@jmmsami19@azamtvtz Hiace haikuwa na shida na wala haina Shida, ina uwezo mkubwa sana; hapo tatizo ni dereva wa Lory gari ilimshinda kwenye kuoanga gear zake ngoma ikakosa nguvu na kurudi nyuma, so hata kama wangekuwa na Scania za Dar Express hiyo ajali isingeepukika
JIFUNZE Jinsi ya kutumia options za Gears Kwenye Gari Automatic.
.
Gari za AT zimekua rahisi sana kuendesha, watu wasiopenda manual wametokea kuzipenda sana na wanazifurahia.
.
Mtu akishapata Leseni tu Utasikia wanakwambia We ingia ukishaweka D ndo ushamaliza Dar Moro hii hapa.
Sabaya alitumika na MEKO kuharibu bustani ya Mbowe. Wakaenda Club Bilicanas wakavunja, wakafunga bank zote za Mbowe,walivyo maliza kufanya hivyo wakamfunga Mbowe kwa miezi 3 baadaye wakatakiwa kulipa Mil 350 kwa kesi za kumbumba. Sasa wamemshataki kwa Ugaidi. Mungu ni wetu sote.
@swahilitimes Shekilango/Mwenge hii njia imetandikwa mkeka hivi karibuni na kufanya kuwa barabara 4 kutoka mbili zilizokuwepo awali; kwahiyo suala la ubovu wa barabara hapa sio sababu.
@TzWikiLeaks Mmmh kwani si mlituambia kuwa Karume ndiye alimuibua Mama SSH ndio maana @fatma_karume akapumzika uwana harakati kidogo na kurudi alikolelewa; sasa mbona mnageuza tena betri?
@Susan_Kiwanga@MariaSTsehai Mmmh tunaoteseka ni sisi ndugu watazamaji, hapa ni pale ndugu washangiliaji tunapopigana kwenye ushangiliaji wa chorus ile ya "usiniumizieeeeeee"
Kuna Polisi huwa anaenda nyumban kwa Mama kuchota maji miaka nenda rudi hatujawai kumlipisha ila leo nimemwambia Mama amwambie kuwa kuanzia kesho hatoruhusiwa kuchota maji kwetu akimuuliza kwanin amwambie kuwa ni kwasababu wao wanatumika kukandamiza Haki za wengine, #UbayaUbaya
@HildaNewton21 Daaah kumbe u Prof kuna wakati nao hutegea kifikra, Mbowe ni mtuhumiwa tu mpaka hapo mahakama itakapothibitisha hilo; na bado kiubinadamu tu watz tuna huo moyo, achana na sera za Adui mwombee njaa, baki na sera ya "LOVE YOUR ENEMY BUT DONT LET HIM/HER OUT OF YOUR SIGHT"
@darmpya_ Akili za kuambiwa.....haya maneno hapa "IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa KUWAPIGA, na WAWAPIGE......."
(Mwenyekiti keshajinasibu hapo kuwa ye hatokuwepo kwenye kupokea kichapo)
@lifeofmshaba@fatma_karume Kwasababu 99% ya makundi yanayojinasibu kuhusika na ugaidi maeneo mbalimbali duniani ni ya mlengo huo. Lkn hii hai guarantee kuwa waislam tu ndio hufanya mambo haya bali hata wakristo wapo ni suala la kiimani na tabia ya mtu.
🇹🇿-1
Naomba Retweet 🔁 na Like ❤️ za Kutosha Mpaka Ujumbe umfikie Mchoraji huyu Mahiri wa Taswira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Utamaduni wa Rais kuhutubia Bunge ( #StateOfTheNation ) hutumika kuonyesha mwelekeo wa Rais au kufafanua masuala Muhimu ya Kitaifa. Kuanzia kesho 22/4/2021 Jioni ndio tutajua haswa nini mwelekeo wa Uongozi wa Awamu ya Sita wa Rais @SuluhuSamia katika Muhula wake wa kwanza
698 Followers 5K FollowingTanzanian 🇹🇿
Social Worker|
Health worker|
Research Assistance|
Psychologist & Counselor|
Former Minister of Education ISWOSO 2022/2023
Dar es Salam Tanzania
29K Followers 531 FollowingWATETEZI TV is a Not-For-Profit online Tv under the Tanzania Human Rights Defenders Coalition(THRDC).
Watetezi Tv operates in lieu of all applicable laws.
1.1M Followers 532 FollowingCo- founder Crown Media. Award-winning Radio & TV Presenter| Former BBC | 🇹🇿🇬🇧 **Tweets in English & Swahili** #VisitTanzania
308K Followers 2 FollowingHuman Rights Advocate || Exposing abuses || Protecting civic freedoms || Equality & Rule of law || Equality means the whole bundle of rights, not a reduced set.
8K Followers 2K FollowingUkurasa Maalumu wa Application ya kusomea Vitabu vya Yericko Nyerere. Ujasusi, Madaraka, Strategy, Mtu baada ya Mtu na Moscow: Oparesheni - Ukraine
12K Followers 317 FollowingStrategic Marketer. Specializing in Digital Strategy and SEO to bridge the gap between African tourism and global markets. Transforming visibility into business
381K Followers 714 FollowingThe United Nations Department of Political and Peacebuilding Affairs (DPPA) helps prevent conflict & sustain peace around the world. Headed by @DicarloRosemary
64K Followers 12K FollowingWelcome to the Official VOB Twitter Page. (Disclaimer: The views expressed here do not necessarily reflect the views of Voice of Bongo