@JMakamba Tafuteni njia ya kuendelea kutumia mifuko hiyo bila kuathiri mazingira. Kuzuia ni kulikimbia tu tatizo wala sio kulitatua. natamani ningepewa nafasi ya kupendekeza cha kufanya
Tungeweza kuwa wabunifu na tukafanya tofauti na wenzetu kwa ufanisi zaidi kuliko kuiga tu uzuiaji wa mifuko ya plastiki. Tunahitaji kujaribu kupita njia zetu wenyewe. Sio lazima tufaute wenzetu walivyofanya.
@JMakamba Naona kuzuia uzalishaji na matumizi ya mifuko ya plastiki ni kukubali kuwa tumekosa ubunifu. Ni ukweli kuwa hiyo mifuko inazagaa maana ina thamani ndogo ya pesa. Iwapo tungeiongezea thamani ya pesa na kwayo mtumiaji akaweza kuirudisha pesa yake tungetumia milele bila shida
@hemedallytz @atcl @fatma_karume@HecheJohn@ChademaMdude@MariaSTsehai@halimamdee hatuwezi kuwa sawa. wakati unaona bora zingetumika kwenye kilimo, mimi naona labda zingeongezea mishahara na najua kuna ambaye anatamani hizo fedha angekopeshwa akuze biashara yake. Twende na kinachowekana leo
@halimamdee Uchaguzi wa maneno ni muhimu sana kwa kiongozi. Wakati tukimlalamikia aliyewaita watanzania wengine "wapumbavu" hatuwezi kumkosoa huku tukiwaita watanzania wengine "viazi".
@SuphianJuma@zittokabwe Huku ni kutokujua historia yetu vizuri au ni kutaka kuonesha Udikteta? Baada ya uhuru Nyerere alivifanya nini vyama vya siasa? Hitler na Nyerere nani kaishi karibuni zaidi ya mwingine? Unahanagaika mpaka Ujerumani kutafuta mfano, tumia mfano wa Nyerere. Siasa duh.
Kosa kubwa la siasa za Tanzania ni kuacha wanachi wavitafute vyama badala ya vyama kuwatafuta wananchi. Tutalaumiana bureee kuwa tunazungukana lakini nini jitihada mnazofanya kama vyama kwa miaka yote hii katika kuwatafuta wananchi?
35K Followers 9K FollowingYour East African Content Hub! 🇹🇿🇰🇪🇺🇬 Rifaly is your one stop shop for newspapers, magazines, audio stories, books and articles.
3K Followers 117 FollowingChange Healthcare. Improve Life. Madaktari Africa seeks to improve healtcare using our train-forward method that focuses on sustainable capacity building.
415 Followers 140 FollowingThis is the official account of the Mashariki Literary and Cultural Studies Conference (EALCS) and Association
Page is run by @itibasiima
2K Followers 358 FollowingAn innovative international peer-reviewed journal exploring Eastern African literature, culture & the arts. From and about Africa 🌍
1.7M Followers 433 FollowingBreaking News, Current Events and News Analysis from Uganda's Leading Daily. #VisionUpdates #EPaper - https://t.co/mOOnfaXPgY
316K Followers 255 FollowingOne of the oldest and most prestigious Universities in Africa. A leading institution for academic excellence, research and innovations.
📧 [email protected]
11K Followers 740 FollowingThe College of Computing and Information Sciences is one of the largest computing and ICT training, research, and consultancy Colleges in Africa.
10K Followers 154 FollowingCollege of Humanities & Social Sciences was established in 2011 after integrating the Faculty of Social Sciences, Arts & Psychology
254K Followers 919 FollowingCEO @manaratv_
Kariakoo Ward Councilor
A Media Personality @wasafifm @wasafitv
official Spokesperson for all National Football teams 🇹🇿
14K Followers 206 FollowingUkurasa rasmi wa Kampuni kongwe ya Magazeti Tanzania. Nyumbani kwa UHURU na MZALENDO, P. O BOX 9221, Lumumba St, Dar es Salaam - UKWELI DAIMA
76K Followers 19 FollowingWelcome to Official Twitter account of TTCL Corporation for more assistance call 100 or 0222100100
TTCL WHATSAPP Number: https://t.co/PykkAFpSW3
54K Followers 76 FollowingLATRA is a Regulatory Authority in Tanzania established by The Land Transport Regulatory Authority Act no. 3 of 2019, which repealed SUMATRA Act.
100K Followers 714 FollowingYour go-to source for concise updates and insightful analyses on Tanzania's latest news and economic trends. Exploring Tanzania's growth, one tweet at a time.
206K Followers 41 FollowingThe Guardian Ltd
Home of Great Newspapers
Mikocheni Light Industrial Area
P.O. Box 31042
Dar es salaam
Tel:+255 745 700 710
[email protected]