@HecheJohn@SuluhuSamia Hawa viongozi wa siasa tena CCM wakitoka uongozini wanaenda kumjua MUNGU lakin kwenye utendaji ni wabakaji wa madaraka kiongozi wa Chama ipo juu Kwa mtumishi wa serikali kwa Sasa mfano hai viongozi wote wa CCM iwe Chin Hadi juu wapo juu Kwa mtumishi wa serikali
MH ukweli Kuna Shida sehemu
Kijumla watanzania Hawa amani kwa sehemu nyingi Tanzania
😭Mojawapo ni ngorongoro watu wanaishi Kama watumwa
Hakuna maendeleo miaka mitatu tarafa nzima ngorongoro sisi maamuzi ni yako au watumishi wako ngorongoro afya barabra elimu empty 😭😭😭
Baada ya kutoka kijijini Ngarash mkoani Arusha, nimewasili Addis Ababa nchini Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika.
Katika mkutano huu, pamoja na mambo mengine tutajadili kuhusu amani na usalama wa nchi zetu, na sera na majawabu kuhusu elimu na ujuzi, ikiwa ni
@SuluhuSamia Mama sisi wamasai wa ngorongoro hatuna amani wala Uhuru wa kuishi Kama watanzania wengine
Miundombinu mibovu ya elimu afya barabra
Na kunyimwa maendeleo miaka mitatu Hadi Sasa amani iko wapi Kwa watu wako
CCM ni wauaji na ni aduii wa kila mtu mjenga taifa letu
Angalia na uogopa mtu nakutolewa rambirambi kabla ya kifo chako wana uhakika mauaji yao
Kazi tunayo CCM si baba wala Mama msemo wa baba wa taifa
Ni vema @ccm_tanzania mtuambie ilikuwaje mkatoa salamu za rambirambi kwa Thadei Ole Mushi siku moja kabla ya kufariki? Kwamba ni kweli mlimuwekea sumu na mlijua atakufa ndo maana mkatoa salamu za rambirambi kabla ya mauti yake? Naomba kibali cha ndugu niwapeleke mahakama hawa ccm
PENAL ACT (Zanzibar):
Hii ndiyo sheria ya Zanzibar (Penal Act, No. 6) inayosemekana inazuia masai kutembea na "silaha za jadi". Ni hatari kwa mwanasheria kusoma na kufafanua sheria kwa HISIA, haisaidii jamii. Hii sheria ikisomwa kwa umakini, tena yote, kama masai anabeba silaha
Taifa na mzigo ndo hawa viongozi wa hovyo hovyo wakati wananchi wanapinga mswada wa Sheria mbovu ya uchaguzi wabunge wanapitisha Sheria Kwa nguvu zote ukweli taifa Hilo ujinga na umasikin wa mawazo ni kubwa @agnesSwai2@AbroadTanzania@BabaMwita@DenisMoses14
11K Followers 1K FollowingThe official account of IOM-UN Migration in the field of Migration, Environment, Climate Change and Disaster Risk Reduction.
RT≠Endorsement
157K Followers 1K FollowingMy goal is to help speed up your learning curve with proven systems & analysis. Investor, Swing trader, Educator, IBD Meetup leader. Grateful Husband & Father.
2K Followers 9 FollowingEnabled by UN Member States & pressed forward by the @UN, WB & regional organizations to address climate-forced migration & displacement #ClimateMobility #GCCM
4K Followers 160 FollowingStrengthening an inclusive African movement mobilised to advance climate justice, and offer solutions for a more sustainable future.
931 Followers 971 FollowingWrites about biodiversity conservation, climate change, environmental justice and epistemic disobedience to Euro-American centricity in tropical ecosystems
1K Followers 2K Following#CAOPA is a confederation of professional organisations (women and men) of artisanal maritime and continental fisheries in Africa.
347 Followers 79 FollowingSupporting Pacific Atoll Countries against existential threats of #climatechange. #RisingNations is enabled by the Global Centre for #ClimateMobility.
3K Followers 96 FollowingA joint undertaking of the African Union Commission, the UN & the World Bank to address climate-forced displacement/migration while harnessing #ClimateMobility
1K Followers 336 FollowingWe generate credible & evidence-based information to enhance decision making in natural resources governance & environmental law.
218 Followers 165 FollowingYouth org for SDGs. Protecting the environment in the Congo Basin/community based ORG/ 🌍ACT, INSPIRE, IMPACT.
Email: [email protected]
1K Followers 478 FollowingBachelor Degree of Science in Economics and Finance 🎓 || Diploma in Development Planning🎓||Young African Sc Fan|| Believe in Jesus Christ
From Mara, Tanzania.