote/ Ila si lazima ushauri wako uendeshe Maisha yangu.
Tanzania Abroad TV @AbroadTanzania
91K Followers 231 Following Online TV based Abroad , we retrieve different quotes of different leaders no matter when stated ..email us on [email protected] tweets in Swahili and English
Jalilu Zaid @jaliluzaid
145K Followers 826 Following Digital Creative & Visual Storyteller | International Electoral Expert | Creating Impact Through Creativity & Public Service. MD @shafanacreates
Kenny Mmari Snr. @KennedyMmari
170K Followers 1K Following Building in East Africa. Thinking about power, systems, and who decides. Essays at https://t.co/v9Q60chKFf Growing @SerengetiBytes | @SerengetiRwanda.
khalifa said #INAWEZE... @ThatBoyKhalifax
60K Followers 2K Following writer and editor at @TheChanzo | politics & social justice | formerly at @TheCitizenTZ | socialist | rap | anti-imperialist | views are my own, not anyone’s.
Sir Major☀️ @smkami
3K Followers 4K Following Petroleum and Industrial Services Expert | Businessman | Human Rights Monitor | Political Infuencer
Jeffrey Smith @Smith_JeffreyT
109K Followers 262 Following Founder @VanguardAfrica | Co-Creator, Host @ResistBureau | Author: @ForeignPolicy @TIME @PostOpinions @JoDemocracy @TheAfricaReport | UConn Husky | Views=mine🌱
Getachew K Reda @reda_getachew
490K Followers 434 Following Advisor Minister to the PM on Eastern African Affairs, FDRE; Former President, Tigray Interim Regional Administration
Tibor Nagy @TiborPNagyJr
174K Followers 57 Following Former US Assistant Secretary of State for Africa, US Ambassador to Guinea and Ethiopia, long-term US diplomat, Professor Emeritus - Texas Tech University
Von Batten-Montague-Y... @batten_von
95K Followers 5 Following We are an all Republican partner policy advisory and lobbying firm based in Washington, D.C. This page is for disseminating public interest information
Kindeya Gebrehiwot, P... @ProfKindeya
279K Followers 1K Following Former President of Mekelle University; Advisor with a rank of State Minister, Ministry of Education, Ethiopia; opinions are personal
Lord (David) Alton @DavidAltonHL
47K Followers 937 Following Former Liverpool MP Crossbench Peer. Works on #HumanRights, #Genocide, #SocialJustice,#FoRB, #RightToLife. 🇺🇦 🇹🇼 See: https://t.co/B9LZYvh2Wj
Bashir Hashi Yussuf @BashirHashiysf
178K Followers 6K Following EAST AFRICA AFFAIRS , SOMALI ACTIVIST, INDEPENDENT JOURNALIST freedom civil society, military analyst & former xog-ogaal newspaper editor Mogadishu Somalia HOA
Congressman Brad Sher... @BradSherman
152K Followers 1K Following Proudly serving California's 32nd District in the U.S. Congress. Instagram Profile: https://t.co/9kfBZ2xnLs
Martin Plaut @martinplaut
391K Followers 1K Following South Africa, the Horn of Africa. Fellow, Institute of Commonwealth Studies. Made in 🇿🇦🇪🇺🇬🇧
Naty Berhane Yifru @NatyYifru
107K Followers 967 Following I do: - Capacity building, Career Development & Communications. I want: - Consistency, Decency, Justice, Peace, Happiness & Truth for all.
Rashid Abdi @RAbdiAnalyst
488K Followers 6K Following Researcher/Analyst, Horn of Africa, Middle East. Defence, Security, Politics, Major Power Competition, Strategy, Forecasting, Humour, Cuban Cigars. Views mine
Senate Foreign Relati... @SenateForeign
136K Followers 355 Following News and updates from the U.S. Senate Foreign Relations Committee Chairman, Sen. Jim Risch, R-Idaho.
SpaceXAI @SpaceXAI
2.1M Followers 6 Following
The Nassr Tribune™�... @AlNassrTribune
22K Followers 2K Following Bringing Al Nassr closer to its global family — with Cristiano Ronaldo leading the charge.💛💙
Saltzman 👽 @Drealsalt
102K Followers 5K Following Calm mind 🧠✨. big dreams ☁️🚀. Loyal heart ❤️. Always learning 📚📖, always moving forward ➡️🔥 ||@ManUtd 🔴 ⚪️||Send a DM for Ads and Promotions 🎯
John Pambalu @John_Pambalu
311K Followers 2K Following Former BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.
Kasimba Nolasco @KasimbaNolasco1
2K Followers 1K Following Mwenyekiti wa vijana wa chadema(bavcha) jimbo la iringa mjini 2019_2024
Josephine Marealle-Ul... @UlimwenguJm
6K Followers 743 Following Chief, Systems-Wide Coherence, ECA, Passionate about Gender Equality #making this world a better place for all. Tweets are mine!
Bishop Josephat Gwaji... @jgwajima
31K Followers 55 Following Official Account | The Founder and ArchBishop of GCTC (Ufufuo na Uzima Ministries) | Member of the National Executive Committee for CCM
Winnie Byanyima @Winnie_Byanyima
338K Followers 1K Following Passionate about justice & human dignity. In the struggle to #endAIDS. Executive Director of @UNAIDS. Opinions are my own.
Aim Bet @aimbetoficial
115K Followers 141 Following 𝑫𝒆𝒔𝒕𝒊𝒏𝒂𝒕𝒊𝒐𝒏 𝒇𝒐𝒓 𝑭𝒐𝒐𝒕𝒃𝒂𝒍𝒍 𝑷𝒓𝒆𝒅𝒊𝒄𝒕𝒊𝒐𝒏𝒔 & 𝑼𝒑𝒅𝒂𝒕𝒆𝒔 ⚽♻️ 𝗧𝗲𝗹𝗲𝗴𝗿𝗮𝗺 : https://t.co/7D4fpwlZZT
Larry Madowo @LarryMadowo
3.1M Followers 2K Following International Correspondent, @CNN. African Voices Host, @cnni. Nomad. Past lives in Joburg, London, New York & Washington. Bad jokes, good vibes.
Joseph Kalimbwe @joseph_kalimbwe
256K Followers 998 Following Dag Hammarskjold Constituency, Ndola | Zambian Patriot | Full biography in the Wikipedia link | [email protected]





























