‼️MISHAHARA VIPI HUKO SERIKALINI🧐‼️
Mnajua watumishi wa umma huwa mnatia hasira ila huyu ni mtu wa tano amekuja kuniambia watumishi wa umma hawajalipwa! Poleni!
Pesa zote wamepeleka kwenye kampeni na wanalipana wanazipeleka nje ya nchi au kununua magari na manyumba!
Msipojiunga…
🚨#Tanzania ‼️
The draconian cyber laws and regukations are used fully by @SuluhuSamia govt to jail young men for cyber”crime” and “offences”
Nothing has changed (cc @USAmbTanzania those reforms you were applauding are null and void)
👇🏾👇🏾
(left) Japhet Matarra was sentenced to 5…
So mlikuwa mnasubiri mpigiwe kelele ndo muwape stahiki zao watumishi wa umma?
@ccm_tanzania huyu mama yenu ataimaliza nchi huku mliimba mitano tena
Eniwei watumishi wa umma simameni na wananchi na muache kuwa washiriki wa kutuwinda na kututeka na kutuua wakati tunawasemea 🙄…
‼️🚨CHONDE CHONDE - NCHI INAKOELEKEA NI HATARI🚨‼️
Huyu mdau wa siku nyingi katoa taarifa kuhusu gari na watu wanaosadikiwa kuwa maaskari wakihangaika kutaka kutupa mzigo na hatimaye kuondoka bila mafanikio
@tanpol haya mambo ni hatari! Mkiendelea na utekaji na ukamataji alafu…
💔💔,Kuna kundi kubwa sana la watu wame riport account zangu hapa X na IG, hii hainivunji moyo bali inanipa nguvu ya kupambana zaidi Mpaka haki Itakaposhinda 🫵🏾🫵🏾🫵🏾✊🏾
Ukiachana na Kupigwa Risasi ya kichwa, Kufiwa na Baba mzazi mwaka 2016 , Nafikiri hichi ndo kilichoniuma zaidi Baada ya hivyo vyote , Ila mapambano yanaendelea, Hakuna kukata Tamaa Wanangu. Jambo letu october 29 liko pale pale
#TANZANIA: UCHAGUZI UNAPASWA KUWA TUKIO LINALOTUWEKA PAMOJA, UCHAGUZI SIO TENDO LA HILA LA WATU WACHACHE KUJIKWAPULIA UONGOZI - POLEPOLE
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na aliyekuwa Balozi nchini Cuba, Humphrey Polepole hii leo Septemba 25, 2025 amezungumzia kampeni…
@MariaSTsehai#NoReformsNoElection#FreeTunduLissuNow
Kweli kabisaa Abdulkarim Juma ndugu zetu Watanzania wazalendo msipo zusha zahama na mshikemshike kwa ajili ya kuachiliwa huru kwa gwiji Tundu Lissu serikali ya Mama Samia Suluhu na vyombo vya dola Tanzania Tundu Lissu atabakia korokoroni
Watumishi wa Hospital ya Taifa ya Muhimbili @MuhimbiliTaifa Tunasikitika kuwapoteza watumishi wenzetu 200 waliokua wameajiriwa kwa Mkataba. Serikali imesema kua sababu ya kuwafukuza kazi watumishi hao ni kua haina pesa za kuwalipa. Ikumbukwe tuna upungufu mkubwa wa wataalamu.
Sasa @SuluhuSamia na serikali yake ihakikishe usalaMa wao wafike kuwa mashahidi kama mnadai kweli kuna demokrasia na haki 🙄
Don’t expect of course such civility from this govt all they know is abduct, torture and initimidate but keep your eyes on this trial in #Tanzania@WGEID…
Sasa @SuluhuSamia na serikali yake ihakikishe usalaMa wao wafike kuwa mashahidi kama mnadai kweli kuna demokrasia na haki 🙄
Don’t expect of course such civility from this govt all they know is abduct, torture and initimidate but keep your eyes on this trial in #Tanzania@WGEID…
‼️🚨WE WARNED ABOUT THIS PUBLIC HAZARD - HII NI HATARI🚨‼️
An overcrowded Rapid Transport Bus broke down and plumes of smoke surrounded the vehicle
Poor school children jumped off the bus in panic
Hope nobody was hurt! There is only money for a presidential convoy not for…
Acha waendelee kumsifia na kumjaza ujinga wakidhani vijana wa sasa ni wale wa miaka ya 60.
Bwana @ezekiel_kamwaga , umesahau kuwakumbusha pia wale wanaomsifia.
Siku vijana wakiamka, wataanza na wao kwanza huku mtaani kabla hawajaenda bungeni na ikulu.
5K Followers 4K FollowingLaw Student| Arsenal till the end | 📚 Future Judge in the making |"Dedicated in justice|Forex trader 📊 Mastering market trends for profits 💸
2K Followers 4K FollowingFOLLOW ME FOR AN IMMEDIATE FOLLOW BACK🔔🇹🇿🇯🇲🇰🇪
🔥Creative writer⚡🔔
🪐Influencer💥
💫 Digital creator🔥
💥follow for immediate for follow✈️
(arsenal fan)
84 Followers 913 FollowingBINANCEFX MARKETING EXCHANGE COMPANY HAS CHANGED MY LIFE COMPLETELY 😊💯💰📌,INTERESTED TO KNOW HOW SEND ME A DIRECT MESSAGE HERE ON XAPP
221 Followers 2K FollowingIF INTERESTED TO KNOW MORE ABOUT THE FORIEGN MARKETING EXCHANGE PLATFORM KINDLY SEND A DIRECT MESSAGE OR WHATSAPP👇👇👇👇 +1 (925) 539-6836
1K Followers 7K FollowingWITH GOD ALL THINGS ARE POSSIBLE ☦ kindly send direct message if interested to know how Binance fx company changed my life completely 💯📌
2K Followers 2K FollowingFounder & Executive Director at TANZANIA BUILDING FUTURE ORGANIZATION (TABUFO), @TABUFO2 #PeaceAmbassador #Peace #Youth #PVE #TANZANIA
5K Followers 4K FollowingLaw Student| Arsenal till the end | 📚 Future Judge in the making |"Dedicated in justice|Forex trader 📊 Mastering market trends for profits 💸
13K Followers 1K FollowingHuman Rights, democracy, rule of good laws Advocate. Weimar Human Rights Award Winner 2023. Proud son of the land of man/Ngorongoro
5K Followers 1 FollowingNeuroStory is the AI-powered digital brain healthcare startup, founded by the world's highest IQ person now, Dr. YoungHoon Kim @yhbryankimiq
317K Followers 288 FollowingWorld's Highest IQ Record (276)
-by Official World Record
-by World Memory Championships
-by World Academy of Medical Sciences
-by Peer-Reviewed Journal TPM
17K Followers 1K FollowingThe global alliance of the centre-right | 80+ political parties | Committed to freedom and democracy | Chaired by Rt. Hon. @stephenharper
320K Followers 1K FollowingThis is #ChangeTanzania movement of citizens exercising their right to #FreedomOfExpression | for activism contact via WhatssApp & Telegram +1 (862) 438-3337
70K Followers 441 FollowingHuman Rights Activist & Trainer on Media and National Development Issues|Tanzania's Woman of Courage Award Recipient 2010|TAMWA Executive Director 2001-2012
4K Followers 607 FollowingChief, Systems-Wide Coherence, ECA, Passionate about Gender Equality #making this world a better place for all. Tweets are mine!
5K Followers 5K Followingformer IDU Sec Gen, Int. Relations, Europe, Germany, Bavaria, Franconia and some more. Views are my own. RTs not necessarily endorsements.
82K Followers 5K FollowingInternational lawyer specialising in political advocacy and human rights.
Founder and Managing Partner of Amsterdam & Partners LLP.