Freddy @fredavich
Joined February 2011-
Tweets8K
-
Followers397
-
Following468
-
Likes9K
🇹🇿 Tumezindua BetaFund. Kama umewahi kuwa kwenye kamati ya harusi, msiba, send-off, ada ya shule, matibabu au mchango wowote wa kijamii, unajua kazi ilivyo. Mtu mmoja anapewa jukumu la kusimamia michango yote. 🧵👇 Watu wanatuma pesa kwa simu, wengine wanatoa cash, na screenshot zinatumwa WhatsApp… Halafu kila siku mtu anakaa ku-update majina, tiki, kiasi kilicholipwa, salio na jumla mpya. Kisha anaweka list tena kwenye group la WhatsApp. Na watu huwa wakuja uliza: “Mchango wangu umeingia?” BetaFund ni platform tuliyoitengeneza kufanya hiyo kazi kwa niaba yako. Unafungua mchango ndani ya dakika chache, unapata link moja ya kushare, na watu wanaweza kuchangia kupitia: • M-Pesa • Mixx by Yas • Airtel Money • HaloPesa Kwa wanao toa mchango, hakuna app ya kudownload. Hakuna account ya kufungua. Malipo yakithibitishwa: ✅ Mchango unaingizwa moja kwa moja kwenye rekodi ✅ Status ya mchangiaji ina-update ✅ Jumla inaongezeka yenyewe ✅ Kama umeunganisha WhatsApp group, BetaFund inaweza kutuma updated list moja kwa moja kwenye group lako Michango ya simu (digital payments) inaingizwa baada ya malipo kuthibitishwa. Kila mchango pia una Event ID fupi ya public, ili mtu aweze kuhakiki link aliyotumiwa kabla ya kuchangia. Waandaaji wanaweza pia kuomba event yao ihakikiwe na BetaFund. ✅ (verification) Ukifika muda wa kutoa fedha, organizer anaweza kuwithdraw kwenda kwenye mobile money wallet au akaunti ya benki yoyote hapa Tanzania. BetaFund imejengwa kwa namna ambayo Watanzania tayari tunachangishana: 💍 Harusi & send-off 🕊️ Misiba 🎓 Ada za shule 🏥 Matibabu 🏗️ Miradi ⛪ Kanisa & Msikiti 🤝 Harambee na mengine mengi Hatukujaribu kuwaondoa watu WhatsApp. Tumechukua tu kazi ambayo organizers walikuwa wanaifanya kwa mkono, na kuifanya iwe automatic. BetaFund iko both kwa Kiswahili na Kingereza. Kutengeneza mchango ni bure. Nenda 🔗 betafund.co.tz Ndio tunaanza. Tunaendelea kufanya kazi kubwa kuhakikisha BetaFund inakuwa rahisi zaidi, salama zaidi na ya kuaminika zaidi kadri tunavyokua. Kama unataka kuijaribu na pia ku-support tunachojenga, tuna fundraiser yetu ya BetaFund ambayo tayari imehakikiwa ✅ 🔗 lnkd.in/eqnUDXnm Kwa maoni, maswali na criticism zote tunazikaribisha. Karibu BetaFund. 🇹🇿 Req->Repost 🧵 @0x0256 @99Zaburi @anon_codex @gabyconscious @Issa_Ally_Mdoe @revaycolizer @DadyUtenga @TOTTechs @NjiwaFLow @kimjisena @mafolebaraka @makeleletech @ignasxv @Kibali02 @ankkala @salymdev @Neville983 @Abuumaryami_008 @j_kalebu @iamdastani @gregootz_ @Lonerx_znz @elisha_bulalu @Benji_Fernandes @StanleyMasinde_ #BetaFund #Tanzania #Fintech #MobileMoney #MadeInTanzania
For the past 2 months, I have been working on something new: a platform built for anyone who values their time and wants to automate the manual back-and-forth we've all just accepted as normal. And NO, this has nothing to do with AI. Wrapping up the final technical work now.
Dubai looked at the palm and thought it wasn't ambitious enough 😂
Why destroy nature when we can build around it?
Do not use your energy to worry. Use your energy to believe, to create, to learn, to think and to grow. —Professor Richard Feynman
The brain is designed to learn through constant repetition and active, hands-on involvement. Through such practice and persistence, any skill can be mastered.
A rule that will improve your life: Never assume bad intent, but don’t ignore repeated patterns. Everyone gets grace. Nobody gets unlimited passes.
To reduce your stress, try not to have strong and loud opinions about everything. Smart people are selectively ignorant about most things, and focused on some things.
Visit our booth at Asia fruit logistica in Hong kong and connect with us… 🥑🥑
“Nimefurahi sana kurudi Arusha, hapa ni nyumbani kwangu. Nimezaliwa hapa na nina ndugu, jamaa na marafiki wengi ambao wananifahamu tangu nikiwa mdogo. Ni fahari kubwa sana kwangu kurudi nyumbani na wao kunishuhudia nikiwa nimevaa jezi ya Yanga.” Chugga Boy
Ukitaka kufika mbali na watu, kuna vitu simple sana: Fika kwa muda. Ukiahidi kitu, kifanye. Ukiona tatizo, njoo na solution. Usiwe chanzo cha drama kila siku. 😂 Jibu watu. Kuwa mtu wa kuaminika. Na zaidi ya yote, Sali na kuwa na roho nzuri 🙏🏽 Huhitaji kuwa genius. Kuwa tu mtu ambaye uwepo wako unarahisisha maisha ya wengine, sio kuyaongeza stress.
Iringa pia kuna watu wafupiiii Nilijua muha au mnyakyusa
Reactions from Pep Guardiola and the Manchester City changing room after a City loss meant Arsenal clinched their first Premier League title in 22 years. 🏆 🎥 @sivvep
Bruno Guimaraes off >> Declan Rice on Myles Lewis Skelly off >> Zubimendi on Martin Ødegaard off >> Eberechi Eze on Kai Havertz off >> Viktor Gyökeres on Calafiori off >> Piero Hincapie on I can’t believe this is my life. Thank you Mikel Arteta for changing our poor lives!❤️ x.com/iamabubakhr/st…
Kiatu 135,000 Linen pants 45,000 Linen shorts 40,000 Linen shirts 35,000 Size zote zipo Call/WhatsApp 0622494383 Please RT
A force of nature. Guimaraes is a Gunner ✍️
African Players' Transfer Moves This Season Aubameyang ➡️ RC Deportivo 🇪🇸 Vozinha ➡️ Colo-Colo 🇨🇱 Relebohile Mofokeng ➡️ Union SG 🇧🇪 Salah ➡️ Trabzonspor 🇹🇷 Iheanacho ➡️ Bursaspor 🇹🇷 Peter Shalulile ➡️ Young Africans 🇹🇿 Akor Adams ➡️ Venezia 🇮🇹 Gift Orban ➡️ Amedspor 🇹🇷
Jizungushe na watu wanaoongea kwa vitendo, si maneno. Watu wanaopanga maisha kwa miongo, si wiki. Wanaoona lengo na kulifuatilia bila kusita. Watu wanaosali zaidi, wanaokulazimisha ukue, utoe kilicho bora ndani yako, na wasikubali uishi chini ya uwezo wako. Hawa ndio watu wanaobadilisha dunia. Wanasukumana kila siku kuwa bora zaidi. Kwao kazi ni vita na sanaa kwa wakati mmoja, malengo ni haki yao, na biashara ni mchezo wanaoujua kushinda. Ukibarikiwa kuwapata, shikamana nao. Usipowapata… kuwa mmoja wao. 🔥
Mimi na mafundi wangu tutaitumikia nyumba yako tajiri 🤝
Holy @yose_hoza
161K Followers 32K Following Digital Inclusion | Telecommunication Engineer | #ElimikaWikiendi
OMG__itz__Pinky @OMGPiNKYxoxo
2K Followers 2K Following /microbiologist /Chelsea FC /Davido/ content poster/ chubby Queen/ thick ladies /
The Silent Thinker �... @Gudboyzed
15K Followers 3K Following Fikra za Kimya | Ukweli. Hekima, na Busara.
Barnaba Paul @barnaba_pa64685
2 Followers 32 Following
MUTANGANA Innocent @MUTANGANAI54113
12 Followers 21 Following
Alex hardware TRADERS... @salahstore1
712 Followers 1K Following dealers on Hardware, Building materials & sanitary retail. & Goat farming.
Aditya Franecki @AdityaFran88728
116 Followers 3K Following
Berniece VonRueden @BVonrueden88719
115 Followers 5K Following
PAX TRANSPORTATION SE... @paxpts_service
5K Followers 5K Following TUNASAFIRISHA MIZIGO NA KUFUATA MIZIGO BURE POPOTE DAR ES SALAAM ✍️ 📞+255674701244
FREE CODES BETPAWA @mwalimu_jelly
35K Followers 39K Following Be yourself but more like Tems. Be kind. Mind your business. Love God. Make money. Travel. Repeat. ⚽️⚽️🇹🇿🇹🇿
Mucyo chriss @mucyo_chriss
0 Followers 66 Following
Murigo Clement @ClementMur41512
0 Followers 9 Following
neylyn @neylyn15
198 Followers 277 Following
Sister Marie J Lewand... @marie79692
392 Followers 7K Following
Dickson Peter @Dicksonpeter029
8 Followers 55 Following
Mdada Creative Decor ... @immaculatepet14
11K Followers 4K Following Residential & Commercial Construction Electrical & Plumbing Gypsum, Tiles & Professional Painting Aluminium, Glass & Modern Finishes Your trusted 0685761032
Brian @mzeebomoka
10K Followers 2K Following Lighting Could Strike / Telegram 👉 https://t.co/FjjtH9kkqI
Dr. Muyabin @muya_bin
771 Followers 980 Following | Orthodontics Resident - MUHAS | |Graphics Designer |Windows insider |Digital health enthusiast
NaomaMillier @MillierNao20618
29 Followers 2K Following
Yussra ❤ @Ucrah
14K Followers 417 Following Yes, I once was There but NOT anymore. يلرب لا تعلق قلبي بم ليس لي #PRAYforPalestineGhazaAfghanstan
liotif @liotif9326
19 Followers 60 Following
Otieno Nashon @OtienoNash91134
13 Followers 87 Following
Chris Augustino @Christopha39143
216 Followers 797 Following
Jia Ming (إحسان) @__jiaming__
400 Followers 2K Following PhD student @ Monash - mobile spatial augmented reality with microLEDs. hacker, builder and jack of all trades, master of none. #DeepSeaMining
Luca Plaster Decorati... @Gasper0281
757 Followers 3K Following HOME DECORATION| CELLING DESIGN| PLASTERING| SKIMING| PAINTING| TILES| INTERIOR&EXTERIOR DESIGNING | ENGINEERING https://t.co/2COb0MbBeO
Shah Shah @ShahSha38747912
30 Followers 133 Following
Jackson Frank @Frankjackson_jr
97 Followers 1K Following Life is like riding a bike: To keep your balance, you must keep moving..
Kamoko Trader @ZachariaMwandu
200 Followers 808 Following Accountant /Businessman/Wholesaler & Retailer of Men & women clothe's and shoe's/online business learner .
SABODO... @toughwallet
2K Followers 5K Following
Mahmoud Yusuph @mahmoud_yusuph
7 Followers 34 Following
kambanga @jadudanda
40 Followers 310 Following
Ahmed Ahmed @ahmedabd375
44 Followers 261 Following
ezytrade.africa @ezytradeafrica
97 Followers 188 Following Africa's Online Marketplace for Products,Services & Rentals Door to Door Delivery Visit link below to List (your Business)Sell and Buy
Masoud Kipanya @masoudkipanya
2.1M Followers 72K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - President/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - Industrialist
Young Africans SC @YoungAfricansSC
418K Followers 66 Following Official Twitter Page Of Young Africans Sports Club | Home Of Champions🏆
Maria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.4M Followers 10K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,
Togolani Mavura @tonytogolani
258K Followers 2K Following Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake! To Each, According to Own Gifts, Own Abilities and Own Destiny
Boniface Chengula @bohny_chengula
119K Followers 7K Following Phones & Electronics in general | iG: Chengula_iPhone.Store | 📍Mwenge ITV | ☎️0752-992667 | Not affiliated with any Brand.
Samia Suluhu @SuluhuSamia
1.8M Followers 29 Following Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of Tanzania
Joramu Nkumbi @NkumbiJoram
60K Followers 362 Following Author 6 Books AMAZON 📚📚=| MBA | MLUMBI I Leadership Expert /John 15:16 IMC | Trainer-0757464874 MD:AYLF and PLO Lumumba Foundation SUB YOUTUBE —Joramu Nkumbi
Zitto MwamiRuyagwa Ka... @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Gillsant v10 @GillsaInt
165K Followers 5K Following I help people start and grow business online. I teach 21st Century Digital Skills. @swahilidigital founder. Advanced Social Media course👇🏾
Mwananchi Newspapers @MwananchiNews
1.1M Followers 296 Following
Fortunatus Buyobe @fbuyobe
145K Followers 1K Following Pool of thoughts. A commander of the hand to mouth battalion. Environmental Pioneer. Social Engineer. #CertifiedMchapaUzi . Telegram: https://t.co/aEEOOryJWO
Remija Aziz Ki 🐪 @1960Remija
90K Followers 625 Following GOD | Faith | Family | Ligi Kuu | Zilipendwa | Mwenyekiti | Yanga | Man U | Real Madrid | Kaizer Chiefs | Sebene & Rhumba | Tour Agent | Tweets Are My Opinions.
Mdadisi @Udadisi
110K Followers 45K Following A multimedia platform originally founded as a blog in 2007, currently owned by Udadisi Limited.
Salama Zalhata Jabir @EceJay
760K Followers 1K Following Pronounced - sah-LAH-mah Moon. To 🎥 or 🎧 to #SalamaNa Pls Click 🔗
BBC News Swahili @bbcswahili
2.2M Followers 251 Following Huu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: https://t.co/ZZJDhvaNyo. Instagram: https://t.co/LqmfEIlht3. YouTube: https://t.co/mv5T3KheUN.
BX HOME STORE @BxHomeStore
3K Followers 857 Following ● Wauzaji wa vyombo vya ndani, Jumla na Rejareja. ● Tunafanya Deliveries BURE ndani ya jiji la Dar, Mikoani Tunatuma. ● Pay Less, Expect More.
pearl Dee 🌸 @Emediong29
13K Followers 9K Following documenting daily lifestyle & aesthetic vibes ✨🍂🌸🌺🍂🌺
Homes designs @Homes24x7
47K Followers 4 Following
HOUSE PORN @HOUSEPORN___
3.2M Followers 0 Following Curating original houses, interiors & architecture | Create your dream house 🏠⬇️
Uchumi360 — Built f... @Uchumi360
85K Followers 0 Following Independent platform breaking down Africa's economy. Investments, industries & policies shaping the future, built for the serious. 📩 [email protected]
Ms Lyne🌹 @roseylyne
49K Followers 3K Following Accountant| Owner of Lyne furniture and interior|Tunatengeza Furniture za aina zote na kufanya Interior Design | Kitchen design. https://t.co/vnbf5agIca
Natasha @sehrerfolgreich
1K Followers 750 Following this is my diary i am not a good woman stay guided materialistic
HandofArsenal @HandofArsenal
408K Followers 313 Following Nobody cared who I was until I put on the mask 🥷🏽
Callie🍎 @Calistermbwambo
3K Followers 644 Following This is life not heaven, you don't need to be perfect.
Alex hardware TRADERS... @salahstore1
712 Followers 1K Following dealers on Hardware, Building materials & sanitary retail. & Goat farming.
Abojani Investment �... @TheAbojani
99K Followers 827 Following Abojani for everyday investor. Empowering retail investors through investor education || Contact us: [email protected] Telegram https://t.co/sK9t9VIeeL
Empire Mindset | Weal... @guideforman
97K Followers 137 Following Business, Finance, Smart Money Moves & Mindset.
miriam @therealmirry
2K Followers 895 Following Striking poses & breaking norms. Your daily dose of glam & grit.
REALTECH @realtech_24
9K Followers 3K Following 💻 Nairobi’s Trusted Tech Hub | Laptops | Desktops • Repairs • Upgrades 📍 Bazaar Plaza (CBD) 📞 0798 034 414
Coop Bank Tanzania @coopbanktz
1K Followers 1 Following Pamoja Tujenge Benki ya Ushirika Coop Bank Tanzania. #Coopbank #ustawikwawote
Tanzania Securities L... @TSL_broker
390 Followers 32 Following 📍Stockbrokers, licenced by DSE | 📍Fund managers (Managing More than TZS 70 billion) |📍 Investment advisors, licenced by CMSA.
Chen Mingjian 陈明�... @ChenMingjian_CN
16K Followers 218 Following Ambassador of the People's Republic of China to the United Republic of Tanzania
Nathan Kimaro @NathanKimaro
13 Followers 65 Following
Teni @teni__x
279 Followers 134 Following
Ms. Dramatic ❤️�... @kiracaelestinus
1K Followers 1K Following
Mwita C. Mwita @Mwitah_tz
5K Followers 222 Following Factual based clarifications on Tanzania’s Policies & Legislations | Ufafanuzi | Curbing Informations Gap |
Uwekezaji Tanzania @UwekezajiTZ
38K Followers 1K Following This page highlights investment flairs in the resources and the people of Tanzania. #KaribuTanzania 🇹🇿
Charity Flora✨ @CharityFlora1
7K Followers 581 Following Dear Self...... I Wanna See You Win | Gift Beyond Gifted
INTERIOR HUNT @Interiorhunt11
325K Followers 0 Following Discover Beautiful homes | DM for credits/removal
TenderBank_Consultanc... @Tenderbank_
569 Followers 7 Following Award Winning Bid Management Consultants | Empowering businesses to win tenders across all sectors ✉️ DM for consultation | #Tenderbank
Sedec Builders ltd @sedecbuilders
7K Followers 1K Following CRB Class 4 Building & Civil ||House planning || Building construction || Renovation || Landscaping || +255747608053
travelling with loli @GowithLoli
2K Followers 204 Following Go make TikTok,while I plan your Safari. How? Contact Me.
neylyn @neylyn15
198 Followers 277 Following
Ally Mkimo📝 @ally_mkimo
1K Followers 955 Following Certified Financial Educator(CFE)|Accounting and Financial Analysis |Business Administrator(Overall Best Student)|Global Macro Analyst
Orbit Securities Co. ... @orbitsecurities
2K Followers 266 Following Official account of Orbit Securities Co. A leading Stockbroking firm, Member of the Dar es Salaam Stock Exchange and Authorized Dealer of Government Securities.
Moe @moneyacademyKE
489K Followers 2K Following news, events, stocks, mmfs, bonds, crypto, prediction markets, AI
Mdada Creative Decor ... @immaculatepet14
11K Followers 4K Following Residential & Commercial Construction Electrical & Plumbing Gypsum, Tiles & Professional Painting Aluminium, Glass & Modern Finishes Your trusted 0685761032
Mrs. C Mendes @cmendesg5
565 Followers 119 Following
Starlink @Starlink
1.8M Followers 31 Following Fast, affordable internet available all around the world. Engineered by @SpaceX











































