juma seif @Blockhole7
Tanzania Joined December 2021-
Tweets4K
-
Followers264
-
Following949
-
Likes15
"nadhani tuwe waangalifu katika kuchagua, kuwepo na 'track record'. Huko nyuma tulishawahi kuchagua watu waliokwenda hospitali za vichaa, mtu ana kumbukumbu za taarifa za Mirembe (hospital ya vichaa) halafu unamuachia achukue nchi?" - Anthony Diallo, Mwenyekiti CCM - Mwanza
@IAMartin_ @ProfessorJayTz Asante mungu kwa uponyaji wa joseph
Ndiyo maana nasema lile tukio la Japan Shinzo Abe kupigwa risasi ingekuwa ni Tz yule mtu angesagwa sagwa kwa risasi na wananchi wengine kujeruhiwa au kuuawa kabisa. @ccm_tanzania ni adui namba wa ustawi bora wa Taifa letu.
Askari wa TANAPA amempiga risasi mtoto kwa kuingiza mifugo hifadhini na DC wq Mwanga, Abdallah Mwaipaya anasema aligoma kutoa ng’ombe, akapigwa risasi, nyingine 15 zikapita hewani. Kuingiza mifugo hifadhini ni kosa, Je, adhabu yake ni risasi? Kwanini asishtakiwe kwa kosa hilo?
Askari wa TANAPA amempiga risasi mtoto kwa kuingiza mifugo hifadhini na DC wq Mwanga, Abdallah Mwaipaya anasema aligoma kutoa ng’ombe, akapigwa risasi, nyingine 15 zikapita hewani. Kuingiza mifugo hifadhini ni kosa, Je, adhabu yake ni risasi? Kwanini asishtakiwe kwa kosa hilo?
Tunawatakia Waislamu wote Mliopo Bomang’ombe, Rundugai, Kia, Weruweru, Mnadani, Machame, Masama na popote pale Tanzania Heri ya Sikukuu ya #EidAlAdha. Muendelee kuwa na imani, upendo, furaha, utu, haki na amani. #EidMubarak kutoka kwetu #ChademaHai #HaiKwenyeRamani
@SuluhuSamia kufumbia macho uonevu wa @tanpol yako mjitathmini,utakuja kuwatokea puani siku ikifika, wananchi watachoka na kuuvua uoga na kuvaa ujasiri
Rais wa Sri Lanka katoroka na meli ya kijeshi! Ila hiyo pick up imeshindwa kuwapeleka karibu? Wamewaacha wakimbie na masanduku yao wachoreke 🤣🤣 Usikute masanduku yamejaa pesa 💰 Ubabe wote kuua waandamanaji KWISHNEY! Ndo maana ya #WenyeNchiWananchi
Ina maana sasa watu wa Ngorongoro wanamuomba Mungu na kama @SuluhuSamia anapenda achane na ardhi yao. @AnethStanley @MariaSTsehai @lifeofmshaba @IAMartin_
Kwa wale wanaotumia mihadarati watakwambia huyu anatumia kushabu. Manake just a very small company registered in BRELA it can't have that expenses per day.
"Natoa wito kwa Serikali kujitokeza, iwe ni Rais au Waziri Mkuu ama Waziri wa Katiba na Sheria kusema mchakato wa #KatibaMpya unaanza lini, kwa utaratibu upi. Msimamo wetu sisi Chadema ni kwamba mchakato wa #KatibaMpya uanze sasa na ukamilike kabla ya mwaka 2025." Mhe. @jjmnyika
"Tunaizungumza #KatibaMpya na tumeunganisha na hoja ya #TumeHuruYaUchaguzi, mimi ninataka kuwaambia ndugu zangu wa Chadema #KatibaMpya ni zaidi ya kupata #TumeHuruYaUchaguzi. #KatibaMpya itatusaidia kupata #TumeHuruaYaUchaguzi." Mhe. John Mnyika
@mamgunda1 Na hao wanaowahoji akili zao zinafanana.huyo dada anatakiwa akapimwe akili.
Loliondo Sheikh mwenyewe ndani ya Loliondo Nimefuatilia aina hii ya ndege ni kwamba inaweza tua mahali popote na ni ndege kubwa ya mizigo, sio lazima kuwe na uwanja ili itue Hii biashara ni ya CCM na watu wake #stopmaasaieviction Note huyu ni Kinana akiwa na Sheikh
Kwahiyo @tanpol mlipomkamata na kumsafirisha @Twaha_Mwaipaya kutoka morogoro mpaka Dar es salaam kumpekua nyumbani kwake mlikuwa mnaenda kutafuta bei za umeme?, UJINGA NI MWINGI SANA NCHI HII.
Leo Julai 09, 2022 Katibu Mkuu Mhe. @jjmnyika atakuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa awamu ya pili ya #ChademaDigital Mkoa wa Simiyu, Kanda ya @ChademaSerenget #KatibaMpyaNiSasa #ChademaDigital #PeoplesPower
Leo Julai 09, 2022 Katibu Mkuu Mhe. @jjmnyika atakuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa awamu ya pili ya #ChademaDigital Mkoa wa Simiyu. #KatibaMpyaNiSasa #ChademaDigital #PeoplesPower
Leo Julai 09, 2022 Katibu Mkuu Mhe. @jjmnyika atakuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa awamu ya pili ya #ChademaDigital Mkoa wa Simiyu. #KatibaMpyaNiSasa #ChademaDigital #PeoplesPower
Kauli ya Chadema kuhusu kesi ya Halima Mdee na wenzake !
Nilizipinga siasa za JPM zenye visasi na ubabe dhidi ya wakosoaji wake. Tulisimama kumtetea yeyote aliyeonewa na utawala wake. @Nnauye_Nape ulipopokonywa gari ya waziri ziarani, ukavuliwa uwaziri, ukatishiwa bastola tulikutetea. Leo unatoa maagizo Mwaipaya ashughulikiwe? 🙏🏾
@godbless_lema Kivuli cha Jiwe bado kinaishi kwa baadhi ya maCCM
Nakuuliza January Makamba, huu upumbavu mkubwa hivi una elekeza wewe ?Mambo yq kishenzi na aibu sana haya.
Namdi Azikiwe.🇹�... @NamdiAzikiwe
76K Followers 26K Following ©Tanzanian©Volunteer© Entrepreneur©Critic©Truth©Activist©Social justice©Human rights matter© SautiZetu|UhaiWetu|GodsWithGoal|Team it's possible With100%
Rose Moshi Makei @RoseMakei
25K Followers 18K Following MWENYEKITI BAWACHA KANDA YA PWANI DIWANI V/MAALUM MSTAAFU MANISPAA YA KINONDON
Macie Williamson @macie40219
125 Followers 3K Following
Edward P Budodi🇹�... @officialbudodi
109 Followers 166 Following SOFTWARE ENGINEER , Mweka Hazina Wa Baraza La Vijana Kanda Ya Magharibi(BAVICHA) I believe in right!✌️
Peter Temu @petertemu
6K Followers 6K Following Head of Sales, CMC Agri Ltd, , Sales and Marketing Consultant, Traveller, Contacts: 0762 461 460: [email protected] http://www.africawonderssaf
panya wa kishua 👈�... @Derrick25131159
893 Followers 5K Following
mkazi huru☀️ @MkaziHuru
385 Followers 2K Following haki uinua taifa bali dhambi ni aibu Kwa watu wote🙏
Hon.Frank Joshua @frankjoshuatz
2K Followers 3K Following LL.B (Hons) (Mzumbe University)|USCF Chairman Mbeya Region in 2022 to 2023.| I.J.A ALUMNI| 19th Prime Minister of (IJASO)| Mwanasheria.
Thomas Johnson👤 @31juilletthomas
1K Followers 7K Following hey am Dr Thomas Johnson ⚕️⚕️ DG dans une entreprise de produits pharmaceutiques votre santé notre priorité
Black Wizard @GeniusGinimbi
509 Followers 1K Following if you fear about death, you must be saved in Jesus name.
Mjumbe mkuu_official @MjumbeMkuu
5K Followers 5K Following GEN Z TZ CEO...Activist,human rights defender. siku zote nitasimama upande wa wenye haki, Chelsea fc Die hard fan💙 former African karate champion🥷⏳🦅.
Mon media @Monjrmedia1
1K Followers 4K Following BLOGGER East Africa Digital Media Follow my page for 🕳️All news 🕳️ Sports Events 🕳️ Entertainment News 🕳️ Technology Visit My blog 👇
Official@Must 🌹 @NayawezaMoses
86 Followers 519 Following
wille Anthoni @anthoni_wille
358 Followers 1K Following
Abel @Abel91167188
3K Followers 7K Following
Wilson E.Tarimo @WilsonMawala
2K Followers 5K Following EN Nurse| Former PM at KHTI COLLEGE| Activism| candidate of Ward Councillor CHIGONGWE Dodoma City | Human right defender|(Arsenal £|Simba Tz; fan)
Paulo Mwita @PauloMwita6
451 Followers 590 Following A member of CHASO | Activist & human rights defender| fun of Yanga & Man City #katibampya | #katibampyanisasa | #WenyeNchiWananchi.
Alex Mwaipopo @Iam_Mwaipopo
355 Followers 734 Following Make peace with your past so it won't mess with your present
George Tibaijuka @GeorgeTibaijuka
6K Followers 6K Following News: B.ED (Psy); humanitarian(retired), Husband , Father
Mtaalamu💉💊 @Mtaalamutz
3K Followers 6K Following Focus❇️Consistency ❇️Make money❇️Enjoy🥂whatsapp👉 +255 759 533 343
Haki Huinua Taifa @papajomupapajo1
456 Followers 750 Following
Swahili 25 🇹🇿 @Swahili_25
696 Followers 737 Following (Vlog from East Africa ) ( Content creator ) ( Travel with me ) ( Youtuber ) Click Link 👇👇💪 ( The voice over artist🇹🇿)
Bakari Yahaya @BakariY64223784
17 Followers 240 Following
Jackson Mwakalobo @JacksonMwakalo1
79 Followers 371 Following Akili huweza kukumbuka kile kisicho onekana
Black Masizi @BMasizi
8K Followers 6K Following
its Rebecca @mwanken1
827 Followers 584 Following
🥁Ernest Drama🥁 @ErnestDrama
55 Followers 245 Following 👑👑THE KINGDOM OF GOD IS WITH MEN👑👑New generation musician [email protected] 🇹🇿🇨🇩 whatsapp number+255749295037 🥢One touch🥢
Martin Maranja Masese @IAMartin_
613K Followers 1K Following MMM | Sperm That Won The Race | Cogito, ergo Sum | Patria o Muerte, Venceremos |
Maria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.4M Followers 10K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,
Boniface Jacob @ExMayorUbungo
585K Followers 9K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal Council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov. Ubungo councilor 2010-2020 BAEd Udsm CHADEMA CC MEMBER
Twaha Mwaipaya @Twaha_Mwaipaya
327K Followers 4K Following .Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) 2019-2025 Prison graduate 133 days in jail. Human rights defender.
John Heche @HecheJohn
809K Followers 2K Following Vice Chairman Chadema Tanganyika, former Member of Parliament for Tarime rural constituency, a reformer.
Mdude Nyagali @mdudenyagali
158K Followers 388 Following Political Activist in Tanzania focusing on Civil Rights and Good Governance. 🇹🇿. #Author- #FiveYearsOfPain. - To buy my Book, please click the link below.
Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.3M Followers 1K Following Politician/Activist/Member @Chadematz Member of Central Committee , Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and Father
Bavicha Kanda ya Kask... @BavichaKaskazin
79K Followers 2K Following
Freeman Mbowe @freemanmbowetz
658K Followers 505 Following Former Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA, Former Leader of the Opposition in Tanzania Parliament & Former Chairman of DUA.
Associate CPA Catheri... @CatherineRuge
163K Followers 3K Following UN -empower women champion for change.. Former Member of Parliament of URT of Tanzania 2017-2020, Human Rights Activist, Proudly Mother of two boys 🧒
John Pambalu @John_Pambalu
311K Followers 2K Following Former BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.
Think Different @lifeofmshaba
456K Followers 4K Following Disruptor | The Hammer 🔨 | Good trouble | CCM nightmare | #ChangeTanzania #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ARUDISHULE |Personal Views| God Is Good All The Time
Hilda Newton @HildaNewton21
960K Followers 2K Following Journalist/Activist/President Of Tanzania 2045
Tanzania Leaks @TanzaniaLeaks
117K Followers 157 Following Tanzania Leaks: Inform. Share. Embrace confidentiality. Whistleblowing. Tuna tunza siri. Inbox or Email Leaks: [email protected].
MNYIKA John John @jjmnyika
1.0M Followers 29K Following CHADEMA Secretary General | MP, Kibamba constituency (2015-2020)| Former MP, Ubungo Constituency (2010-2015) | Deputy Secretary General-Mainland (2014-2019)
Joseph Mbilinyi @TheRealJongwe
439K Followers 167 Following Businessman/Legendary African Hiphop Artist/Former Member of Parliament for Mbeya Urban/Central Committee Member - CHADEMA/Zonal Chairman-CHADEMA Nyasa.
NTOBI @Ntobi_
80K Followers 3K Following Concerned Citizen || Ngokolo Ward Councilor 2015-2020 || Banker ||Waziri Kivuli Maliasili, Utallii, Utamaduni na Michezo @ACTWazalendo
Tito Magoti @TitoMagoti
286K Followers 11K Following Freedom Fighter. Activist-in-Chief. Attorney. Tundu Lissu’s Protégé.
ambokile mwangosi @ambokilemwango4
105 Followers 192 Following
Emelda Martin @EmeldaM69952629
2K Followers 639 Following Mwenyekiti BAWACHA Kata ya Nyalumbu Jimbo la kilolo mkoa wa Iringa.
Paulo Mwita @PauloMwita6
451 Followers 590 Following A member of CHASO | Activist & human rights defender| fun of Yanga & Man City #katibampya | #katibampyanisasa | #WenyeNchiWananchi.
KACHERO MWAKIHABA @MBUTUSYOMWAKIH2
319 Followers 46 Following Former M/kiti CHADEMA (W) Nyamagana - Former Kigamboni Ward Chair person - Former Mwenyekiti Mtaa wa NYANG'HINGI - Ex.Pris.266/21
MENYE Sangeti lesinoi... @sonSangeti
251 Followers 2K Following our nation is our life!Mungu ibariki TANGANYIKA.,yanga fan and Manchester united ❤️❤️
Joel Msuya @JoelyMsuya
12K Followers 2K Following Mjumbe wa Baraza Kuu CHADEMA taifa || Katibu wa BAVICHA mkoa wa ILALA || Human Right Defender || Politician || Raisi wa Tanzania 2055
Francis Mangu @mwanamangu
82 Followers 204 Following Kigoma Diocese Secretary for Catholic Professionals (CPT) CHADEMA Kigoma Mjini Constituency Secretary & MP Candidate 2020 Curiosity, decence and generosity
Alex Mwaipopo @Iam_Mwaipopo
355 Followers 734 Following Make peace with your past so it won't mess with your present
Swahili 25 🇹🇿 @Swahili_25
696 Followers 737 Following (Vlog from East Africa ) ( Content creator ) ( Travel with me ) ( Youtuber ) Click Link 👇👇💪 ( The voice over artist🇹🇿)
manvoga🇹🇿 @manvoga
2K Followers 1K Following
Live @Live
7.3M Followers 31 Following
Hilmi Hilal @HilmiHilal88
23K Followers 400 Following An activist: I fight for; The Sovereignity of Zanzibar & Tanganyika. Rights, Justice & Democracy. #ProudlyZanzibari❤ +259Mzururaji✈ Dec 8🎂
Magige NYERERE @NyerereMagige
60 Followers 113 Following
Umoja wa Mataifa @UmojaWaMataifa
31K Followers 766 Following Akaunti rasmi ya Umoja wa Mataifa. Kwa amani, utu & usawa katika ulimwengu wenye ustawi.
Neema Abdallah @NeemaAbdallah9
2K Followers 112 Following Mhasibu wa Bawacha mkoa wa Manyara, Mwenyekiti mstaafu Bavicha wilaya ya Babati, Mjumbe wa baraza kuu Chadema Taifa mstaafu.
#TunasongaKidigitali @chademadigital_
3K Followers 1 Following Ukurasa rasmi wa picha za kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020.
Leo ni leo @mpekuzi_mkuu
5K Followers 76 Following If your here to not to judge have a seat, today is the day.
Shy-Rose Bhanji @shyrosebhanji
136K Followers 591 Following Country Office Manager-Aga Khan Development Network, Tanzania
Mange Kimambi 🇹�... @mangekimambi
446K Followers 90 Following DADA WA TAIFA (ACTIVIST) Scroll to Nov 1 2025 for videos of TANZANIA’s ELECTION MASSACRE. Download Mange Kimambi app to support my work.WhatsApp +1 424-537-3057
Freeman Mbowe @freemanmbowe
10K Followers 2 Following Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo,Mbunge wa Jimbo la Hai na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni.
Tundu Lissu @tundulissu1
3K Followers 15 Following
TanzaniaDaima @sautiyawatu_
4K Followers 93 Following Sauti ya watu! Official Twitter Account of TanzaniaDaima. Swahili daily newspaper.
Celestine Simba @Celestine_Simba
5K Followers 707 Following Mgombea ubunge jimbo la ULANGA 2020 (CHADEMA)na SPIKA WA BUNGE LA WANANCHI.
Premium Business @PremiumBusiness
3.9M Followers 4 Following Unlock powerful tools to boost discoverability on X, increase revenue, and hire top talent. Formerly called Verified Organizations.
Mjumbe mkuu_official @MjumbeMkuu
5K Followers 5K Following GEN Z TZ CEO...Activist,human rights defender. siku zote nitasimama upande wa wenye haki, Chelsea fc Die hard fan💙 former African karate champion🥷⏳🦅.
Edward Lowassa @edwardlowassatz
242K Followers 1 Following This is the official account of Hon Edward Lowassa, former Prime Minister.
Gendelichuma S.A. (fr... @theboy2019Df
2K Followers 1K Following activist,human rights defender and enterpreneur
Chelsea @English_snow2
2K Followers 141 Following Activist! Chelsea fan.all people's are equal! #KatibaMpya ni haki yangu💪
Ideas Adviser 💡�... @MshauriSerikali
22K Followers 785 Following 🧠Government Adviser | Open Minded | Business Ideas🏔️Please Book Your Tanzanian Tour & Safari With Me ✈️ VISA Assistant & Abroad Jobs Agent 🇺🇸🇨🇦🇪🇺🇦🇪
FixerQueen @FlagMarsha
2K Followers 705 Following
Rose Moshi Makei @RoseMakei
25K Followers 18K Following MWENYEKITI BAWACHA KANDA YA PWANI DIWANI V/MAALUM MSTAAFU MANISPAA YA KINONDON
Al Nyagwegwe @nyakwarOthuon
1K Followers 2K Following Yanga, Eagles, Sixers, Barca, Phillies & Union. Opinion is My Own
Paul Kisabo @Advocate_Kisabo
12K Followers 183 Following Advocate~ Nimble Person ~ Human Rights Defender ~Justice Ambassador

















































