Search results for #Muislam
#Muislam https://t.co/IXNUXuTEgm
#Muislam Daawa ya salafi ndio daawa isiyokuwa na shaka ndani yake.
#Muislam Achana na madhaifu ya wafikishaji ila daawa ya salafy ndio daawa ya sawa. Na ahlul sunnah waljamaa ndio njia ya sawa.
#Muislam Haya ndio aliyokujanayo mtume.ﷺ!? Tunapokemea uzushi ni pamoja na haya ambayo yamekita katika jamii zetu miaka na miaka na kuonekana ni dini. Yapo mengi na ili uyajue elmu pekee ndio itakupa nuru.
#Muislam Ushikamane na QUR'AN NA SUNNAH kwa ufahamu wa MASWAHABA. Ukataze BID'AH na SHIRKI. Kisha uhimize watu kuelekea TAWHIDI. usipo chukiwa/pigwa vita/pewa majina ya dhihaka basi jiangalie unachokifikisha kinashida..
#Muislam https://t.co/aZqAEqsIPJ
#Muislam Inakuwaje Sheikh anaozesha mwanamke mjamzito!? Lakini pia familia zetu kwanini zinafungisha ndoa za hivi ni hawajui kuwa haifai au wanafanya kwa makusudi!?.
#Muislam Evening Adhkar Adhakar za jioni📚✊🏾
#Muislam Hivi hii mtu anakusalima Asalaam aleykum au asalaam aleykum warahmatullah wabarakatu Au mwingi badala ya kutoa salam yote anasema "SALAAM" Mtu anaitikia "SALAAM " msaada ni upi usahihi wake!? Lina muongozo hili!?
@gabrieloguda When the #HomaBay is neighbouring #KenduBay? The latter is predominantly and proudly #MuIslam …
#Muislam Wale ambao mnahangaika na Abaya, tunawaombea mdumu katika kuvaa stara sio kwa ajili ya eid tu.
#Muislam Isindikize funga yako kwa kutoa ZAKATUL FITWIR... Maelezo na mafundisho yametolewa mara nyingi usipuuze. Na muongozo sahihi wa utoaji ni alioufundisha mtume.ﷺ tosheka na muongozo huo usilete fikra zako. USITOE PESA..
#Muislam Kwenye dua zenu msiwasahau waislam wa #Palestine na duniani kote wanaopitia madhila mbalimbali.
#Muislam Mwezi huu zidisha kusoma Qur'an soma sana.hitimisha Qur'an kadri uwezavyo na kama ni mvivu basi jitahidi hata mara moja uimalize. Kama hujui tia juhudi za kujifunza kwa maana kuto kujua kusoma Qur'an kwa muislam ni uzembe.
#Muislam Tuendelee kukumbushana kuwa uislam unasimaishwa na swala. Na mwenyekuacha swala amekufuru. Lakini pia ibada ya funga inaenda na swala.anaefunga bila swala kwa kauli yenye nguvu ni hana swaumu..Ni sawa ameshinda na njaa.. (utaki ipo hivyo unataka ipo hivyo.)
#Muislam Akhy usiseme utambadirisha. Jitahidi kujibadirisha wewe wa aina yako utampata.