Da Swau @swau_da
😘😘 Joined July 2020-
Tweets60
-
Followers6
-
Following73
-
Likes89
#HABARI Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa @halimamdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa wabunge kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao.
Hongereni Wanasimba wenzangu kwa ushindi wa hali ya juu! “Football ya Simba hata ukikaa nyumbani hujutii kulipia kifurushi chako"😎😄😄
😂😂😂😂 Kitaalamu hizi zinaitwa Njozi za mchana
Happy birthday to me Asante mungu kwa kunipa kibali cha kuongeza mwaka mwingine
Zito tumbo joto
Mambo yalikuwa murwaaaaa
Mambo yalikuwa murwaaaaa
Maandalizi ya mapokezi ya mgombea uraisi wa ccm na raisi wa jamuhuri ya muungano wilaya ya kasulu mkoa wa kigoma ni motoo
Mchana mwema
Labda tu UCHEBE aje na picha zake amepasuka ubongo aseme amepigwa na Shishi. Hii kesi imejifungua, imekamilisha ushahidi, imejifunga.
Mrj h @milonyange
49 Followers 129 FollowingAhmed @Ahmed58210498
2 Followers 20 FollowingMiraji H Nyange @nyangemiraji
494 Followers 1K Following [email protected]/[email protected]/whatsapp+255752723636, Simba Sc & Arsenal&Barca, From Kasulu-Kigoma, Teacher of teachers. GAIRO-MOROGORO.Big tembo @RSakalani66
3K Followers 5K FollowingPius Benedict @PiusBenedict4
118 Followers 589 FollowingMrj h @milonyange
49 Followers 129 FollowingAhmed @Ahmed58210498
2 Followers 20 FollowingMiraji H Nyange @nyangemiraji
494 Followers 1K Following [email protected]/[email protected]/whatsapp+255752723636, Simba Sc & Arsenal&Barca, From Kasulu-Kigoma, Teacher of teachers. GAIRO-MOROGORO.Big tembo @RSakalani66
3K Followers 5K FollowingHaki Ngowi @Hakingowi
444K Followers 9K Following 🌍 Official X(Twitter) Page Of Haki Ngowi ® 💻📱 Post(Tweets) From Haki Ngowi News are signed hn+Baba Mwita @BabaMwita
61K Followers 4K Following Husband | Father | Lawyer | Human Rights Activist | Democracy | Rule of Law | A People's Servant | An Agent of ChangeMotivation 255 @motivation_255
152K Followers 3K Following Pata maudhui yenye kukujenga (kimaadili na kiuchumi) na fursa mbalimbali za ajira, ufadhili wa masomo, mitaji, ruzuku, mafunzo na safari nje ya nchi za bure.Swahili Creatives @SwahiliQuest_
30K Followers 2K Following Hapa utajifunza USIYOFUNZWA darasani. Elimu mbadala itakusaidia KUJIAJIRI, kuishi kwa MISINGI YA AFYA na kuwa mtu anayeishi ndoto zake kwa KUSAIDIA wengine.Jakaya Kikwete @jmkikwete
1.8M Followers 79 Following 4th President of Tanzania| Chancellor, University of Dar-es-Salaam| Chair, GPE Board| Co - Chair, HLC on #ICPD25| Chair, SADC Panel of Elders (PoE)| Chair, JMKFDr John Magufuli @MagufuliJP
991K Followers 8 Following The Fifth President of The United Republic of Tanzania.StarTimes Tanzania @StarTimesTZ
5K Followers 652 Following To enable every household in Tanzania to have access to Digital TV, afford Digital TV, watch good Digital TV, and enjoy the beauty of Digital TV.Azam TV @azamtvtz
1.3M Followers 209 Following Watch your favorite shows on https://t.co/6bgggrv4QE | 📞 +255784108000EastAfricaTV @eastafricatv
1.7M Followers 7 Following Official EastAfricaTV (EATV) Twitter Email: [email protected]Mchokozi !! @OleMtetezi
353K Followers 686 Following Mwenyekiti Wa Umoja Wa Kizazi Cha Kuhoji Twita//Trust Me Iam Everything Ur NotMsemaji Mkuu wa Serik.. @TZMsemajiMkuu
736K Followers 10 Following The Official Account of the Chief Spokesman of the Government of Tanzania I Ukurasa Rasmi wa Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania 🇹🇿Handsome La Kijiji @ManenoIzaak
423K Followers 7K Following Baba Mzazi/Mungu kwanza/Heshimu Mawazo yangu ila ishi Maisha yako/ Ruksa kunipa ushauri wowote/ Ila si lazima ushauri wako uendeshe Maisha yangu.Hilda Newton @HildaNewton21
850K Followers 1K Following ●MWANDISHI WA HABARI, ●MWENYE KITI BAVICHA (M) TEMEKE, ●RAIS WA TANZANIA 2045.Jokate Mwegelo @jokateM
1.2M Followers 1K Following Visionary | Leader | Former District Commissioner - UR Tanzania, President’s Office | Secretary General Youth Wing @ccm_tanzania member of @clubdemadridMaria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Flaviana Matata @FlavianaMatata
850K Followers 239 Following Fashion Model | Social Entrepreneur. @Lavy_Products @FMFoundbongo5.com @bongofive
461K Followers 2K Following East Africa's most read Entertainment website. 10+ years delivering the best news in the best ways possible.Mwigulu Nchemba, PhD @mwigulunchemba1
534K Followers 358 Following Economist, MP, Minister for Finance, Tanzania @mofurt | Proud father | Shaping policies for a prosperous future #Economics #LeadershipDaktari Wa Manesi �.. @McinikaWaLamar
757K Followers 2K Following Social Media GURU | Thinker Tank | Content CreatorPaul Christian Makond.. @makonda_paul
28K Followers 17 Following Politician,Former Dar Es Salaam Regional Commissioner #CCMDieHardMember #BabaKeagan #FamilyMan. Dar es Salaam, TanzaniaShaffih Dauda @shaffihdauda1
893K Followers 923 Following Head of Programs at @CloudsMediaLive | Sports Analyst at CLOUDSFM Radio and CLOUDS TV | Tweets are my ownJada Pinkett Smith @jadapsmith
1.6M Followers 220 Following No matter where we may be on our journey, we are all…Worthy. Reserve your copy of my memoir here 👇🏽Samia Suluhu @SuluhuSamia
1.6M Followers 27 Following Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of TanzaniaGodbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherClouds Media @CloudsMediaLive
1.6M Followers 44 Following A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.Hussein M Bashe @HusseinBashe
542K Followers 351 Following Minister, Ministry for Agriculture | MP - Nzega Urban Constituency | Farmer | Politician #TanzaniaKwanzaChama Cha Mapinduzi @ccm_tanzania
860K Followers 9 Following Chama Cha Mapinduzi (CCM) - #Tanzania's governing party, founded on 5th February 1977. Membership: 15 million | https://t.co/KzE7LiVgt9Dr. Hamisi Kigwangall.. @HKigwangalla
1.2M Followers 661 Following #HK is a Member of Parliament for Nzega Rural. Former Minister for Natural Resources and Tourism. Former Deputy Minister for Health. Former Chair, TAMISEMI.Mzawa Blog Tz @mzawablog
103K Followers 4K Following | Ukurasa rasmi wa X wa Mzawa Online | The Official X account of Mzawa Online | #NewsWithUs🌍 | #SisiNaHabari | Time: 24hrs🎙️Joachim Mabula @JoachimMabula
355K Followers 36K Following Gender & Sexuality Fellow @UCL | Former Swahili Content Manager @AdaHealth | Former Clinical Research Fellow @BarrowNeuro | Advisory Board Member @YouthCNTDsBBC News Swahili @bbcswahili
1.8M Followers 239 Following Huu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: https://t.co/ZZJDhvaNyo. Instagram: https://t.co/LqmfEIlht3. YouTube: https://t.co/mv5T3KheUN.Masoud Kipanya @masoudkipanya
2.0M Followers 74K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - CEO/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - IndustrialistZitto MwamiRuyagwa Ka.. @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWoteLazaro Nyalandu @LazaroNyalandu
581K Followers 62 Following Former Minister for Natural Resources and Tourim, #Tanzania.#NIPENI_MAUA_YANGU�.. @Roma_Mkatoliki
1.1M Followers 149 Following Rapper/Songwriter/Best Hip Hop Artist 2012 and Best Hip Hop Song(MATHEMATICS)2012, ACTIVIST🎤millardayo @millardayo
2.7M Followers 489 Following Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]Huwezi kua na kila mwanamke, ridhika na uliye naye.
Kuna wadada wana dharau,kashika kitambi changu kanambia et mtoto anacheza😂😂
@HOMESTUDIO8 @hpolepole @uvccm_tz @tanpol Nimesikitishwa na comments za ubaguzi za "sisi na wao" sijazipenda na ninazilaani vikali. Watu wanamna hii hawapashwi kupuuzwa, kwasababu wanachochea uvunjifu wa amani katika nchi. Na inawezekana si Watanzania au wanatumiwa na watu wa nje kuvuruga amani ya nchi yetu.
@zittokabwe Bunge bila WAPINZANI taka taka kama wew @zittokabwe inawezekana kabisa. CCM itashinda ushindi wa kishindo katika historia ya vyama vingi. Huku Mwanza upinzani hawatopata hata diwani mmoja, Chaguzi wa 2015 jimbo la Nyamagana lenye Kata 18 lilikuwa na madiwani 16 wa CCM na 2 wa CDM
@JamiiForums @Kiganyi_ Ifike mahala Watanzania tukemee ujinga huu yani mtu kakusanya sahii za wadhamin na chama kikampitisha, tume ikampitisha halafu leo wanasema tarehe 3 fyoko fyoko
Wizi pesa za kampeni wanachama Chadema kuandamana Na Mwandishi Maalum Hali ya sintofahamu imeendelea kukikumba Chama Cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA baada ya tukio la uchotwaji pesa za michango ya kampeni zitokanazo na miamala ya simu zipatazo milioni hamsini
😂😂😂😂 Kitaalamu hizi zinaitwa Njozi za mchana
Happy birthday to me Asante mungu kwa kunipa kibali cha kuongeza mwaka mwingine
@zittokabwe Waha hawakutaki tena mzee, Umewadanganya sana #MitanoYaUshindi x.com/abdulazackabdu…
Mfanyabiashara wa kiume anapokutana na mfanyabiashara wa kike gangwe na kuamua kumfanyia fitna bila kufanikiwa. Rock City show itafanyika Parking Area na wala haijaahirishwa kama mwenyeji anavyosambaza uzushi 18 September 2020. #Jide20
"Tumeleta bilioni 567 na hii ni katika miradi ya Barabara tuu,kwahiyo katika kipindi kifupi kijacho kigoma hakuta kuwa na shida ya usafiri, Nilipoteuliwa kuwa Rais,nilisema siwezi kuuacha Mkoa wa Kigoma uwe nyuma na ndio mana tumejenga barabara” @MagufuliJP #2020naMagufuli
DKT. MAGUFULI: "BILIONI 567 KUJENGA BARABARA KIGOMA" Mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli, amesema Serikali ya chama hicho imeutengea mkoa wa Kigoma kiasi cha shilingi bilioni 567 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya Barabara.
DODOMA 👉Tuliumbuka! Alijaza Watu Kibao GEITA👉 Tuliumbuka! Alijaza watu kibao KAGERA 👉Tumeumbuka! Kajaza watu kibao KIGOMA 👉 Tumeumbuka! Kajaza watu kibao Tushauliane sasa kituo gani kingine tuendelee kubana maana huyu mzee hatari sana? 😀😀 @ChademaTz @ClubMagufuli
Millard Ayo (Ayo Tv) ameweka rekodi ya kua mwandishi wa habari lakini pia Chombo cha habari cha kwanza kwa Afrika kufikisha watazamaji bilioni 01 tangu YouTube ianze kufanya kazi rasmi mwaka 2005. #Fahamuzaidi
MUNGU ANAWEZA "Kuna watu walisema watu Milioni 4 watakufa kwa Corona hapa Tanzania, lakini sasa wanaona aibu na wengine mnawajua, muwaambie Mungu wetu anaweza" - Rais m Magufuli #MitanoYaKazi #MitanoYaUshindi #JPMKigoma
“Basi subiri. Hakika ahadi ya Mwenyezi Mungu ni kweli. Na omba msamaha kwa dhambi zako, na umtakase Mola wako Mlezi kwa kumhimidi jioni na asubuhi.” — Quran (Al-Ghaafir 40:55)
"Wakati tunamtanguliza Mungu katika janga la Corona wengine walitubeza na kusema ni ugonjwa wa kisayansi hivyo kumtemgea Mungu ni makosa na tujiandae watu milioni 4 kufarik, Mungu alitusikia Corona imeondoka, nina imani waliosema hivyo sasa wamejua ukubwa wa Mungu"@MagufuliJP
"Wakati tunamtanguliza Mungu katika janga la Corona wengine walitubeza na kusema ni ugonjwa wa kisayansi hivyo kumtemgea Mungu ni makosa na tujiandae watu milioni 4 kufarik, Mungu alitusikia Corona imeondoka, nina imani waliosema hivyo sasa wamejua ukubwa wa Mungu"@MagufuliJP