Search results for #matatizo
We shall overcome One day inshaalah #ChangaMoto #Matatizo
_ujinga _umaskini _maradhi _CCM _umeme _kukosekana kwa ajira _gharama za maisha , kukosekana kwa masoko ya mazao , na taifa kukosa vipao mbele sahihi, hii ndo TZ Ya @SuluhuSamia @ccm Hawafai kuongoza ata kundi la n'gombe. Ongeza #matatizo mengine.
@millardayo Kwani alie sababisha hizo huduma kuwa afifu ni @ChademaTz AU N @ccm_tanzania Hapa hatuitaji kushika mchawi #Matatizo yote haya yamesababisha na #CCM saizi wanaingia kutafuta huruma kwa wana nchi kutatua shida zao wakati hizo shida mmefanya makusudi ili kutuma huyo ionekane nn?
@Kudu_ze_Kudu Enjoy your day dedicated song #Matatizo 🎼🎼🎤 😅😅
NP #Matatizo by @harmonize_tz on your home of local, urban and international music ghettoradio.co.ke #Brekko
Maisha ya wanaokuzunguka yatapiga hatua pindi utakapokuwa mahiri na fani ya kusamehe na kuwa na msimamo thabiti #maendeleo_binafsi #vikwazo #matatizo
Woke up to this old school classic banger #matatizo from the Queen of bongo flavor @JideJaydee .. Kumbukumbu ni nyingi sana kwenye hii ngoma 🔥
Usitamani "Lau hali ingekuwa ni bora zaidi" au kutamani kuwa "matatizo yataisha vizuri" kwani matarajio na kutamani sio mkakati. Hali yako haitokuwa nzuri zaidi bila ya kukabiliana na vikwazo na matatizo #vikwazo #matatizo #changamoto
@Kiss100kenya Any of @harmonize_tz with #Matatizo making the list