Wilbert @SyntaxError01_
Calm & Composed United Kingdom Joined July 2018-
Tweets13K
-
Followers2K
-
Following2K
-
Likes44K
@s_sophagi Wewe unae mabadiliko gani hapo ulipo?
@barakawamb Hama tu kama vipi, mbona hili jambo ni dogo sana.
@esteramosbulaya Bulaya, umejaribu kulifikisha kwenye vikao vyenu vya ndani mkashindwa kufikia muafaka? Huku kelele hatutaki.
@cleansheet_1 Unatuletea habari za mwaka juzi hapa.🤣🤣
@mTusiOriginal Halafu si alisema yeye ni Msoja,
@Kabweta24 Mmh!! Ndani kwa marehemu tajiri hakuna taa? Au wazimbabwe huwa wanaomboleza kwenye mwanga hafifu.
@MkaraFrank @Sincerelyrahma7 Ni mtaalam wa masuala ya usalama na diplomasia🤣🤣
@Samalentips Au tukuokotee mawe, Umeshafungua kesi polisi, ila upo humu unatangaza, sisi sio wajinga bhana.
@FredNshemereirw @mkainerugaba The oath he took was to protect the citizens not to kill them! Are you mad?
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, ameibua mjadala kuhusu suala la watu kupotea nchini, akihoji uhusiano kati ya kauli za viongozi wa Serikali na matukio yanayodaiwa kutokea ya watu kupotea au kupotezwa. Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Askofu Bagonza amesema Serikali imekuwa ikijitahidi kujibu tuhuma za watu kupotea au kupotezwa, huku akidai kuwa tume zilizowahi kuundwa kuchunguza suala hilo zimeishia kutoa maelezo ambayo, kwa mtazamo wake, hayajamaliza hofu iliyopo katika jamii. Amehoji pia kauli zinazotolewa na baadhi ya viongozi wa Serikali, akisema Serikali inapokana kuhusika na upotevu wa watu wakati kuna kauli za viongozi zinazotafsiriwa kama vitisho vya kuwachukulia hatua watu wasiokubaliana au kutosikiliza maelekezo ya Serikali. “Je waliopotea wote hawakuisikiliza Serikali? Je kuna mpaka wa wazi kati ya Serikali na kiongozi?” amehoji Askofu Bagonza, akieleza kuwa suala hilo limeacha taifa likiwa na hofu na hata watu wanaodhaniwa kuhusika katika kupoteza wengine nao wanaishi kwa hofu. Kauli hiyo imekuja wakati Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ikitoa ufafanuzi kuhusu video inayosambaa mitandaoni ikimnukuu Mkuu wa Mkoa huo, Albert Chalamila, kuhusu madereva. Ofisi hiyo imesema video iliyosambazwa imekatwa na kuishia katika sehemu ya kauli, hivyo kutoa tafsiri isiyokamilika ya ujumbe uliotolewa. Kwa mujibu wa ufafanuzi huo, katika video kamili Chalamila alitoa maelekezo na onyo kwa madereva kuhusu wajibu wa kufuata taratibu na maelekezo halali ya mamlaka, hususan katika maeneo ya stendi. Alisisitiza kuwa dereva anawajibika wakati wa kuendesha gari na kwamba kutii maelekezo ya mwajiri au tajiri kinyume na taratibu hakuondoi wajibu wake wa kisheria. Ofisi hiyo imewataka wananchi na watumiaji wa mitandao ya kijamii kuzingatia video na taarifa kamili kabla ya kutoa tafsiri au hitimisho kuhusu kauli za viongozi, ikisema kusambaza vipande vya video bila muktadha kunaweza kusababisha upotoshaji. Akihitimisha ujumbe wake, Askofu Bagonza amesema hapendi migomo wala kunyima watu haki ya kugoma, lakini pia amesema hapendi ubabe.
Our beloved Mwalimu Julius Kambarage Nyerere is turning in his grave at how low and despicable the leadership of the once indomitable Tanzania has fallen. #RestInPowerMwalimuNyerere
It is with great sorrow that I mourn the passing of Zimbabwean businessman Mr Wicknell Chivayo, his beloved wife, and three other people who tragically lost their lives in a helicopter crash in Marondera. Zimbabwe and Africa have lost a young and visionary entrepreneur who
Nguo za marehemu apewe mlawa 😂
What a great honour and privilege for my wife and I to meet the highly respected Apostle Joshua Selman at the House of Treasures Church Conference, under the leadership of Apostle Felix Okoh. 🙏🙏🙏 I was truly blessed by Apostle Selman’s profound teachings, wisdom and
Hili ni Ganda la Risasi lililotumika jana kushoot raia katika maandamano Risasi hii imetengenezewa zimbabwe mwaka 2010 cha ajabu jana imetumika katika maandamano kwaajili ya kupiga raia?
@HildaNewton21 Kama Lissu atanyongwa kwa hizi hoja, Basi we are doomed as a nation.
NINAWASHUKURU sana wote mlionitumia salamu za pongezi. Hadi naogopa sasa. Lakini yote kwa yote nawashukuru sana, sana. Tuishi na tufurahie kuona wengine wakiishi. Mbarikiwe. Uchokozi huu ulianzia kwa @bwaya akaupokea kuhani wetu @MayengoDr na sasa unaelekea kwa @Ufafanuzi na @mathewmndeme Hapa kazi inazidi kuwa ngumu 🤣 lakini tuta-revenge tu.
@HildaNewton21 Hivi wenzangu mnamuelewa Afusa wa sheria anaetuwakilisha sisi Jamhuri? Au mimi ndo sina akili😂😂
The mandevu @ze_mandevu
444K Followers 10K Following || Arsenal ||Content Creator || Compatriot ||Activist ||
MR BEN @Eric__Bernard
453K Followers 5K Following Proud To Be Tanzanian, TANZANIA KWANZA, Retweets Are Not Endorsements, Mjuzi wa Mawasiliano ya kimkakati, Mwananchi na Mporipori.
Mr fixed @SALAWUDEEN95265
2K Followers 7K Following Mr sure tip only serious are needed if you can stake with 20k upward dm 07078291125 no doubt 💯🔥
@FORD__TACTICS @MkaraFrank
3K Followers 4K Following FMM |HAKI DAIMA HUSHINDA|||HUMAN RIGHTS ACTIVIST|||🛑 GGMU||CDM. #Katibampya #TanganyikaLivesMatter #ChangeTanzania
mr booming @MWinning65407
554 Followers 2K Following only serious are needed dm me if can stake with 20k upward 07053814871 stop doubt na winning game it 💯 percent legit sure odd
Farah Omar @FarahOm91196252
2K Followers 5K Following
Le Grandee Chokoraaa @DeusGilman
170 Followers 481 Following
Mr fixed match odd @Trokeeb2Moon
1K Followers 7K Following
みなとチケット... @Minato_Tix
9K Followers 6K Following 🎫 コンサート・ライブ・イベントのチケット案内 🇯🇵 K-POP・J-POP・アジア公演対応 💎 良席・人気公演のチケット取扱い 📩 ご希望の公演・座席・枚数・ご予算をDMください 迅速・丁寧に対応いたします。
Vibra wiggle @VibraW93275
2K Followers 7K Following We will rock you.😍It's hard to sing really well when you're playing an instrument.🎶❤
Austin @seveaugustus
434 Followers 3K Following
Adv Ticketing 🐰 @Adv_innocent
10K Followers 9K Following 24/7 Ticketing services KPOP Concerts Htb+tpa🦋 Onsite Assistance Services. Fast and Guaranteed🩵 Testimonies and proofs👇👇👇
chief @nyakyusaboy
3K Followers 4K Following arsenal fan,certified innovator and spreading love n money.🚶🏿
Singida finest💪�... @Singidafinest
2K Followers 5K Following
Gudlack Mallya🇹�... @gudlack4
60 Followers 424 Following
PEE RON MAN TIPS @terresa_grey
749 Followers 2K Following
Mrexperience360 @mrexperien60831
10 Followers 95 Following
Aslomie @Aslomie0349
33 Followers 518 Following
Bandiho Electronics @BandihoElectron
2K Followers 5K Following ✨ Quality • Genuine Products • Affordable Prices 📦 Retail & Wholesale | 🚚 Delivery Available
Mwinshehe 🕊️ @Mwinshehe07
15K Followers 9K Following Member @ChademaTz2 My lawyer @TitoMagoti CERTIFIED JOBLESS|MCHANGIA MAADA MTAMBUKA
Eastzoo @Waeastzoo
1K Followers 976 Following
Lee Bang Ji @FurahaMpan41278
12 Followers 111 Following bachellor science in chemistry and biology father of nuclear family , professional in chemistry ,passed in different institution as teacher in Russia and north
Patsy Bergstrom @BergstromP63849
118 Followers 3K Following
YUNDE ANTHONY. M @YundeAnthony
84 Followers 714 Following
Musa D.Njoghomi @MusaNjoghomi
4K Followers 3K Following CO-Founder at @RefreshAfrica_ |Professional Teacher|Social media Influencer|Human right ambassador|Socio-Political Analyst| & |Pan-Africanist|
Beauty of the Catholi... @advoluntas
57K Followers 51K Following Christus vincit! Christus regnat! Christus imperat! Sáncte Míchael Archángele, defénde nos in proélio.
Hessessl @Hessesslr_H
65 Followers 3K Following
Miz-zanny @MizSenior
2K Followers 7K Following #CEO MIZ~ZANNY CLASSIC JERSEY👕 @chelseaFC 🏴 @Atleti AtleticoDèMadrid🇪🇸 GOD FIRST🙏
GIFT WILLIAM🇹🇿 @GiftWilliam_
13K Followers 10K Following Son of Africa | Proud Tanzanian🇹🇿 | Educationist. #BeatitudoEstOmnia.
Tyrique Smitham @TSmitham36485
112 Followers 3K Following
Isack Paschal @isack_paschal20
5 Followers 109 Following
salvatory @salvatory133250
93 Followers 1K Following
Mashaka Sakolo @xhack_04
5 Followers 99 Following
Man_destiny @HansKongok2625
3 Followers 41 Following
MWANALUNYASI 🇿🇦... @FrankDeogr91225
1K Followers 7K Following
Martin Maranja Masese @IAMartin_
613K Followers 1K Following MMM | Sperm That Won The Race | Cogito, ergo Sum | Patria o Muerte, Venceremos |
George Ambangile @George_Ambangil
937K Followers 1K Following GeorgeAmbangile|FootballAnalyst|Supersport commentator
Spana & V.A.R Movemen... @spana_Konki
383K Followers 1K Following Spana Wolfgang Konki| Certified Spanaz & V.A.R 🔧 Spana Headquarters🏢. Spana & V.A.R Compilation. Ni-Tag penye Spana/V.A.R. JUMUIYA YA WAPIGA SPANA
Hilda Newton @HildaNewton21
960K Followers 2K Following Journalist/Activist/President Of Tanzania 2045
Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.3M Followers 1K Following Politician/Activist/Member @Chadematz Member of Central Committee , Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and Father
Mohammed Dewji MO @moodewji
2.3M Followers 129 Following Pan-African Entrepreneur, President @MeTL_Group & @SimbaSCTanzania, Philanthropist @DewjiFoundation, Georgetown Alumni #Hoya
Clatous Chota Chama @ClatousCC
773K Followers 56 Following 🇿🇲 Zambia Soccer National Team Player ⚽Attacking midfielder
Lubasha Jr @MarekaMalili
681K Followers 2K Following |Digital Consultant | |Baba Maggie & Gian& Gio |Youth Development| |Parenting| |Financial Literacy| |#ManU #LBJLoyalKnight|
Masoud Kipanya @masoudkipanya
2.1M Followers 72K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - President/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - Industrialist
Boniface Jacob @ExMayorUbungo
585K Followers 9K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal Council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov. Ubungo councilor 2010-2020 BAEd Udsm CHADEMA CC MEMBER
Micky Jnr @MickyJnr__
332K Followers 83 Following Leading African Football Journalist || Here The Right News Only ©️🤝
Maria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.4M Followers 10K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,
Samia Suluhu @SuluhuSamia
1.8M Followers 29 Following Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of Tanzania
Clouds Media @CloudsMediaLive
1.9M Followers 43 Following A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.
The mandevu @ze_mandevu
444K Followers 10K Following || Arsenal ||Content Creator || Compatriot ||Activist ||
BENTIL @Bentil00
53K Followers 536 Following • ||Sports betting tipster🥂🎉|| @RealMADRID🤍|| • DM FOR ADS & PROMOS📤•• || No Revenue Share || Telegram Channel 👉 https://t.co/f16DtWDZDz
30 🟢 @30Billionnnn
49K Followers 18 Following 30/30 in all sports 30 games boom or 30m boom Pure Analysis Focusing more on Winning Money must be made
@FORD__TACTICS @MkaraFrank
3K Followers 4K Following FMM |HAKI DAIMA HUSHINDA|||HUMAN RIGHTS ACTIVIST|||🛑 GGMU||CDM. #Katibampya #TanganyikaLivesMatter #ChangeTanzania
C. Raymond ♟ @charlesraymondn
45K Followers 4K Following Sports Analyst | Crypto | Cars | Digital opportunities.
The Instigator @Am_Blujay
586K Followers 7K Following
Eastzoo @Waeastzoo
1K Followers 976 Following
Worldboss @Morayoorr
273K Followers 1K Following Business💥Sport Content💥Brand Influencer💥Dm Open for ads/Promotion📩: [email protected]
MerlinTipz @MerlinTipz
33K Followers 320 Following HOPE'S HIGH, MANIFESTATION SOON! *ARSENAL* WINNING MARGIN™
Britanicca @Britanicca0
7K Followers 83 Following whistle-blower living in Vladivostok Russia , CCM Member Since 2002, Defending People.
trailcam @Trail_Cams
1.4M Followers 183 Following
SOMMAR @SommarEnt
38K Followers 3K Following Gadget store 🏬/Real estate 🏡/Car dealer 🏎️ Life is deeper than we imagine but what’s a man without a dream. (Manchester United❤️). MUSIC🎶 🦍🦇🕊️,EDITOR ✍️
dullah_abuu @dullah_abuu
6K Followers 2K Following Reasons To Live Gives Reason To Die. 27/6/2022🕊️21/12/2022💊 Do NOT take life too seriously.Time flies, you’re the pilot.
Bet buddy @Betbuddy001
69K Followers 227 Following Last born of sporty 😎 mamas boy. join my telegram channel. https://t.co/hUA0jv8NFk
Bruno Chiemena MAINMA... @brunochiemena
38K Followers 898 Following 🎓 Anatomist 🇳🇬 💼MBA👨🏽⚕️NURSE 🩺🇺🇸⚽️ GRACE ABOUND🤲🏽🧎➡️❤ @chelseafc🥰 🔭 https://t.co/BbgpqoDwKf 📧 promo/ads/ DM telegram @brunochiemena
Le Grandee Chokoraaa @DeusGilman
170 Followers 481 Following
Como1907 @Como_1907
101K Followers 58 Following The most beautiful football in the most beautiful location 🤍💙
PANDEV🧘♂️�... @Cyberjoe19
169K Followers 975 Following #COYG❤️ #CR7 🐐 #MegaOdds #CHAMPIONSOFENGLAND *📩[email protected]
Tactical Manager @ManagerTactical
142K Followers 848 Following USMNT 🇺🇸⚽️ YouTube fan channel. Account managed by @thefilipposilva, the man who survived the 2024 Copa America Final
🇪 🇸 🇮 🇷 �... @EsirEid
55K Followers 53K Following Website n Mobile Apps Developer,Computer Scientist N a PURE #Mathematician¶© #JKUAT ALUMNI||#TeamArsenal¶ #HalaMadrid¶ ¶ #YANGA $ #TajiriLaKihaya
Turatsinze @RKishaija81715
829 Followers 679 Following I Know of no better purpose than to perish in attempting the great and impossible. Realist and Darwinian.
Mwinshehe 🕊️ @Mwinshehe07
15K Followers 9K Following Member @ChademaTz2 My lawyer @TitoMagoti CERTIFIED JOBLESS|MCHANGIA MAADA MTAMBUKA
SAFARI COW🐄 @safarimlevi
13K Followers 3K Following Mithali : 10 : 12 - Kuchukiana huondokesha fitina; Bali kupendana husitiri makosa yote
L.A. Adeyemi @LukakuNotRomero
9K Followers 5K Following Love football and creates AI-powered story content. | Arsenal fan To watch Seven Crowns and The EPL Throne AI video series, link on link in bio
King David II @WizFather_
15K Followers 4K Following Chartered accountant and a retired optimist of a better Nigeria.
House Targaryen @FantasyEpics
9K Followers 1K Following ❤️The best Game Of Thrones content- 😍 Daily posts -🗡Community Driven
BOOMLUCK⚽️🏀 @Boomluck1zz
233K Followers 2K Following Sports ⚽️ analysts Basketball 🏀 and football punter. https://t.co/FkUdGDg7Bq @Realmadrid & @Warriors
AlexClarkBetsAI @AlexClarkBetsAI
25K Followers 82 Following Built an AI model after years in Computer Science. Now sharing smart, data-backed FREE betting tips daily. Follow & notifications on! 18+ | Gamble Responsibly
CINDY TIPS @Cindy_KBDTips
97K Followers 2K Following BETTING EXPERT...1000+ WINNING ODDS 🤑🤑AM THE BEST QUEEN OF FOOTBALL PREDICTIONS ⚽🏀
Gudlack Mallya🇹�... @gudlack4
60 Followers 424 Following
Hasta La Victoria Sie... @Oktoba29
19K Followers 131 Following Cyber Security & Digital Forensics Crypto Enthusiast and Analyst ⠠⠺⠑ ⠠⠇⠕⠧⠑ ⠠⠕⠏⠑⠝ ⠠⠎⠕⠥⠗⠉⠑ Not a Politician, #FreePolepole #SamiaMustGo
Radio 47 @Radio47_Kenya
34K Followers 187 Following 📻 HAPA NDIPO! Bonge la Radio. Tunavuma kwa kishindo! Call☎️+254793047047 /+254783047047 WhatsApp: +254719739487
Webiro Wakazi Wassira... @Wakazi
255K Followers 7K Following Artist | Activist | Actor | Hip Hop Connoisseur | Content Creator | Politician | Workethic | 1/4 of SSK | [email protected] | Link: https://t.co/QgttN8fCtU
CNN Africa @CNNAfrica
1.5M Followers 881 Following Highlighting the latest news and buzz from Africa. Got a tip? WhatsApp us: +234 909 751 2227
Larry Madowo @LarryMadowo
3.1M Followers 2K Following International Correspondent, @CNN. African Voices Host, @cnni. Nomad. Past lives in Joburg, London, New York & Washington. Bad jokes, good vibes.
Ambassador Tagare @AmbTagare
9K Followers 4K Following Giga Rich. Tweets aren't based on your predetermination. X is for entertainment. If you get there ahead of me. Just Relax. Donge
Joy Liz 🌸🍓🦋 @joyliz255
25K Followers 594 Following Follow me, let's get to 20K❤️ Dm for paids ads & product promotion// Liverpool🧡🤍😎🤏 Erudite influencer😎
Twaha Mwaipaya @Twaha_Mwaipaya
327K Followers 4K Following .Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) 2019-2025 Prison graduate 133 days in jail. Human rights defender.









































