Jambo Digital @digital_ja53937
News /entertainment / sport/ businesses branding/ postures welcome for good services Zanzibar South and Central, Ta Joined October 2023-
Tweets438
-
Followers1K
-
Following5K
-
Likes347
Mfanyakazi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam ( DIT ) Kampasi Mwanza Sharifu Zuber amesema lengo la DIT Kampasi ya Mwanza kushiriki Maadhimisho ya Mei Mosi 2024 ni kuhimiza Serikali kuongeza mishahara kwa wafanyakazi kwa ajili ya maslahi yao mapana kwa wafanyakazi.
Mkufunzi kutoka ( DIT ) Kampasi Mwanza Johari Mkunga amesema wanaunga mkono Kauli Mbiu Isemayo Nyongeza ya Mishahara ni Msingi wa Mafao bora na Kinga Dhidi ya Hali Ngumu ya Maisha na kusema mishahara ndio inainua maisha ya wafanyakazi pamoja na kuinua uchumi wa nchi.
Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam ( DIT ) Kampasi ya Mwanza imeshiriki Maadhimisho ya Mei Mosi 2024 ambayo yamefanyika katika Manispaa ya Ilemela Mkoa wa Mwanza yakiwa na Kauli Mbiu Isemayo,Nyongeza ya Mishahara ni Msingi wa Mafao bora na Kinga Dhidi ya Hali Ngumu ya Maisha.
Mfanyakazi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam ( DIT ) Kampasi Mwanza Sharifu Zuber amesema lengo la wao kushiriki Maadhimisho ya Mei Mosi 2024 ni kuhimiza Serikali kuongeza mishahara kwa wafanyakazi kwa ajili ya maslahi mapana ya wafanyakazi kuweza kujikimu kimaisha.
Mkuu wa Mkoa Mwanza Said Mtanda ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kupitia Mkurugenzi wake Kiomoni Kibamba kuboresha Uwanja wa Nyamagana kwa kuongeza majukwaa ikiwemo kuweka taa ili uweze kutumika mchezo wa mpira wa miguu kwa baadhi ya mechi za usiku Ligi ya NBC.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Comred Said Mtanda amewataka viongozi wa Chama cha Mpira wa miguu na mashabiki Mkoani humo kuacha majungu na hatokuwa tayari kuyasikiliza badala yake watoe ushauri kuiwezesha timu ya Pamba Jiji fc kufanya vizuri Ligi Kuu ya NBC na kubaki katika ligi hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Comred Said Mtanda amewataka viongozi wa Chama cha Mpira wa miguu na mashabiki Mkoani humo kuacha majungu na hatokuwa tayari kuyasikiliza badala yake watoe ushauri kuiwezesha timu ya Pamba Jiji fc kufanya vizuri Ligi Kuu ya NBC na kubalia katika ligi hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Comred Said Mtanda pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali,Chama cha Mapinduzi na Chama cha Mpira wa miguu wameipokea timu ya Pamba Jiji Fc katika Dimba la Nyamagana baada ya kutinga hatua ya kucheza Ligi Kuu ya NBC msimu wa mwaka 2024/2025.
Mkuu wa Takukuru Mwanza James Ruge amesema,kipindi cha January - Machi,2024 wamefuatilia utekelezaji wa Miradi 15 ya Maendeleo ya zaidi ya sh.Bilioni 19 kufanyiwa ukaguzi kujua ubora wa miradi na thamani ya fedha iliyotumika,Miradi ilihusisha Sekta ya Afya,Maji,Elimu na Uchukuzi.
Mkuu wa Takukuru Mwanza James Ruge amesema,Miradi 15 iliyofuatiliwa January - Machi,2024 Miradi 7 imekutwa na mapungufu mbalimbali yakiwemo kutokamilika kwa wakati na kuwa nje ya muda wa mkataba,Vifaa vya ujenzi kuharibika kutokana na utunzaji mbovu na vifaa vya ujenzi kuibiwa.
Mkuu wa Takukuru Mwanza James Ruge amesema,kipindi cha January - Machi,2024 wamefuatilia utekelezaji wa Miradi 15 ya Maendeleo ya zaidi ya sh.Milioni 19 kufanyiwa ukaguzi kujua ubora wa miradi na thamani ya fedha iliyotumika,Miradi ilihusisha Sekta ya Afya,Maji,Elimu na Uchukuzi.
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Joseph Mutalemwa amesema,kuwa tigo kwa mwaka huu imekuja na mkakati wa kushirikiana na kada ya vijana ili kuhakikisha kwamba wanasonga mbele katika sekta ya michezo,elimu pamoja na sehemu zote ambazo watashirikiana nao.
Afisa Elimu Mkoa wa Mwanza Martin Nkwabi amezindua Mashindano ya TIGO CHUO CHALLENG CUP 2024 ambayo yamedhaminiwa na Kampuni ya Huduma za simu ( TIGO ) yakiwa na lengo la kuwakutanisha wanafunzi wa vyuo mkoani humo yanayofanyika katika Uwanja wa Nyamagana.
Afisa Elimu Mkoa wa Mwanza Martin Nkwabi, akizungumza na waandishi wa habari wakati akifungua michuano ya mpira wa miguu ya Tigo Chuo Challenge Cup 2024 katika dimba la Nyamagana jijini Mwanza, kushoto ni Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Joseph Mutalemwa.
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Joseph Mutalemwa, akizungumza na waandishi wa habari katika uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza wakati wa ufunguzi wa michuano ya mpira wa miguu ya Tigo Chuo Challenge Cup 2024, kulia ni Meneja Masoko wa Tigo kanda ya Ziwa Mussa Mwakapala
Askofu Zephania Amos Ntuzu wa Dayosisi ya Victoria Nyanza amewaomba wazazi na walezi wote nchini hususani Mkoa wa Mwanza kupeleka watoto shule na kuwataka baadhi ya wanajamii kuacha vitendo vya ukatili kwa kuwaozesha ndoa za utotoni maana zinawakatili kupata elimu.
KATIBU Tawala wa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza Wakili Mariam Msengi na Baba Askofu Zephania Amos Ntuzu wa Diocese of Victoria Nyanza ( DVN ) wamezindua majengo mapya ya shule ya awali ya kimataifa ya Isamilo ambayo inamilikiwa na Kanisa la Anglikana Tanzania.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kojas Builders Nyerere Kojagi Lucas amesema, Mradi wa majengo 7 mapya ya shule ya awali ya kimataifa ya Isamilo yakiwemo majengo 4 yenye madarasa mawili mawili,Jengo la Utawala,Maktaba na Jengo la Watumishi yamegharimu zaidi ya sh. milioni 800
Wahandisi walioapa wameahidi kusimamia taratibu na kanuni za kihandisi ili kuchangia katika ujenzi wa uchumi wa nchi. Zoezi la kuapa ni ishara ya kutambulika kikamilifu kwa wahandisi na dhamira ya kusimamia taaluma ya uhandisi kwa uadilifu na ustadi.
Kaimu Msajili wa Bodi, Mhandisi Jamhuri amewataka wahandisi walioapa kuzingatia maadili, taratibu na kanuni za kihandisi nchini ili kuchangia katika ujenzi wa uchumi wa nchi.
Stephanie @stephanie95hanc
253 Followers 3K FollowingEvelyn @evelyn70arnold
249 Followers 3K FollowingPatrick Masawe @patrick_masawe
6 Followers 98 FollowingLyric Elders @lyric45347
72 Followers 5K FollowingRutu Daniel @rutu_daniel
1K Followers 1K Following Verified medical laboratory technologist From tz ,Gym lover , Mungu wetu sote ig https://t.co/LyMPG7XD6ERegina @folsomregina5
163 Followers 3K FollowingShayla Montoya @ShaylaMont31803
93 Followers 3K Followingしょうえんもえ @shouenmoe93823
1 Followers 180 FollowingKyra Hensley @KyraHensle21334
112 Followers 3K FollowingElspeth Bachner @ElspeB
50 Followers 5K FollowingReyna Reeves @ReevesReyn74317
84 Followers 3K FollowingErin Mcconah @mcconah91123
16 Followers 728 FollowingMary @gutierrezmary69
1K Followers 4K FollowingGladys @goulettegladys3
173 Followers 3K FollowingMLImwengu😶🌫�.. @hamidu_oma42989
271 Followers 405 Followingdomo tenga @zuber12086
133 Followers 477 FollowingPIRATE THE FARMER �.. @Koilek71637The
161 Followers 965 Following Husband, full time farmer and Public figure John 1:5 PRAYERS/PROGRESS/PATIENCEJasmin Perkins @jasmin_per98996
92 Followers 3K FollowingBarbara @barbara45brenna
210 Followers 3K FollowingStephen Goldhaber @StephGoldhabe
83 Followers 5K FollowingAnna Colvard @ColvardAnn63531
59 Followers 5K FollowingLikakadu🤳 @alaina_boy10
2K Followers 2K Following 👉MUSILIM🕋🕌🙏🙏 #football fan of 😍👉manchester city💙 and 👉(simba sport club🇹🇿🦁)Kio cha Jamii🏆 @MrBrokenTz
52 Followers 314 FollowingDeeh RJ 🧑🤝�.. @DLamkenzo27278
263 Followers 290 Following MUNGU nikumbushe Baraka zako kwangu Ni kubwa kuliko matamanio yangu❤️🥰 I trust in Tue ,😍😍😍TAHA @w2___w2
1K Followers 1K FollowingCecilia Wirth @wirth_wir
63 Followers 5K FollowingMichael Ndahani @ndahani98
2K Followers 2K Following Public Relations And Marketing Expert,Young Africans Sc, Arsenal and Real Madrid fan.Aubriella Khamo @KhaAubriel
43 Followers 5K FollowingAsiimwe Elizabeth @Liziana06
249 Followers 263 Following Procurement officer👜 GGMU❤️ Laid back but not a chiller Most importantly A good personQuyen Mazierski @QuyenM55676
92 Followers 5K Followingtycoon @ability_ink
525 Followers 265 Following Water Resource Engineer || Photographer|| Man U fan || lets talk about technology ||Bettingfan #tuongee_kuhusu_technology @techleoRutu Daniel @rutu_daniel
1K Followers 1K Following Verified medical laboratory technologist From tz ,Gym lover , Mungu wetu sote ig https://t.co/LyMPG7XD6EofficialAlikiba @MwanaKG
4K Followers 3K Following #𝐀𝐖E𝐒𝐎𝐌𝐄_𝐇𝐐 12: 30 #WANAZI_HQ 11:30 #crown group @mwanakgFetty Densa @FettyDensa
6K Followers 60 Following Tanzania Pro football Player⚽️, Playing || Simba Queens SC🇹🇿 & Twiga Star || 📥 Inquiries:[email protected] ||Moses Phiri @mosesphirisnr
15K Followers 2 Following Official Twitter account for Moses Phiri. Striker for Simba SC Tanzania..Scottbolshevik @scottbolshevik
17K Followers 15K Following Financial analyst, Economist, historian, Madridista. Help clients to make prudent investmentsPIRATE THE FARMER �.. @Koilek71637The
161 Followers 965 Following Husband, full time farmer and Public figure John 1:5 PRAYERS/PROGRESS/PATIENCEMary @gutierrezmary69
1K Followers 4K FollowingMLImwengu😶🌫�.. @hamidu_oma42989
271 Followers 405 FollowingBajary255 @_bajary255
850 Followers 279 Following BALOZI (Street Certified) |Don't compete focus | (Kuwa wa kwanza kupata habari mbalimbali za michezo na burudani) Engineer | YouTuber |EntrepreneurDutch man😎 @Abdulrahma62400
313 Followers 527 Following ⚽ @YoungAfricansSc fan and @arsenal 📊 Accountant by Profession 💭 If the plan doesn't work, change the plan, but never the goal #GameOndomo tenga @zuber12086
133 Followers 477 FollowingSimba SC Pictures Tha.. @SimbaPicsGoHard
3K Followers 7 Following Simba SC Tanzania @simbaSCTanzania & Simba Queens Tz @SimbaQueensTz pictures that create a millions of WordsMWALWIJI ELIUDI @EMwalwiji
101 Followers 502 Following PROJECT MANAGER #BUILDING DESIGNER #GRAPHICS DESIGNERAcool @acoolrhymez_
8K Followers 7K Following Follow my backup acct. @acool_rhymez 📬 [email protected]FESTO RICHARD SANGA @festosangatz
8K Followers 325 Following Member of Parliament - Makete Constituency🇹🇿Saido Ntibazonkiza�.. @Sd_Ntibazonkiza
7K Followers 28 Following Player @SimbaSCTanzania 🦁 #NguvuMoja #Lion10 I love Allah ❤️🌹 #IntumvaZamaho #Lifeisgood #Alhamdulillah 🙏🏾Anna Colvard @ColvardAnn63531
59 Followers 5K FollowingCharlotte @charlotteagee54
1K Followers 3K FollowingBrandon Koretz @BrandonKoretz
1K Followers 791 Following @FOXSports • @UMich alum • Founder & CEO of the JJ McCarthy Fan Club • Wrigley Field enthusiast • Former 2-star tennis recruitVernice @vernice_bell_
4K Followers 4K FollowingCecilia Wirth @wirth_wir
63 Followers 5K FollowingRiven @RivenWasTaken_
78 Followers 5K Following Thanks twitter for fucking up my main account :) maybe art accountibrah senetör @Cadabrah7
82 Followers 161 Following H͟e͟a͟l͟t͟h͟c͟a͟r͟e͟ p͟r͟o͟v͟i͟d͟e͟r͟ & p͟h͟a͟r͟m͟a͟c͟e͟u͟t͟i͟c͟a͟l͟ p͟e͟r͟s͟o͟n͟n͟e͟l͟.🏥 @eye International hospital #instagram_@ibrahsenetorLongnus Gilbert @GilbertLongnus
151 Followers 662 Following Founder and Executive chairman at Savanna Group. Driving disruptive innovations in the education and health sector through Savanna Technologies.Women in Globalhealth @DrPossie
101 Followers 14 Following Women and Global Health Leadership a powerful Transformations.HAMIS HAMIS @Hamishamis377
235 Followers 523 Following Sport journalists#local sport🇹🇿 & international news🇧🇱🇸🇪🇺🇲🇺🇬🇬🇧🇪🇸🇩🇴🇩🇪🇦🇷🇩🇿🇹🇳#presenter#editor #photographerLwamalajr @Lwamala_Jr
173 Followers 988 Following Tafuta ela maadui wakuchukie maana ni wengi na kipimo Cha mwanaume ni ela mademu nawaachia wengne 🤧@liltemu_twitDr Isaac Nichelewa @IsaacNichelewa
126 Followers 700 Following Clinician - HIV/AIDS Care & Treatment Programme MOH TZ MainlandDevon Baxter @devonlamount5
2K Followers 947 Following 4⭐️ Gwynn Park High school 6’6 240 '24 Instagram:_devonbaxterMy Health Jogging Tea.. @myhealthjogging
239 Followers 132 Following ||Created in 2021|| Aiming at promoting healthy life styles||MUHAS and Nearby students|| #OurHealthIsOurWealthheisgraham @heisgraham1
192 Followers 577 Following WE SELL NEW AND USED IPHONES AVAILABLE GENUINE SMARTPHONES CLEAN CONDITION 6-8 MONTHS WARRANTY ☎️0629903292 @ManUtd Fanrachel25 @missracheltz
47 Followers 215 Following simba fan🦁//teacher by professional👩🎓//God over everything 🙏chafu @Positivemobilit
197 Followers 185 Following Nothing is possible than the broken man rebuilding him selfAlex lifepoA @AlexLifepoa
153 Followers 279 FollowingMfanyakazi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam ( DIT ) Kampasi Mwanza Sharifu Zuber amesema lengo la DIT Kampasi ya Mwanza kushiriki Maadhimisho ya Mei Mosi 2024 ni kuhimiza Serikali kuongeza mishahara kwa wafanyakazi kwa ajili ya maslahi yao mapana kwa wafanyakazi.
Mkufunzi kutoka ( DIT ) Kampasi Mwanza Johari Mkunga amesema wanaunga mkono Kauli Mbiu Isemayo Nyongeza ya Mishahara ni Msingi wa Mafao bora na Kinga Dhidi ya Hali Ngumu ya Maisha na kusema mishahara ndio inainua maisha ya wafanyakazi pamoja na kuinua uchumi wa nchi.
Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam ( DIT ) Kampasi ya Mwanza imeshiriki Maadhimisho ya Mei Mosi 2024 ambayo yamefanyika katika Manispaa ya Ilemela Mkoa wa Mwanza yakiwa na Kauli Mbiu Isemayo,Nyongeza ya Mishahara ni Msingi wa Mafao bora na Kinga Dhidi ya Hali Ngumu ya Maisha.
Mfanyakazi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam ( DIT ) Kampasi Mwanza Sharifu Zuber amesema lengo la wao kushiriki Maadhimisho ya Mei Mosi 2024 ni kuhimiza Serikali kuongeza mishahara kwa wafanyakazi kwa ajili ya maslahi mapana ya wafanyakazi kuweza kujikimu kimaisha.
Mkuu wa Mkoa Mwanza Said Mtanda ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kupitia Mkurugenzi wake Kiomoni Kibamba kuboresha Uwanja wa Nyamagana kwa kuongeza majukwaa ikiwemo kuweka taa ili uweze kutumika mchezo wa mpira wa miguu kwa baadhi ya mechi za usiku Ligi ya NBC.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Comred Said Mtanda amewataka viongozi wa Chama cha Mpira wa miguu na mashabiki Mkoani humo kuacha majungu na hatokuwa tayari kuyasikiliza badala yake watoe ushauri kuiwezesha timu ya Pamba Jiji fc kufanya vizuri Ligi Kuu ya NBC na kubaki katika ligi hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Comred Said Mtanda amewataka viongozi wa Chama cha Mpira wa miguu na mashabiki Mkoani humo kuacha majungu na hatokuwa tayari kuyasikiliza badala yake watoe ushauri kuiwezesha timu ya Pamba Jiji fc kufanya vizuri Ligi Kuu ya NBC na kubalia katika ligi hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Comred Said Mtanda pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali,Chama cha Mapinduzi na Chama cha Mpira wa miguu wameipokea timu ya Pamba Jiji Fc katika Dimba la Nyamagana baada ya kutinga hatua ya kucheza Ligi Kuu ya NBC msimu wa mwaka 2024/2025.
Mkuu wa Takukuru Mwanza James Ruge amesema,kipindi cha January - Machi,2024 wamefuatilia utekelezaji wa Miradi 15 ya Maendeleo ya zaidi ya sh.Bilioni 19 kufanyiwa ukaguzi kujua ubora wa miradi na thamani ya fedha iliyotumika,Miradi ilihusisha Sekta ya Afya,Maji,Elimu na Uchukuzi.
Asubuhi njema katika kazi jijini Nairobi nchini Kenya kwenye Mkutano wa Shirikisho la Maendeleo la Kimataifa (IDA), mshirika wa Benki ya Dunia. Nchi yetu inashirikiana na IDA katika miradi mikubwa na ya kimkakati 25 katika sekta za uchukuzi, maendeleo ya kijamii, nishati, elimu,…
Mkuu wa Takukuru Mwanza James Ruge amesema,Miradi 15 iliyofuatiliwa January - Machi,2024 Miradi 7 imekutwa na mapungufu mbalimbali yakiwemo kutokamilika kwa wakati na kuwa nje ya muda wa mkataba,Vifaa vya ujenzi kuharibika kutokana na utunzaji mbovu na vifaa vya ujenzi kuibiwa.
Mkuu wa Takukuru Mwanza James Ruge amesema,kipindi cha January - Machi,2024 wamefuatilia utekelezaji wa Miradi 15 ya Maendeleo ya zaidi ya sh.Milioni 19 kufanyiwa ukaguzi kujua ubora wa miradi na thamani ya fedha iliyotumika,Miradi ilihusisha Sekta ya Afya,Maji,Elimu na Uchukuzi.
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Joseph Mutalemwa amesema,kuwa tigo kwa mwaka huu imekuja na mkakati wa kushirikiana na kada ya vijana ili kuhakikisha kwamba wanasonga mbele katika sekta ya michezo,elimu pamoja na sehemu zote ambazo watashirikiana nao.
Afisa Elimu Mkoa wa Mwanza Martin Nkwabi amezindua Mashindano ya TIGO CHUO CHALLENG CUP 2024 ambayo yamedhaminiwa na Kampuni ya Huduma za simu ( TIGO ) yakiwa na lengo la kuwakutanisha wanafunzi wa vyuo mkoani humo yanayofanyika katika Uwanja wa Nyamagana.
Afisa Elimu Mkoa wa Mwanza Martin Nkwabi, akizungumza na waandishi wa habari wakati akifungua michuano ya mpira wa miguu ya Tigo Chuo Challenge Cup 2024 katika dimba la Nyamagana jijini Mwanza, kushoto ni Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Joseph Mutalemwa.
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Joseph Mutalemwa, akizungumza na waandishi wa habari katika uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza wakati wa ufunguzi wa michuano ya mpira wa miguu ya Tigo Chuo Challenge Cup 2024, kulia ni Meneja Masoko wa Tigo kanda ya Ziwa Mussa Mwakapala
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kojas Builders Nyerere Kojagi Lucas amesema, Mradi wa majengo 7 mapya ya shule ya awali ya kimataifa ya Isamilo yakiwemo majengo 4 yenye madarasa mawili mawili,Jengo la Utawala,Maktaba na Jengo la Watumishi yamegharimu zaidi ya sh. milioni 800
Leo, tarehe 25 Aprili 2024, Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) imeratibu zoezi la kuapisha Wahandisi 74 katika viwanja vya EPZ, Geita. Zoezi hilo limeendeshwa na Wakili Agricola Magera wa ERB. Kaimu Msajili wa Bodi, Mhandisi Jamhuri Msabila
Shirika la kutetea haki za wanawake na wasichana ( KIVULINI ) limekabidhi samani za ofisi kwa Jeshi la polisi kituo cha polisi kati kitengo cha Dawati la jinsia na watoto Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza zenye thamani ya shilingi milioni tatu ,ikiwemo meza 5 ndogo na viti kumi.
Mkuu wa Jeshi la polisi Wilaya ya Nyamagana Virginia Sodoka ameshukuru Shirika la Kivulini kuwapatia fenicha kwa ajili ya dawati la kituo cha polisi kati Wilaya hiyo mkoani Mwanza ili ziweze kusaidia wananchi kukaa wakati wakisikilizwa matatizo yao ya unyanyasaji wa kijinsia.