Falsafa01 @Falsafa01
Upper West, Ghana Joined November 2022-
Tweets20
-
Followers629
-
Following97
-
Likes0
G.LEMA Ulienda Dodoma kufuatilia passport yako-UKANYIMWA Ukaenda Dar kuonana na Abdul msikiti mmoja uliopo Ukonga.Aliagiza urejeshewe passport kwa masharti kadhaa. Pia Ulipokea gari aina ya Fortuna pia. Uliuambia umma umepokwa passport, haujasema kurejeshewa na upo zako CANADA
‼️BREAKING NEWS‼️ 🚨‼️UJUMBE KUTOKA TUNDU LISSU‼️🚨 “Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa Samia, na kwasababu hiyo ni Jaji wa CCM na anafanya kazi ya CCM. Jaji Mwanga alikuwa kwenye Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) ya Jecha Salimu Jecha ambayo ilifuta uchaguzi wa Zanzibar wa 2015. Jaji wa namna hii tutatarajia aipende CHADEMA inayosema No reforms No election????? Maamuzi yake yanathibitisha kauli yangu kwamba Majaji wengi ni Ma-CCM na wanafanya maamuzi kuipendeza CCM na yule anaeweza kuwapandisha madaraja kwenda Mahakama ya Rufani. Kuhusu kuzuia shughuli za Chama; Chama ni wanachama, sio majengo, hata kama majengo ni muhimu lakini chama ni wanachama na wanachama waendelee na mapambano katika majukwaa yote yanayopatikana hasa katika mitandao ya kijamii isipokuwa katika jengo la Makao Makuu. Wanachama wakumbuke historia ya mapambano ya aina hii. Chama cha ANC kilipigwa marufuku na serikali ya makaburu kwa miaka 30, viongozi wake wakuu ama walifungwa maisha Robben Island kama Mandela na wenzake au walikimbilia uhamishoni kama Oliver Tambo, Thabo Mbeki na wengine. Hayo yote hayakuzima mapambano ya ukombozi kuendelea na hayakuiua ANC. Uamuzi wa Jaji Hamidu Mwanga hautazuia mapambano kuendelea wala kuiua CHADEMA. ALUTA CONTINUA.” #NoReformsNoElection #TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Ujumbe kutoka gerezani wa Mh. @TunduALissu Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa Samia, na kwasababu hiyo ni Jaji wa CCM na anafanya kazi ya CCM. Jaji Mwanga alikuwa kwenye Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) ya Jecha Salimu Jecha ambayo ilifuta uchaguzi wa Zanzibar wa 2015. Jaji wa namna hii tutatarajia aipende CHADEMA inayosema No reforms No election????? Maamuzi yake yanathibitisha kauli yangu kwamba Majaji wengi ni Ma-CCM na wanafanya maamuzi kuipendeza CCM na yule anaeweza kuwapandisha madaraja kwenda Mahakama ya Rufani. Kuhusu kuzuia shughuli za Chama; Chama ni wanachama, sio majengo, hata kama majengo ni muhimu lakini chama ni wanachama na wanachama waendelee na mapambano katika majukwaa yote yanayopatikana hasa katika mitandao ya kijamii isipokuwa katika jengo la Makao Makuu. Wanachama wakumbuke historia ya mapambano ya aina hii. Chama cha ANC kilipigwa marufuku na serikali ya makaburu kwa miaka 30, viongozi wake wakuu ama walifungwa maisha Robben Island kama Mandela na wenzake au walikimbilia uhamishoni kama Oliver Tambo, Thabo Mbeki na wengine. Hayo yote hayakuzima mapambano ya ukombozi kuendelea na hayakuiua ANC. Uamuzi wa Jaji Hamidu Mwanga hautazuia mapambano kuendelea wala kuiua CHADEMA. ALUTA CONTINUA -Admin
Huu mradi ni kwaajili ya kupambana na @ChademaTZ2 na ndio maana kapewa MZANZIBARI @salumu . Mpango huu utatekelezwa Tanganyika zaidi, hakuna ratiba ya kwenda Zanzibar. Awamu ya kwanza ya bajeti yao ni 600M.
@JonMrema Kaiba account ya YouTube ila hajafanikiwa kuiba Viewers. Pumbafu.
Mzee @JonMrema hizi za Tabora Mjini mbona huonyeshi?
Muendelezo wa Operation *C4C* LOYA ,Wilaya ya Uyui Jimbo la Igalula leo tarehe 11 Juni,2025 *#TunaendelezaTulipoishia* *#CHAUMMA4Change*
Mrema acha uongo. 1. Serikali imepunguza ufadhili wake kwa CHAUMMA kwasababu mradi haujawa na mafanikio siku za awali. 2. Kwasababu za Kibajeti mmewapunguza kwenye msafara baadhi ya wajumbe wa Sekretarieti, baadhi wamepanda mabasi leo kurejea makwao.
Taarifa kwa Umma :Ratiba ya Mikutano ya Hadhara ya CHAUMMA yasogezwa mbele ili kutoa nafasi ya Vikao vya tathimini na kupisha sherehe za Idd.
Msikilize KIGAILA anavyodanganya watu kuhusu CHAUMMA.
Unaitambua hii? . Mnatoa wapi fedha kwaajili ya Rushwa hizi kwa jina la chakula na nauli?
PRESS CONFERENCE . Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Benson Kigaila atafanya mkutano na waandishi wa habari kesho Alhamisi tarehe 29 Mei,2025. Eneo: GG Hotel ,Mwanza (Minazi Mirefu) Muda: Saa tano kamili asubuhi Waandishi wote mnakaribishwa.
@JohnMrema mnapata wapi fedha kwaajili ya Rushwa?
Huu ni ushenzi @SuluhuSamia @DrTaxs Mnataka kujustify mambo kama haya kufanywa na vyombo vya Dola kwa mwanamke mwenzenu? Hakuna kosa linalojustify hiki! Hii ni crimes against humanity Torture, illegal detention - someni Rome Statute Mngekuwa hata na chembe cha utu na kulaani mngeeleweka duniani Ila #TutaelewanaTu
Ikumbukwe kwamba huyu ni Mke wa Katibu Mkuu wa CHAUMMA. Cc @Sativa255
Mbunge Matiko apendekeza Gen-Z wa Kenya Wakamatwe "Udhalilishaji mtandaoni unafanywa na hao watu wa nje tunasema, lakini zinasambazwa na kwenye mitandao ya Kitanzania, tuko wapi? Kwa nini tunaruhusu hii? Ni udhalilishaji na unaweza kuona kwamba ni udhalilishaji kwa sababu Mama,
Frank Malaki & Eng.Issa Matimbwa, hawa ndio watu wa idara ambao ni mawakala wa fedha za Abdul kwaajili ya mradi /project ya kuua CHADEMA na kukuza Chama fake cha Upinzani;CHAUMMA CHADEMA inapaswa kuwa na Mkakati wa kuwakabili hawa watu. Kila unapokuepo Mkutano wa CDM na wao wapo
Tomorrow ✊🏽 #OsloFF2025 This will be my view 🔥 Mungu anisimamie niseme kwa ujasiri yote
Social media accounts ni moja ya vitu ulivyopaswa kukabidhi baada ya utumishi wako kukoma ndani ya CHADEMA. Maafisa wote unaowataja walikua chini yako. Ikiwa hukuwa na taarifa za namna account hizi zilivyofunguliwa basi ulikua Mkurugenzi dhaifu sana.
John Heche anapaswa kuwa mkweli kuhusu Akaunti za Chama chao ,anasema kuwa mimi nimeondoka na Akaunti za Chama za Tweeter na Youtube channel za chama ; Taarifa hizo ni uongo na upotoshaji wa makusudi ili kunichafua ,naomba kueleza yafuatayo; 1. Akaunti ya Tweeter ya Chadema
Ni Kwanini mpaka sasa hakuna Press yoyote kutoka Zanzibar kwa Salumu Mwalimu?
@fbuyobe Mwabie @JonMrema arejeshe account ya Twitter ya @ChademaTz
Kwahiyo mlikua mnapanga Mipango na Bon Yai Mkiamini itakua salama kwenu.
Hawa ndugu zetu baadhi wanashida sana wengine Public wanajifanya wako pamoja na uongozi wa sasa ila huko sirini wanatuua kinoma noma. Mmoja ni Kiongozi wa Chama mkubwa tu kashirikishwa kupanga mipango ya kuhakikisha watu wanafika Mahakamani April 24 kwenye kesi ya Mhe. Lissu
Fridah J @fridah_j
7 Followers 60 Following
Estel Armstrong-Gleas... @EstelGleas72186
65 Followers 3K Following
Unstoppable_news @unstoppablemanG
172 Followers 1K Following HABARI /MICHEZO/SIASA/ELIMU/DINI Yote utapata hapa katika chanel yetu unstoppable _news follow account zetu Instagram, Tweeter, TikTok, Facebook, YouTube n.k
Ivo Massawe @massawe64066
3 Followers 192 Following
JAHN @JAHN12359249912
30 Followers 671 Following
Said Sancho @SaidSancho4
22 Followers 286 Following
Chrismgaza @chrismgaza
136 Followers 2K Following
Frank Njiku @Njiku01
8 Followers 178 Following
Elijah Alfred @EAA_PhD
25 Followers 568 Following
Jack wei @JackWei66810
307 Followers 2K Following
dul @ki63551
5 Followers 171 Following
Zacharia Fita @FitaZachar93025
15 Followers 212 Following
Ngelela Charles @NgelelaCha52774
33 Followers 791 Following
Sadick Zilinde @SadickZili23941
5 Followers 215 Following
DAUDI MENGORU @DaudiMengo38921
18 Followers 177 Following
kwame Nkrumah @ngatunga6
62 Followers 339 Following
Albert estern @EsternAlbert
24 Followers 515 Following
tember prosper @ProsperTem66741
184 Followers 3K Following
John Nunda @JohnNunda129244
5 Followers 167 Following
Fadhili Skipper @SkipperFadhili
294 Followers 3K Following
Happyness David @DavidHapp22825
2 Followers 52 Following
Deudedit John @mbesse_
10 Followers 393 Following
Martin Kanangu @kanangu_martin
237 Followers 926 Following
Mape Marushwa @MapeMarush44606
43 Followers 357 Following
Joseph Ndege @JosephNdeg75580
29 Followers 682 Following
🅴🅳🅳🅾 𝒈... @eddo_stemcell
669 Followers 7K Following
David Bugozi @TvDebm65065
94 Followers 1K Following Mimi ni mwanachama wa Chadema na nitabaki kuwa mwanachadema
Yusuph Ahmed @ahmed_yusu35292
10 Followers 390 Following
on list @CheyoGetu
25 Followers 473 Following
Luqmaan Athuman @luq68173
7 Followers 252 Following
frank emmanuel @FEmmanuel44598
5 Followers 258 Following
Mwanamasinga @mwanamasin68644
31 Followers 723 Following
HALFAN SAID @HALFANSAID89011
279 Followers 3K Following
Mussa Njarita @MNjarita7464
932 Followers 7K Following
emanuel aweda @emanuel_aweda
148 Followers 2K Following
dunia @duniamapito154
76 Followers 620 Following
Chuwa (KC) @chuwakelvine
43 Followers 1K Following Future Tanzania Leader 🇹🇿 |C.E.O TAYEDO| Researcher | Leadership & Politics Enthusiast | Champion for Youth Empowerment|
Julius Joseph @julius25811
16 Followers 317 Following
Mange Kimambi 🇹�... @mangekimambi
446K Followers 90 Following DADA WA TAIFA (ACTIVIST) Scroll to Nov 1 2025 for videos of TANZANIA’s ELECTION MASSACRE. Download Mange Kimambi app to support my work.WhatsApp +1 424-537-3057
MASSAY, Elifuraha Jos... @Elifuraha_JM
849 Followers 4K Following Haki sio itendeke bali ionekane ikitendeka
YUSUPH ✌️ @YusuphBonito1
4K Followers 4K Following BEING SOMEONE YOU DREAMED #TANZANIA, DEMOCRATIC VIEWS, AND OPINIONS Lifestyle❤️✌️ 🐐
SIR TIVA @Sativa255
188K Followers 3K Following Survivor of Head Bullet 27.06.2024 | Human rights defender | PYALA PYALA.
NTOBI @Ntobi_
80K Followers 3K Following Concerned Citizen || Ngokolo Ward Councilor 2015-2020 || Banker ||Waziri Kivuli Maliasili, Utallii, Utamaduni na Michezo @ACTWazalendo
Sauti Ya Watanzania @SautiWatanzania
6K Followers 529 Following Sauti ya Watanzania is “the voice of Tanzanians” advocating for justice, reform, and national dignity.
Nice Gisunte @Nice_Gisunte
10K Followers 225 Following Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Ilala I Mweka Hazina Bavicha Taifa 2019 - 2024 | Diwani Kata ya Kitunda 2015 - 2020.
Bob Chacha Wangwe @BobWangwe
36K Followers 684 Following 🇹🇿Lawyer|Human Rights Activist|Agent of change|Ambivert||
Mkulima wa Kahawa @ItsTemba
13K Followers 2K Following Professional Real Estate Consultant | Full Registered Valuer | Mseminari |Mpiganaji Duniani&Mwandaa Makao mema Mbinguni |Ardhi University X-President
Baba Mwita @BabaMwita
72K Followers 5K Following Husband | Father | Lawyer | Human Rights Activist | Democracy | Rule of Law | A People's Servant | Cambridge Alumni
Sarah William Bonyo @Sarabonyo
3K Followers 432 Following Politics Mwenyekiti wa Kamati ya Chadema Ni Msingi Kanda ya Serengeti. Katibu Chadema jimbo la kahama ,Mjasiliamali,Mpambaji wa shughuli za Harusi na Sherehe
Mdude Nyagali @mdudenyagali
158K Followers 388 Following Political Activist in Tanzania focusing on Civil Rights and Good Governance. 🇹🇿. #Author- #FiveYearsOfPain. - To buy my Book, please click the link below.
Steven Moses @MosesSteven13
273 Followers 201 Following katibu Chadema Jimbo la Mafinga Mjini (politician) Human rights activist/Mfungwa wa kisiasa wa kesi No:206/2019 (Sumbawanga). survival to tell the tale
Ayie Tag @TagAyie
2K Followers 427 Following
Daniel kalonga @Danielkalonga8
163 Followers 514 Following
C Mbecha @CMbecha
6K Followers 6K Following
DouglasMboya. @DouglasMboya3
23K Followers 24K Following Tunauza vifaa vyote vya ujenzi tunapatikana Arusha mtaa wa sabena simu 0755-868931 pia tunauza viwanja kwa ajili ya ujenzi na mashamba maeneo yote Arusha na Dar
Kitoi Leena🇧🇷 @kitoileena
2K Followers 2K Following
Idrisa Kassim Rubibi @Rubibi_idrisa
10K Followers 4K Following Secretary of the CHADEMA Training Committee for the Western Zone | Mwalimu (Bachelor Degree of Education in History and English Language-MNMA).
Barnaba Mwandenuka @BSMwandenuka
11K Followers 2K Following 👉 MJUMBE WA BARAZA KUU CHADEMA TAIFA - (2025-2030) #Mbeya_Kyela
Associate CPA Catheri... @CatherineRuge
163K Followers 3K Following UN -empower women champion for change.. Former Member of Parliament of URT of Tanzania 2017-2020, Human Rights Activist, Proudly Mother of two boys 🧒
Shija S.S.Shibeshi @ShijaShibeshi
6K Followers 1K Following Secretary of CHADEMA, Southern Zone🇹🇿 (Lindi,Mtwara & Ruvuma)
Hamadi.Mbeyale🔥�... @hamadimbeyale
6K Followers 82 Following KATIBU WA CHADEMA MKOA WA MBEYA 2024 & 2029. #Mwanaharakati wa upinzani #Katiba mpya ni sasa #Aluta continue...
Namdi Azikiwe.🇹�... @NamdiAzikiwe
76K Followers 26K Following ©Tanzanian©Volunteer© Entrepreneur©Critic©Truth©Activist©Social justice©Human rights matter© SautiZetu|UhaiWetu|GodsWithGoal|Team it's possible With100%
Ezekia Wenje @EzekiaWenje
5K Followers 230 Following Ezekia Wenje, is former member of Parliament of the United Republic of Tanzania. former Banker and country business manager at Nation Media group Tz office.
CHADEMA Jimbo la Hai @ChademaHai
13K Followers 1 Following Official Account For Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Hai Constituency. #HaiKwenyeRamani #SeraZaChadema
KAUNYA YOHANA @YohanaKaunya
16K Followers 2K Following KATIBU CHADEMA KANDA YA KASKAZINI (MIKOA YA TANGA, KILIMANJARO, MANYARA NA ARUSHA) KESI NO 21/2026. KAIMU KATIBU MKUU (BAVICHA) TAIFA MSITAFU 2021/2025.
LYENDA @IamLyenda
43K Followers 378 Following • Mkuu Idara ya Habari - Chadema • Katibu wa Mgombea Makamu wa Rais Chadema Uchaguzi Mkuu 2020
Elisha Chonya @drChonya
1K Followers 1K Following Bavicha Mbeya Regional Chairman 2024-29, CHASO- Regional Coordinator Mbeya, 2022/23. Activist, Human Right Defender and Entrepreneur.
amina kanyama @kanyama_amina
26 Followers 148 Following Nawatakia kheri ya mfungo wa Ramadhan waislam wote Nchi
Mhere mwita @MhereMwita_
12K Followers 3K Following HUMAN RIGHT DEFENDER: POLITICAL ANALYST: PUBLIC ADMINISTRATOR:
Shomari Omary Shomari... @shomari_omary
1K Followers 5K Following Jobless, | Nothing to lose | activist | Arsenal & yanga fan| Economist, leadership skills, environmental issue, Humanitarian experty|
Peter Msigwa @MsigwaPeter
25K Followers 257 Following Pastor | Former Member of parliament-iringa constituency 2010 -2020 | Former Shadow Minster for Natural Resource and Tourism 🇹🇿
Ayubu Sikagonamo/ fre... @ASikagonamo
4K Followers 2K Following Diwani 2015-2020 kata ya Chipaka Halmashauri ya mji wa Tunduma. m/kiti Bavicha mkoa wa Songwe.
Lembrus Mchome @LembrusMchome
24K Followers 918 Following Mwenyekiti Mstaafu Bavicha (M) kilimanjaro Mratibu msaidizi mkoa wa Arusha. Mtetezi na mpenda Haki
Chadema Kanda ya Sere... @ChademaSerenget
36K Followers 387 Following Mara, Shinyanga and Simiyu are the regions forming CHADEMA Serengeti Zone. The account will provide all the informations, events and activities of CHADEMA.
Home Office @ukhomeoffice
1.1M Followers 505 Following We are the lead UK government department for immigration & passports, crime & policing, homeland security and protecting vulnerable people.
lizzy Mambosho @EbenyElizabeth
15 Followers 38 Following
Mfanyakazi Online Med... @MfanyakaziNews
462K Followers 0 Following UKWELI NA UWAZI : : [email protected]
Thadei Mhabuka @mhabukat
64K Followers 70K Following Hata ukisema ukweli watakuona mbaya wapate sababu yakukudhuru.
International Republi... @IRIglobal
50K Followers 6K Following Advancing democracy and freedom worldwide.























