@mpilu85774@HecheJohn Inaonekana ninyi CDM mna mipango mikubwa sana ya kuleta machafuko. Mikutano hamtki kuhudhuria na wala hamtoi ushirikiano wowote. Kazi yenu ni kujiandaa na machafuko tu. Hii ni MBAYA SANA
@HecheJohn Heche, kwa hiyo unachosema ni kwamba ninyi CDM mtafanya fujo za kuleta machafuko ikiwa mtaandikiwa barua na Ofisi ya Msajili. Ujumbe wako unaoakisi mipango mliyonayo umeeleweka.
@mangekimambi Mange
When I look at you, I find you to be not a respectable person. Where did you start these movements? You have come from nowhere and you are thinking you are worth to be an influencer. Are you serious? Give us a break!!
@godbless_lema@YouTube Heche, Nimesikiliza Amri yako hadi mwisho. Uliyoyasema hayawezekani kutekelezeka. Unataka kuweka VACUM nchini halafu yatokee machafuko.
Mbona hujasema walioharibu mali wachukuliwe hatua? Unatoa amri kwa Serikali kama nani? Ujiandae mahakamani kuthibitisha madai yako ya uongo.
@Dr_DGwajima Hon. Minister
Thanks for your swift action on this matter. If you are serious with these types of things; ensure that the matter is investigated, prosecuted & punished the soonest.
Otherwise, corruption & technical know-who’ll take its course and the business will be as usual.
@Jambotv_ Mhe. Kunambi. Ni kwa nini ulipokuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma ulijenga Stand ya Mabasi yenye umbo la Msalaba. Ulikuwa na maana gani. Kuna uhusiano gani kati ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma na Msalaba?
@Van_Mersey Mwandishi wa uzi huu ana ufinyu mkubwa wa taarifa. Kwa mfano, Usama Bin Ladin hakulipua majengo ya Twin Towers. Hiyo ni propaganda ya ya Wamarekani ili wapate sababu ya kuanzisha vita kupigana na mataifa ya Kiisilamu.
@moodewji@SimbaSCTanzania@simbaqueens MAKOMANDOO WA YANGA
Mimi nauliza, hivi wale Makomandoo wa Yanga wana akili timamu?
Na pili, yule Meneja wa Uwanja wa Mkapa ilikuwaje akawakabidhi Makomandoo wa Yanga Uwanja?
Tatu, ilikuwaje Meneja wa Uwanja akawafungulia Yanga Uwanja wakati mchezo uneahirishwa?
@Apples_Xi@godbless_lema Kwa mimi mtu mzima, kulazimisha kumuona Kiongozi wa Serikali, ikiwa ni pamoja na Rais, ni utovu wa heshima.
Kitendo cha kulazimisha kumuona Rais kwa muda unaotaka wewe; bila kujali nafasi yake, itifaki na utaratibu uliowekwa; inakwenda kwenye utovu wa nidhamu moja kwa moja.
@Mzee_Nyoko Terminal 3, Mwendokasi na Flyovers vilianzishwa na JK; kwa maana ya project conception na financing arrangements.
Magu alikuja kutekeleza tu.
13K Followers 59 FollowingSupporting small businesses with expert insights, practical resources, and growth strategies. Your partner in entrepreneurial success. #SmallBusinessMatters
1.3M Followers 1K FollowingPolitician/Activist/Member @Chadematz Member of Central Committee , Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and Father
40K Followers 19 FollowingKusimamia na Kuratibu Uendeshaji wa chaguzi kwa mujibu wa Sheria ili kulinda demokrasia kwa manufaa ya wananchi, vyama vya siasa na wagombea.
2K Followers 318 FollowingAdvocating for transformation and meaningful change. A proud patriot and responsible Tanganyika citizen committed to justice, accountability & national dignity
145K Followers 1K FollowingPool of thoughts. A commander of the hand to mouth battalion. Environmental Pioneer. Social Engineer. #CertifiedMchapaUzi . Telegram: https://t.co/aEEOOryJWO
658K Followers 505 FollowingFormer Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA, Former Leader of the Opposition in Tanzania Parliament & Former Chairman of DUA.
7K Followers 37 FollowingEastern and Southern African Management Institute (ESAMI) is a Pan African Ten members state owned leadership and management Institute
1.2M Followers 662 FollowingWho’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fight
762K Followers 10 FollowingUkurasa Rasmi wa Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania 🇹🇿 | The Official Account of the Chief Spokesman of the Government of Tanzania 🇹🇿
601K Followers 11 FollowingBunge la Tanzania ni baraza la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotunga sheria na kuisimamia serikali katika utekelezaji wa majukumu yake.
951K Followers 778 Following🇹🇿Presidential Advisor on Reproductive, Maternal & Child Health & Head of Secretariat, AU Champion for MCH / Minister of Health🇹🇿 2015 - 2020 & 2022 - 2024