Ukinyimwa jambo au fursa na mtu anayekufahamu, ambaye una matarajio makubwa naye ya kukusaidia, na unaloliomba liko ndani ya uwezo wake, shukuru na kubali matokeo haraka sana. Jua hapo umeepushwa na uadui au fedheha iliyokuwa inakunyemelea. Anayekufahamu hukunyima kwa makusudi!
Furaha sio ngumu kupatikana kama itakua na maana tofauti kwa watu tofauti,Maisha yana maana sana kama maana itakua ni tofauti kwa watu tofauti, huzuni ni rahisi kupatikana kwenye maana za ujumla maana hakunaga size inayo tosha wote, wengi itakua sio saizi yao.enjoy kwa maana yako
#SikilizaTogolani "Ukipata hela kuna nguo ghafla zinaanza kutokukupendeza. Kiukweli haziachi kukupendeza ila pesa ndio zimebadili muonekano wako. Wewe usizitupe zote, siku ukija kuishiwa pesa, utashangaa zitakavyokupendeza tena". Mshauri wa Masuala ya Kipumbafu, Anasa na Starehe
Busara nikuweza kuzuia ugomvi mdogo kuwa vita, mabishano kuwa matusi, kukosoana kufikia kudhalilishana.... muhim kujifunza ishara na kujua wapi pa kuachia ili mambo yasifike hatua mbaya
The only thing that stands between you and your wellbeing is a simple fact: you have allowed your thoughts and emotions to take instruction from the outside rather than within. #SadhguruQuotes
Trust ni mtaji mkubwa sana mjini, waweza kua huna kitu ukaenda unapotoaga pesa wakala akakukopa ila lipa ndani ya muda ulio sema, mwana akikutoa mlipe, ukipiga dili wape wenzako wanacho stahili, usivujishe taarifa muhimu za watu.. utajijengea ulinzi wa maisha town
Ukinyanyasa watu hukimbilia kwa Mungu ombea Mungu asiwasikilize. Akiwasikiliza adhabu yake huja kwa kasi kubwa sana. Sisi kama viongozi tuogope kunyanyasa walio chini yetu na wananchi wetu Tujishushe na kutenda mema” Atufigwege
@Nnauye_Nape@meshac_jay tunazaliwa na ubinadamu na utu wa asili, mifumo ndio utubadili...... Kwa vyovyote vile mfumo mbovu usiojali utu na ubinadamu hutengeneza kizazi kinachosusia hizo dhana mbili.
Manung'uniko yetu mengi katika maisha yanatokana na kuchanganya kati ya mambo tunayostahili (entitled) na mambo tunayostahiki (eligible). Lile la kwanza ni haki na hili la pili si haki yako. Kutofautisha hayo mawili kutakuepusha na kugombana na watu na kukupa amani maishani.
3K Followers 3K FollowingABBYNASSOR REFRIGERATION & AIR CONDITION.
We repair....
- Fridge
- Freezer
- Air condition
- Chiller
- etc ❄
Welcome to our best and most reliable services.
2K Followers 2K FollowingHR manager My twitter look like I’m single🙍, taken, depressed, in love, heartbroken💔, a player💏 and loyal so don’t think you know me
137K Followers 961 FollowingPool of thoughts. A commander of the hand to mouth battalion. Environmental Pioneer. Social Engineer. #CertifiedMchapaUzi . Telegram: https://t.co/aEEOOryJWO
86K Followers 194 FollowingOnline TV based Abroad , we retrieve different quotes of different leaders no matter when stated ..email us on [email protected] tweets in Swahili and English
1.2M Followers 668 FollowingWho’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fight
85K Followers 2K FollowingI teach and do research at the Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST), TZ. Science author (https://t.co/ugYmynyQkh…)
1.1M Followers 8K FollowingMbunge Jimbo la Mtama{SIMBA WA VITA}. A LEADER SHOULD BE AN AGENT OF CHANGE. “The most important shot in golf is the next one.”
159K Followers 396 FollowingPolitical Activist in Tanzania focusing on Civil Rights and Good Governance. 🇹🇿. #Author- #FiveYearsOfPain. - To buy my Book, please click the link below.
178K Followers 66 FollowingProfessor Emeritus of Public Law & First Julius Nyerere University Prof, Uni of Dar es Salaam. THE ART OF KNOWING IS KNOWING WHAT TO IGNORE -Rumi
134K Followers 3K FollowingAdvocate| Traveller| Challenger| Music Addict.
Being myself is all that matters. I never look down on people coz I'm not the author of my path. 🇹🇿 by birth|
166K Followers 54 FollowingRENEC is a decentralized blockchain platform designed to enable creators to build experiences that provide to the billion users in Web3.
6K Followers 256 FollowingPetra Diamonds is a leading independent diamond mining group and a consistent supplier of gem quality rough diamonds to the international market. #PDL
1K Followers 5K FollowingWe are building vulnerable applications using #Kotlin for education purposes #hpAndro 🏁 https://t.co/CDWDpr5xbv 🎥 https://t.co/mpKwPhklRn