#Muislam Tuna uhitaji wa -Majuzuu/vitabu vya dini -Ujenzi wa misikiti/madrasa -Kuwalipa Walimu Kutokana na hili tumeanzisha group ambalo ni mahususi kwa kukusanya michango na kuipelekeka sehem zenye mahitaji hayo. Hii ni kwa waislam wote.ukiwatayari nicheki DM..
3
27
68
3K
4
@husseinabui Ungeweka link ya group kuepuka usumbufu dm. Ni wazo tu