Huu Ndiyo Ukweli Ambao Ma-CCM hayataki kusikia kabisa
Yanayoendelea Katika Nchi Yetu Nasadiki Maneno ya Mwl Nyerere
Mdude Yuko Wapi? Kosa la Mdude nini Hasa Kwamba Hawezi Kushitakiwa?
Mhe. Tundu Lissu yupo Kwenye kuta za magereza kwa kosa la kuwa na mawazo mbadala na nyie…
CCM Wangekuwa Na Akili Ya Siasa Wangewaacha Muendelee Na Kelele Mkiwa Ndani Mnaitwa CHADEMA. Wameisadia CHADEMA kitu Cha Maana Sana Na Kikubwa. Lakini Kwa Sasa Ngoja Nisiingilie Miradi Ya Watu.
Kalamu ya Baba Askofu mch. Dr. Isaac Kissiri wa Dayosisi ya Tabora ameandika;
Ukitaka kujua kuwa tumefika Mahali pabaya Sana tazama;
1. Ilivyo rahisi kumpiga kiongozi wa dini anayetetea maadili, Sheria, haki na amani na badala ya kushughulika na waliompiga anasingiziwa kuwa…
Kesi ya Tundu ni SARKASI ya KISIASA.
DPP anafanya Siasa.
Tanpol wanafanya Siasa.
Magereza inafanya Siasa.
Mahakama inafanya Siasa.
Hakuna SHERIA hapa! No SIASA HOVYO!
Nimefurahi kuona Wanasheria wa Tundu wameanza kufanya SIASA pia kwa ku-prosecute Hii kesi kwenye PUBLIC ARENA!
Uchaguzi wa aina hii ndo wanaoutaka watawala!!Uchaguzi wa aina hii ndo chadema wanasema hautakuwepo bila kubadilisha mfumo wake na kujibiawa kwa kuumizwa na kutekwa!!Uchaguzi huu ndo fr.Kitima anasema mfumo ubadilishwe,majibu yake ni kusema anachanganya dini na siasa!TUNAKARIBIA.
Watawala wa CCM si vibaya mkajifunza kwa huyu Mwamba na baba wa Demokrasia Afrika mashariki na kati. @freemanmbowetz atakumbukwa na dunia nzima kwa tukio hili.
#StrongerTogether
Nimesoma neno la leo katika Kalenda ya KKKT kwenye Biblia kutoka Kitabu cha Yakobo 3 : 13 - 18. Limenirutubisha. Natamani nanyi mrutubishwe nalo.
"Je, ni nani mwenye hekima na akili miongoni mwenu? Basi, aoneshe jambo hilo kwa mwenendo wake mzuri na kwa matendo yake mema…
#JoinTheChain ilikuwa ni kampeni Maalum iliyofanywa na @ChademaTZ kukusanya fedha kwa ajili ya uendeshaji wa Chama kati ya mwezi Februari mpaka Mei 2022.
Kwa wakati huo kipaumbele cha kwanza ilikuwa ni kugharamia Mkutano wa Baraza Kuu 2022 ambalo pamoja na agenda nyingine…
#JoinTheChain ilikuwa ni kampeni Maalum iliyofanywa na @ChademaTZ kukusanya fedha kwa ajili ya uendeshaji wa Chama kati ya mwezi Februari mpaka Mei 2022.
Kwa wakati huo kipaumbele cha kwanza ilikuwa ni kugharamia Mkutano wa Baraza Kuu 2022 ambalo pamoja na agenda nyingine…
Ndio maana sisi wajumbe wa mkutano mkuu tumekubaliana hatutachagua mropokaji kukiongoza chama kikubwa namna hii. Ukiwatutuhumu wenzako kwa tuhuma za rushwa, ni lazima uthibitishe tuhuma hizo. Kama hauna ushahidi ni bora ukae kimya.
KUPIGANIA HAKI ZA WATANZANIA kumegharimu MAISHA yetu,, kumegharimu MAISHA ya ndugu zetu lakini TUMEAPA...Tutasimama na kusonga mbele
#john_heche_Mmwenyekiti
Msifadhaike. NGUMI zenu zimekuwa na maana kubwa kwa CHAMA. Viongozi wengi wanawaheshimu, kwa maana hakuna heshima kwao bila NGUMI zenu. Mmepigwa , mmeuwawa kwa sababu mliamini kauli za viongozi. Nyie ni watu wa maana na hakuna mmoja wetu angekuwa Mbunge wala Diwani bila NGUMI…
15K Followers 10K FollowingWe all are Citizens of the World. What's good for you, Must be good for All. ☆I'm Catholic Christian☆ 2030 Member of Parliament URT 🇹🇿
29K Followers 20K FollowingUchaguzi wa Mwaka Huu Upinzani Tunaitaji Kushinda ili na Chama Cha CCM kiwe Chama Cha Upinzani, Kione Joto la Kuitwa Chama cha Upinzani.
Maneno yenu ya Umbay
12K Followers 2K FollowingMjumbe wa Baraza Kuu CHADEMA taifa || Katibu wa BAVICHA mkoa wa ILALA || Activist & Human Right Defender || Politician || Raisi wa Tanzania 2055
2K Followers 4K FollowingBachelor of science in electrical engineering
Good end,mind in mindless and kindless.
The young MP of TANZANIA.
@Stylist and designer
7K Followers 6K FollowingPolitician
@ACTWazalendo
#SimbaSC
#ManchesterUnited #RealMadrid.
Respect people’s feelings. Even if it does not mean anything to you.
11K Followers 11K FollowingI love what it means justice, I hate what it means injustices. My life is the reflection of what i always stand for and belive, that is Social democracy.
2K Followers 219 Following- Politician-Chadema Secretary Nyasa zone.
- Born again Christian
- An Entrepreneur| Founder of Urithi Co. Ltd |Tourism| food|realestate @urithi03 @urithitours
15K Followers 10K FollowingWe all are Citizens of the World. What's good for you, Must be good for All. ☆I'm Catholic Christian☆ 2030 Member of Parliament URT 🇹🇿
113 Followers 359 FollowingOfficial twitter account for Wankuru Stephen Mwita.
A political activist & Mobilizer. Tweets are my own - Retweets are not necessary an endorsements from me.
660K Followers 1K FollowingUkrainian patriot. Advisor to Internal Affairs Minister (2021-2023). Institute of the Future founder. Support volunteer translators https://t.co/nWSASMUo29
29K Followers 20K FollowingUchaguzi wa Mwaka Huu Upinzani Tunaitaji Kushinda ili na Chama Cha CCM kiwe Chama Cha Upinzani, Kione Joto la Kuitwa Chama cha Upinzani.
Maneno yenu ya Umbay
13K Followers 1K FollowingHuman Rights, democracy, rule of good laws Advocate. Weimar Human Rights Award Winner 2023. Proud son of the land of man/Ngorongoro
806K Followers 1K FollowingPresenter. Producer. @YahStoneTown @ShabikiOS Brand ambassador for @BetwayTanzania Ain’t so bad at what I do they say. To 🎥 or 🎧 to #SalamaNa Pls Click 🔗
470K Followers 14 Followingاكتب رداً فيه حسابنا وكلمة رتب
Mention @rattibha on a thread to unroll it.
login to Rattibha to view all your unrolled threads. Serving all languages, ALL FREE
249K Followers 254 FollowingPh.D. from the London School of Economics and Political Science
Participant in the democratic renaissance of Ukraine
Chronicler of Russia's war of aggression
364K Followers 2K FollowingYour trusted source for news and views on 🇺🇦
Bridging Ukraine with the English-speaking world since 2014.
💛 https://t.co/NjvZyYSu7U
1.3M Followers 2K FollowingFollow along for how-tos, demos, product news, and more. For company updates, check out @GoogleCloud.
Set a reminder for our 'Gemini at Work' live stream ⬇️
166K Followers 1 FollowingDiscover what’s going on in the Kotlin ecosystem | @JetBrains
Video tutorials https://t.co/u8SefOyX4B
News https://t.co/pvEUEI0iPX
Community discussions https://t.co/f1ymehGEIq
75K Followers 4K Followingr/FlutterDev, a subreddit for Google's portable UI framework. This account is no longer functional due to Twitter's API changes.
213K Followers 38 FollowingUnlock the power of generative AI for your app and business. Firebase helps you prototype, build, and run modern apps that users love at scale.